Ushauri wangu kwa Lissu baada ya Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kutangazwa

Bavicha bana hamueleweki. Wakati lissu yuko ndani anawasubiri muingie barabarani nyie nao mko ndani mnamsubiri yeye ndo aingie kwanza barabarani. Yaani mnaliana timingšŸ˜€. We mleta uzi tangaza location uliyopo nije tuuchape mkono kabla hata polisi hawajaingilia ntakua nimeyamaliza maandamano yako uko ndani unaugulia maumivu.

Fanyeni ujinga wenu wa kuandamana ila chonde chonde msimshirikishe kwenye huu ujinga mrembo wangu Ester Matiko, nina ndoto nyingi za kutimiza nae hususani baada ya kukosa ubunge saizi anaingilika
 
Mkuu sijui nyie kama mnaona kwamba watz wamewapuuza!

Lisu toka siku ya kwanza ya kampeni anatama muandamane. Hakuna hata nzi anathubutu kuandamana. The same jumatatu.
 
Bavicha bana hamueleweki. Wakati lissu yuko ndani anawasubiri muingie barabarani nyie nao mko ndani mnamsubiri yeye ndo aingie kwanza barabarani. Yaani mnaliana timingšŸ˜€. We mleta uzi tangaza location uliyopo nije tuuchape mkono kabla hata polisi hawajaingilia ntakua nimeyamaliza maandamano yako uko ndani unaugulia maumivu.

Fanyeni ujinga wenu wa kuandamana ila chonde chonde msimshirikishe kwenye huu ujinga mrembo wangu Ester Matiko, nina ndoto nyingi za kutimiza nae hususani baada ya kukosa ubunge saizi anaingilika
 
Nilikwambia WEWE hapo mara nyingi sana humu kuwa Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ukanibishia. Ingia barabarani Sasa, Lissu kashatoa tamko mchana huu na video ipo YouTube naye anawasubiri nyie mlianzishe maana ndo mliotemewa mate usoni na tume ya uchaguzi kwa maelezo yake.

Sasa na wewe unamsubiria yeye alianzishe. Ninachojua watu hawana time, atajikuta yeye tu barabarani. Sisi tunawajua watanzania vizuri na tunaijua CCM vizuri mpaka kuwaambia vile na nyie mkashupaza shingo eti NI YEYE.
Hawa vijana wanafanya schoolboy politics!
 
Back
Top Bottom