KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Mkuu 'Lord', nimekusoma na kusikitika nawe pamoja kwa yaliyotokea.Tundu Antiphas Lissu
Umeona yaliyotokea, kura Watanzania tumepiga ila matokeo yake ndIo hayo. Matokeo yanayotangazwa sio matokeo ya kura zilizopigwa ni matokeo ambao tayari NEC na CCM walikuwa nayo kabla hata ya uchaguzi. Kilichofanyika Jana ni kujaribu kuionesha dunia kuwa kuna uchaguzi wakati hakuna uchaguzi ila washindi walishaandaliwa.
Napenda kukushauri, Watanzania wa Bara sio watu wa kuanza. Ni watu wa kumuona mtu ana anza na wao wanamfuata nyuma. Watanzania wengi wanapenda kuona mfano kwanza then wao ndo hufuata.
Kwa Tanzania ya leo huwezi ku achieve jambo bila kulianzisha mwenyewe. Usione hivi, Watanzania wengi wameumia na huu uhuni uliofanywa na CCM, hao wanaokusema vibaya ni watu wachache sana ambao ndo wana Ccm wenyewe , wengine Tupo na wewe.
Napenda kukushauri jambo moja, kama ni kuaga, ageni familia zenu na ndugu zenu, then wote mtangaze mahali pa kuonana katika maandamano yenu, ifanyike kwenye mikoa yote na muwe serious kwenye hili.
Tangazeni, tarehe ya kufanya haya na muanze kweli. Hata mkianza 2 nawaambia kadri ya muda utakavyokuwa unaenda mtaona watu wanazidi kuongezeka. Najua pia hakuna dunia itakaa kimya ikiona mkifanyiwa unyama
Ni haki yake akorome anavyokoroma sasa, kwa maana hajakutana na wanaume haswa walio na nia. Utamwona akikojolea suruali bila ya kujitambua!"wanatishia kumwaga damu!?, waambieni huko ni mbali sana, wajaribu hata kumwaga mkojo, watajuta"
Dr. John Pombe Magufuli
itakua lini akikutana na hao unaowasema mkuu!?.Ni haki yake akorome anavyokoroma sasa, kwa maana hajakutana na wanaume haswa walio na nia. Utamwona akikojolea suruali bila ya kujitambua!
Siku yoyote isiyojulikana. Lakini hilo sio la mhimu, la mhimu ni kwamba anakoroma kwa vile hajakutana na watu hao.itakua lini akikutana na hao unaowasema mkuu!?.
Hela za kununua Arv zikikosekana ama vikwazo... watakufa maskini.. magu yeye na ndugu zake hawatakosa hela...
We jamaa unaumwa sio bure.Akiongoza maandamano ya amani lazima tutakuwa nyuma yake. Jumuiya ya kimataifa imeshaona hii nchi ni gangsta republic. Kama hadi no za UN wanatumia kufanya udhalimu najua haitatuacha tuangamie. Lissu aanze tu sie Tupo tayari. Maalim Seif kaonesha kwa mfano pamoja na kuumwa kisukari, Lissu nae aanze aone tulivo wengi nyuma yake
Tunasubiri maelekezo tu. Tundu Lissu akiongoza hili lazima tujae.Ingieni lodi mkuu.
Ni nguvu ya umma tu inayoweza kuondoa huu ujinga wa CCM.Mimi nashauri viongozi wa chadema Muangaike na jambo hili kisheria kila mwaka kwenye kampeni mmekuwa mnatishia kwenda kwenye mahakama za kimataifa ukipita uchaguzi watu wanaona maisha kama kawaida ndo sababu ya uchaguzi huu watu wamechoka wamegoma kuandamana kudai haki
Kigogo mbona yupo ndugu? Au unamsema kigogo yupi?Daah nyuzi nying leo haziendi kbsaa,na kigogo kapotea hewan ana harisha tu huko alipo
Huu ndo ushahidi tuupeleke kwa wahusika. Lazima wananchi tumuunge mkono Lissu kuchukua hatua.WIZI WIZI WIZI NI WIZI MAGUFULI HATAKI UCHAGUZI MFANO JIMBO LA NYALANDU KURA ZA UBUNGE ZILIANZA KUPIGWA TANGU TAREHE 23 OKTOBA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WA JIMBO ALIKUA AKIRATIBU SHUGHULI HIYO HARAMU
NA BADO WAPIGA KURA WAKAWA WANAPEWA KARATASI MBILI MBILI
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Sijui hata kama kura ulipiga ila kutwa kulalama.Tundu Antiphas Lissu
Umeona yaliyotokea, kura Watanzania tumepiga ila matokeo yake ndIo hayo. Matokeo yanayotangazwa sio matokeo ya kura zilizopigwa ni matokeo ambao tayari NEC na CCM walikuwa nayo kabla hata ya uchaguzi. Kilichofanyika Jana ni kujaribu kuionesha dunia kuwa kuna uchaguzi wakati hakuna uchaguzi ila washindi walishaandaliwa.
