USHAURI: Wajumbe wa NEC-CCM waliopata kura zaidi ya 269 ni hazina kwa CCM kuelekea 2025, wateuliwe

Ungeomba wakumbukwe kwenye vyeo vya u ocs, ocd na rpc ili mkibebe chama vzr.

Bila polisi imara, wenye smg, ya machoz na washawasha hamtoboi.
 
Shilole alipata kura zaidi ya 440 unapendekeza awe mkuu wa mkoa, wilaya, RAS au DAS; wapi.

Binafsi simchukulii poa mtu mwenye biashara tena sector yenye ushindani mkubwa na kuweza kuikuza biashara yake inaonyesha mtu fulani makini.
 
Kwa hiyo Shilole asomeke DED Igunga?
 
Shilole alipata kura zaidi ya 430 unapendekeza awe mkuu wa mkoa, wilaya, RAS au DAS; wapi.

Binafsi simchukulii poa mtu mwenye biashara tena sector yenye ushindani mkubwa na kuweza kuikuza biashara yake inaonyesha mtu fulani makini.
Mara paah Shishi ni RC Mwanza, nyie.
 
Mara paah Shishi ni RC Mwanza, nyie.
Halafu Asha Baraka mkuu wa mkoa Dar, maana na yeye anakura 500+

Lazima watumishi kwenye hiyo mikoa wafanye party ya kumpongeza maza anaupiga mwingi. Ni mwendo wa kujenga ofisi ya mlinzi kwa tsh 300 million.
 
..RC, DC, DAS, Wakurugenzi wa Halmashauri, ni nafasi zinazotakiwa kujazwa na watu neutral wasiojihusisha na vyama vya siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…