Bushmaster JF-Expert Member Joined Jan 18, 2022 Posts 583 Reaction score 1,265 Nov 15, 2024 #81 So bila connection sitoboi, fair competition hakunaga kabisa
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,035 Reaction score 8,218 Nov 15, 2024 #82 Kama ni jeshi sawa ila kazi ya upolisi hapana kwa Tanzania hiyo ni kazi ya kulaanika simshauri mtu
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Nov 15, 2024 Thread starter #83 antimatter said: Duh, Nchi umeharibika mnoo. Asiyekuwa na wa kumpambania huko ndani asahau kutoboa hata kama ana vigezo!!! Click to expand... Hapana wapo watu wanapita na hawana watu
antimatter said: Duh, Nchi umeharibika mnoo. Asiyekuwa na wa kumpambania huko ndani asahau kutoboa hata kama ana vigezo!!! Click to expand... Hapana wapo watu wanapita na hawana watu
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Nov 15, 2024 #84 Mwachiluwi said: Wakujutolea washafika makambini mbona tafuta mbanga uende kama baba kanituma Click to expand... Sawa mkuu.
Mwachiluwi said: Wakujutolea washafika makambini mbona tafuta mbanga uende kama baba kanituma Click to expand... Sawa mkuu.
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Nov 15, 2024 Thread starter #85 evangelical said: Kama ni jeshi sawa ila kazi ya upolisi hapana kwa Tanzania hiyo ni kazi ya kulaanika simshauri mtu Click to expand... Hapana mkuu ukiingia jeshini utaelewa unaelewa maana ya kiapo?
evangelical said: Kama ni jeshi sawa ila kazi ya upolisi hapana kwa Tanzania hiyo ni kazi ya kulaanika simshauri mtu Click to expand... Hapana mkuu ukiingia jeshini utaelewa unaelewa maana ya kiapo?