Napenda kukushauri, Watanzania wa Bara sio watu wa kuanza. Ni watu wa kumuona mtu ana anza na wao wanamfuata nyuma. Watanzania wengi wanapenda kuona mfano kwanza then wao ndo hufuata.
Kwa Tanzania ya leo huwezi ku achieve jambo bila kulianzisha mwenyewe. Usione hivi, Watanzania wengi wameumia na huu uhuni uliofanywa na CCM, hao wanaokusema vibaya ni watu wachache sana ambao ndo wana Ccm wenyewe , wengine Tupo na wewe.
Napenda kukushauri jambo moja, kama ni kuaga, ageni familia zenu na ndugu zenu, then wote mtangaze mahali pa kuonana katika maandamano yenu, ifanyike kwenye mikoa yote na muwe serious kwenye hili.
Tangazeni, tarehe ya kufanya haya na muanze kweli. Hata mkianza 2 nawaambia kadri ya muda utakavyokuwa unaenda mtaona watu wanazidi kuongezeka. Najua pia hakuna dunia itakaa kimya ikiona mkifanyiwa unyama
Hhhhaha... Ajaribuuuu aoneTundu Antiphas Lissu

Tumejipanga kikamilifu kutindua tindua WAKAIDIYaani ingekuwa Bora ww mwandishi ndio uanze ili upate dawa yako. Sio kupakazia wengine
WIZI WIZI WIZI NI WIZI MAGUFULI HATAKI UCHAGUZI MFANO JIMBO LA NYALANDU KURA ZA UBUNGE ZILIANZA KUPIGWA TANGU TAREHE 23 OKTOBA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WA JIMBO ALIKUA AKIRATIBU SHUGHULI HIYO HARAMU
NA BADO WAPIGA KURA WAKAWA WANAPEWA KARATASI MBILI MBILI
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Nifungue kesi mi MGOMBEA?? MATAGA WAOGA SANA HAWAPENDI USHINDANI!Ubunge unapingwa Mahakamani kama una ushahidi kama unavyosema kwa nini haufungui kesi? Kusema kila mtu anaweza
Usikubali kabisa huyo anataka utolewe nati zako za miguuni.Tundu Antiphas Lissu
Umeona yaliyotokea, kura Watanzania tumepiga ila matokeo yake ndIo hayo. Matokeo yanayotangazwa sio matokeo ya kura zilizopigwa ni matokeo ambao tayari NEC na CCM walikuwa nayo kabla hata ya uchaguzi. Kilichofanyika Jana ni kujaribu kuionesha dunia kuwa kuna uchaguzi wakati hakuna uchaguzi ila washindi walishaandaliwa.
Napenda kukushauri, Watanzania wa Bara sio watu wa kuanza. Ni watu wa kumuona mtu ana anza na wao wanamfuata nyuma. Watanzania wengi wanapenda kuona mfano kwanza then wao ndo hufuata.
Kwa Tanzania ya leo huwezi ku achieve jambo bila kulianzisha mwenyewe. Usione hivi, Watanzania wengi wameumia na huu uhuni uliofanywa na CCM, hao wanaokusema vibaya ni watu wachache sana ambao ndo wana Ccm wenyewe , wengine Tupo na wewe.
Napenda kukushauri jambo moja, kama ni kuaga, ageni familia zenu na ndugu zenu, then wote mtangaze mahali pa kuonana katika maandamano yenu, ifanyike kwenye mikoa yote na muwe serious kwenye hili.
Tangazeni, tarehe ya kufanya haya na muanze kweli. Hata mkianza 2 nawaambia kadri ya muda utakavyokuwa unaenda mtaona watu wanazidi kuongezeka. Najua pia hakuna dunia itakaa kimya ikiona mkifanyiwa unyama
Kigogo amegeuka kuwa kijiti.Daah nyuzi nying leo haziendi kbsaa,na kigogo kapotea hewan ana harisha tu huko alipo