4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Hakuna nakataa ushauri huu Lissu sio mjinga ,anajua anafanya Nini achana icho kichwa, na yapo anayoyashughulikia Wenda ya msingi zaidi so organization Kama mwataka fanyeni mhonavyo Kama alivyo sema kwenye press but kwa Sasa lissu miache kwanza.Tundu Antiphas Lissu
Umeona yaliyotokea, kura Watanzania tumepiga ila matokeo yake ndIo hayo. Matokeo yanayotangazwa sio matokeo ya kura zilizopigwa ni matokeo ambao tayari NEC na CCM walikuwa nayo kabla hata ya uchaguzi. Kilichofanyika Jana ni kujaribu kuionesha dunia kuwa kuna uchaguzi wakati hakuna uchaguzi ila washindi walishaandaliwa.
Napenda kukushauri, Watanzania wa Bara sio watu wa kuanza. Ni watu wa kumuona mtu ana anza na wao wanamfuata nyuma. Watanzania wengi wanapenda kuona mfano kwanza then wao ndo hufuata.
Kwa Tanzania ya leo huwezi ku achieve jambo bila kulianzisha mwenyewe. Usione hivi, Watanzania wengi wameumia na huu uhuni uliofanywa na CCM, hao wanaokusema vibaya ni watu wachache sana ambao ndo wana Ccm wenyewe , wengine Tupo na wewe.
Napenda kukushauri jambo moja, kama ni kuaga, ageni familia zenu na ndugu zenu, then wote mtangaze mahali pa kuonana katika maandamano yenu, ifanyike kwenye mikoa yote na muwe serious kwenye hili.
Tangazeni, tarehe ya kufanya haya na muanze kweli. Hata mkianza 2 nawaambia kadri ya muda utakavyokuwa unaenda mtaona watu wanazidi kuongezeka. Najua pia hakuna dunia itakaa kimya ikiona mkifanyiwa unyama
By the way mungu ana nisaidia natembea Sana kutokana project au mwajiri wangu nilienae ,na juzi nilikua dodoma nilipigia kura hapo maana nilijiandikisha huko ntyuka theni niliondoka but
Niseme ukweli uchaguzi huu umeleta msiba katika taifa, Kuna watu nathani kwa kujua au kutojua mmeishauri ccm vibaya chini ya mgombea wake
Nasema kwa kumanisha Kuna sehem hapa bara sasa watu wanaapizana wa mwanachama wa CCM asifike kwenye mji wake so what next, wengine wanasema hata Kama ni mzazi wake yupo ccm akimuomba pesa atamjibu aifuate CCM, hii sio sawa.
Nini kifanyike
1. Bila kuathiri matokeo ya chama chochote na kwa kua yupo rais mpaka Sasa Basi TUME ZOTE FUTEN MATOKEO ,Uchaguzi urudiwe katika mda muhafaka ambacho kitapangwa na kwa utaratibu mahalim
2. NEC tambueni hili ni taifa la watu m54 ,ila elewa Kama hamkuhusika katika haya Basi wasaidizi wenu huku chini ngazi ya wilaya,kata wameharibu Sana ,au niseme mmehujumiwa Hali sio nzuri
Mwisho
Sina uakika na picha mbalimbali ninazo ziona kwenye mitandao Kama ni za kweli au la but MH IGp chunguza na chukua hatua ,
Mungu bariki tz na watu wake