Si watarudisha karibia wote, itakuwa hilo sharti limeondolewa. Mitaa imeungua!!Ugonjwa mwingine ni HIV ukiwa nayo huajiriwi kwenye majeshi utashangaa tu wanakurudisha bila kukwambia tatizo lako ni nini
Nimekumbuka mwaka 2014 mama mmoja mnazi wa CCM dam dam alikuwa analoa mbaya na kilaanibaada ya kutulia ndio akanisimulia kuwa amempigania binti yake aliyehitimu Six usiku na mchana, ametoa hela na kunyenyekea mabosi, siku ya usajili kumbe binti ana ujauzito wa miezi 3.