Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Ni Dr hutaki meza wembeKwenye andiko lako nimeona neno Dr Samia.
Dr Samia toka lini?ilikuwaje na yeye akawa na cheo hicho!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Dr hutaki meza wembeKwenye andiko lako nimeona neno Dr Samia.
Dr Samia toka lini?ilikuwaje na yeye akawa na cheo hicho!!!
Kwa hiyo Shilole asomeke DED Igunga?Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako.
Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni watu ambao wanaweza kukitumikia chama na serikali yako.
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, watu hao ni hazina kubwa kukibeba chama na serikali yako.
Wengi kwenye kundi hilo viwango vyao vya elimu na uzoefu wao unaridhisha na wanaweza kuwa Makatibu wa CCM mikoa, wilaya, Maras, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya , Wakurugenzi wa Halmashauri , Wenezi wa Mikoa, Madas, ukifuata ushauri huu utaona matokeo chanya kwa asilimia 100 ndani ya chama na serikali.
sema hivi hapo wewe jina lako na ama chawa wako ndio kura zilipotoshea.269 ni 1/4 ya kura za wajumbe wote
Mara paah Shishi ni RC Mwanza, nyie.Shilole alipata kura zaidi ya 430 unapendekeza awe mkuu wa mkoa, wilaya, RAS au DAS; wapi.
Binafsi simchukulii poa mtu mwenye biashara tena sector yenye ushindani mkubwa na kuweza kuikuza biashara yake inaonyesha mtu fulani makini.
Halafu Asha Baraka mkuu wa mkoa Dar, maana na yeye anakura 500+Mara paah Shishi ni RC Mwanza, nyie.