Ushauri wangu kwa kijana ambaye anataka kuajiriwa Jeshini au kuwa Afande

Ushauri wangu kwa kijana ambaye anataka kuajiriwa Jeshini au kuwa Afande

Sifa sina, tangu nikimbie jamhuri 2011 kwa kujishitukia kwa kosa sio langu najihisi kila ninayepishana naye ananikamata wakati sina tatizo ...ndio niende kwa mdomo wa mamba kweli?
Kaka inaumiza mty unatumia nguvu kubwa af dogo anakuja zingua
 
Fanyeni maandalizi
Aiseee Tena intake hii ya Juzi, Nakwambia Nimemtumia Silaha Zote kubwa kubwa, Dakika za Mwisho Mbona Mimi kama Mzazi Nimelipa Aisee, Kabla ya Post Azijatoka kwenda Depo Nilishajipanga, Lakini Nimeangukia pua Mbaka Sukari ikanipanda, Mtoto ni Msomi na Documents Zote Alikuwa Nazo
 
Pole tuliza moyo kuna sehemu yake ipo usikate tamaa
 
Duuu Umeninasua Kwa Mimi Ambaye Mtoto Wangu, Amefaiti Mara 4 kwenda Jeshi la police, Lakini Zote hizo Amekosa, Roho inaniuma Sana tu
Akatafute kazi nyingine za kufanya maisha hayapo kwenye majeshi tu.

Kazi ya polisi ni kazi ya kipumbavu mtoto wako mikono yake itajaa damu za watu wasio na hatia watakao kuwa wana mlilia kila siku huku yeye kazi yake ikiwa kufurahisha wakubwa wakati moyo wake unavuja damu.

Polisi na mchawi hawana tofauti wote wanakula nyama za watu.
 
Back
Top Bottom