Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
So bila connection sitoboi, fair competition hakunaga kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana wapo watu wanapita na hawana watuDuh,
Nchi umeharibika mnoo.
Asiyekuwa na wa kumpambania huko ndani asahau kutoboa hata kama ana vigezo!!!
Sawa mkuu.Wakujutolea washafika makambini mbona tafuta mbanga uende kama baba kanituma
Hapana mkuu ukiingia jeshini utaelewa unaelewa maana ya kiapo?Kama ni jeshi sawa ila kazi ya upolisi hapana kwa Tanzania hiyo ni kazi ya kulaanika simshauri mtu