Nadhani ni mda wa kutumia vyombo vya nje inabidi tuichafue tanzania haswa tuwekewe vikwazo kama zimbabwe na nchi nyingine si tuna uwezo wa kujitegemea, afu naomba huyu mtu aongeze kodi mara dufu tuone hawa watanzia watalia lia kona zipi, mpaka hela za kununua ARVs zikosekane
JIWE GOVIMange anasemaje?
Acha roho mbaya kisa mahaba yako ya kijinga kwa mabeberu. Tanzania sio ya Chadema wala CCM pekee ni ya Watanzania. Huwezi kuichafua nchi ya watu almost 60 mil kisa mtu mmoja. Tanzania kwanzaNadhani ni mda wa kutumia vyombo vya nje inabidi tuichafue tanzania haswa tuwekewe vikwazo kama zimbabwe na nchi nyingine si tuna uwezo wa kujitegemea, afu naomba huyu mtu aongeze kodi mara dufu tuone hawa watanzia watalia lia kona zipi, mpaka hela za kununua ARVs zikosekane
Wakati tumbo la hedhi tu likikushika unahaha kama nn, sembuse ukutane na kirungu cha ugoko au goti..ingia aisee kitaa tupoTunasubiri tamko mimi mwanamke ila nitakuwa mstari wa mbele kabisa sipendi kuona manyanyaso kwa kweli
Raha ya watu wanaojitambua na wenye majukumu hua wahawezi kuandamana kwa ajili ya tumbo la mwanasiasa, binafsi ht lissu angekuwa anaongoza kwenye matokeo na magufuli akatutaka tuandamane siwezi kufanya upumbavu huo.nipo Arusha watu wameingia kwenye shughuli zao za kusaka kipato
Wakitangaza tarehe tu, watakamatwa wote siku moja kabla na kutupwa lupangoTangazeni, tarehe ya kufanya haya na muanze kweli. Hata mkianza 2 nawaambia kadri ya muda utakavyokuwa unaenda mtaona watu wanazidi kuongezeka.
Na wana ccm wengi ndo wanaongoza kwa ufukara.hakika Kodi ikiongezwa watakufa Wa kwanza.Nadhani ni mda wa kutumia vyombo vya nje inabidi tuichafue tanzania haswa tuwekewe vikwazo kama zimbabwe na nchi nyingine si tuna uwezo wa kujitegemea, afu naomba huyu mtu aongeze kodi mara dufu tuone hawa watanzia watalia lia kona zipi, mpaka hela za kununua ARVs zikosekane
Nilikwambia WEWE hapo mara nyingi sana humu kuwa Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ukanibishia. Ingia barabarani Sasa, Lissu kashatoa tamko mchana huu na video ipo YouTube naye anawasubiri nyie mlianzishe maana ndo mliotemewa mate usoni na tume ya uchaguzi kwa maelezo yake.
Sasa na wewe unamsubiria yeye alianzishe. Ninachojua watu hawana time, atajikuta yeye tu barabarani. Sisi tunawajua watanzania vizuri na tunaijua CCM vizuri mpaka kuwaambia vile na nyie mkashupaza shingo eti NI YEYE. Nyambaf.
Bora wafanye hivyo. Hakuna shida. Bora ufanye ushindwe kuliko kutofanya. Hii CCM sio ya kuitoa kwa majadiliano. Uhuni waliofanya kwenye uchaguzi huu haukubaliki duniani na mbinguni.Wakitangaza tarehe tu, watakamatwa wote siku moja kabla na kutupwa lupango
Watanzania tunajijua wenyewe. Tupo vizuri kwenye kuandika mitandaoni. Movements nyingi sana zimeshazimwa kabla hata hazijaanza baada ya polisi kupiga biti kidogo tu. UKUTA, Mange’s led movement etc etc
Mbelgiji watoto wake wako Belgium na anatiketi ndani ya begi lake bado unajiona mwenye busara kusikiliza mtu kama huyo.