Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #41
CCM wanawaza matumbo yao tu!!! Hawa watu ni wajinga sijawai onaKwa maslahi ya Zanzibar au Tanganyika?
Inaweza ikawa last chance ya Maalim kuendeshwa kwa ving'ora lakini isiwe last chance ya Wazanzibar kudai haki yao ndani ya muungano wenye heshima
Cheo si chochote kwenye suala la ukweli na haki. Truth and justice lazima vi prevail alwaysMakamu wa kwanza wa Rais!
Hiki cheo ni maalumu kwa maalimu Seif!
Subiri uone kama jumuiya ya kimataifa imelala au imeamka. Jiandaeni na IccMnachoweza ni kushauri wengine cha kufanya ila nyinyi mkipewa majukumu kwenye hizi harakati mnatia mkia mapajani.😁.
Yale maandamano yangeiamsha zaidi hiyo jumuiya kuliko hata ilivyo sasa!
Wasiowajibika,wasifundishe wengine uwajibikaji.
Kwenye siasa hakunaga ukweli na haki!Cheo si chochote kwenye suala la ukweli na haki. Truth and justice lazima vi prevail always
Sasa this time ndo mtajua kwama hakuna au kuna!!Kwenye siasa hakunaga ukweli na haki!
Ngoja tuone!Sasa this time ndo mtajua kwama hakuna au kuna!!
SawasawaNgoja tuone!
If wishes were horses....Subiri uone kama jumuiya ya kimataifa imelala au imeamka. Jiandaeni na Icc
Kweli kabisa. Tutawajua vilivyoHili sekeseke linatusaidia kuwatambua bayana wachumia tumbo na wazalendo wa kweli
Wazungu hawaaminiki,,wenyewe wanashauri pawepo mazungumzo na makubaliano kati ya pande mbili,,zungumzeni..Subiri uone kama jumuiya ya kimataifa imelala au imeamka. Jiandaeni na Icc
Unafikiri kujitoa ndo dawa??? The main issue is ulipofanya makosa ulikuwa member au la???If wishes were horses....
Post election violence 2007/2008 iliua watu 1200 Kenya na hakuna aliyeko ICC ije itokea Tz walikokufa watatu?😁.
Nchi zote za Africa zitakuwa na wafungwa ICC,na watajitoa.
Kama ni mazungumzo azimio la kwanza iundwe tume huru ya kuhusisha members wa vyama vya upinzani na taasisi huru za haki za binadamu na zisizo za kiserikali. Azimio la pili uchaguzi urudiwe na wawepo waangalizi wa kimataifaWazungu hawaaminiki,,wenyewe wanashauri pawepo mazungumzo na makubaliano kati ya pande mbili,,zungumzeni..
Hujui kitu kuhusu icc rudi shule kwanza, unadhani ni kama kucheza karata kwa kuokota jokaUnafikiri kujitoa ndo dawa??? The main issue is ulipofanya makosa ulikuwa member au la???
Alafu naona una uelewa mdogo sana wa mambo. Kwani Laurent Gabgho aliua watu wangapi??? Mbona alifungwa na Icc???
Crimes against humanity sio kuua tu na kama ukiua sio lazima wawe 1000 au 2000 , hata watano tu unaweza kushtakiwa na kufungwa. Vilevile haiishii kuua tu, hadi kubambikia watu wakosa na kuwaweka ndani nalo Hilo ni crime against humanity.
Sasa jiandaeni tu!!
Sio nchi kwanza sema tumbo kwanza, hakuna nchi kwanza kwenye kuapishwa kwenye damu za watuMtego uko wapi wewe acha wenzako washiriki kujenga nchi. Huo ushauri wako hautafanyiwa kazi sana tegemea kumuona maalimu seif akiapihswa kama makamu wa kanza, Nchi kwanza ujinga wenu baadaye
Nakusikitikia wewe kuwa ndo huijui IccHujui kitu kuhusu icc rudi shule kwanza, unadhani ni kama kucheza karata kwa kuokota joka
Vitu vingine usiwe unaandika unatia aibu, yaani kurudi uchaguzi, duuuuKama ni mazungumzo azimio la kwanza iundwe tume huru ya kuhusisha members wa vyama vya upinzani na taasisi huru za haki za binadamu na zisizo za kiserikali. Azimio la pili uchaguzi urudiwe na wawepo waangalizi wa kimataifa
Haitobadilisha kitu, ndiye Rais wao, akanyage asikanyage.toka kaapishwa hajawah kanyaga pemba na baagh ya sehemu unguja kama kaskazin magharib