Si watarudisha karibia wote, itakuwa hilo sharti limeondolewa. Mitaa imeungua!!Ugonjwa mwingine ni HIV ukiwa nayo huajiriwi kwenye majeshi utashangaa tu wanakurudisha bila kukwambia tatizo lako ni nini
Duh poleniSi watarudisha karibia wote, itakuwa hilo sharti limeondolewa. Mitaa imeungua!!
Nimekumbuka mwaka 2014 mama mmoja mnazi wa CCM dam dam alikuwa, baada ya kutumia byio akanisimukiwa kuwa amempigania mti yake aliyehitimu Six miezi na miezi, America hela na kunyenyekea mabosi, siku ya usajili kumbe binti ana ujauzito wa miezi 3.
Nje ya mada lengo la kumkagua mtu anaanza mafunzo akiwa kama alivyozaliwa na pia kumcheki kekundu uku akikohoa first time ni nini ?Hello
Wengi huwa wanaomba nafasi mbalimbali katika vyombo vya ulinzi wengine wanakuja kufeli kwenye usahili kwa vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishwa kabla ya usahili ila mnavipuuzia
Nafasi zinapotoka kunakuwa na ushindani mkubwa unakuta kila mtu anapambana mtu wake apite au apate nafasi mnakatisha tamaa sana vijana watu wanapata nafasi kwa shida sana kuwalamba miguu mabos huyo unae muona boss kwako na kuzani kazini ndio mwenye mamlaka ana wakubwa zake pia
Kabla ya kwenda kwenye usahili hakikisha Nida yako ipo safi hii kwasasaivi inawaangusha ana vijana nida yako na ya baba yako hazifanani unaweza kwenda Nida sasaivi mapema kujihakikishia nida zako zipo sawa hazina shida yoyote ila vijana mnakaa mpaka siku ya mwisho mnaaza kukimbiza wazeee vichwa huwa vinauma hamjui
Pili majina yako yawe yako sawa kama unaitwa khamis na linaazia na k na h basi hakikisha vyeti vyako vyote vipo sawa vinaendana sana kama mahali pana shida nenda katafute barua kwa mwanasheria inayo kutambulisha au kukuthibitisha kuwa wewe ndio muhusika
Tatu afya nenda tu hospital kajichunguze mwenyewe wapi unashida ili ujijue kuna magonjwa mengine mnajitia aibu sana mfano mtu kijana mdogo anakutwa na bawasili au dalili za tenzi dume kwahiyo nashauri mjichunguze kwaza
NImeshangaa sana juzi kati hapa boss alikuwa na mtoto wa dada yake kidato cha sita kapata nafasi kijana anasema kuwa hana cheti cha form six ila ana transcript tu wenzake ambao wamemaliza mwaka mmoja wana vyeti unajiuliza hawa vijana wanakuwaga wanawaza nini
Ase nafasi zinapatikana kwa shida ukipata tumia vizuri acheni kukimbiza wazee
Asante MkuuPole tuliza moyo kuna sehemu yake ipo usikate tamaa
SikupingiSIFA
1.Mbanga wa kueleweka
Ama
2.Mbanga Mungu
Kweli na michezoYote tisa ila urefu na mwili wa kibabe unabeba sana watu kwenye majeshi kama huna mbangaa
Muhuri wa Moto. Kwamba amri na maelekezo yatatoka kwa mkuu wakoNje ya mada lengo la kumkagua mtu anaanza mafunzo akiwa kama alivyozaliwa na pia kumcheki kekundu uku akikohoa first time ni nini ?
CompetitionHawezi kukutoa kma huna shida
Then wanafukuzwa au inakuwaje? Sio utaratibu muhimu Kuna umuhimu Gani wankumchunguza mtu maungo Yale ya Siri ? Au hatoweza piga kwata sababu ya bawa Siri!
Mgonjwa wa bawasiri hawezi kukaa chinj mda mrefu pia mazoezi magumuThen wanafukuzwa au inakuwaje? Sio utaratibu muhimu Kuna umuhimu Gani wankumchunguza mtu maungo Yale ya Siri ? Au hatoweza piga kwata sababu ya bawa Siri!
Unaweza ukawa na mbanga wa maji marefu ila akanyimwa nafasi au akapata nafasi lakini mtu wake akaja kutolewa kwasababu ya ugonjwa na hapo huwenda mbanga hakubaliki kazini yaan watu hawampendiSema majeshi sana sana uwe na mbanga maji marefu
Yah ni kweli ila kama Mungu yupo upande wako katika hilo unapitaCompetition
Duuuuh umenijibu kikatili sanaYah ni kweli ila kama Mungu yupo upande wako katika hilo unapita
Pole sana mkuuMimi nilitolewa kwenye usahali bila tatizo nikaandikiwa unfit
All in all ,saivi na sali jeshi la wokovu
Yote ni majeshi tu