4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Hakuna nakataa ushauri huu Lissu sio mjinga ,anajua anafanya Nini achana icho kichwa, na yapo anayoyashughulikia Wenda ya msingi zaidi so organization Kama mwataka fanyeni mhonavyo Kama alivyo sema kwenye press but kwa Sasa lissu miache kwanza.Tundu Antiphas Lissu
Umeona yaliyotokea, kura Watanzania tumepiga ila matokeo yake ndIo hayo. Matokeo yanayotangazwa sio matokeo ya kura zilizopigwa ni matokeo ambao tayari NEC na CCM walikuwa nayo kabla hata ya uchaguzi. Kilichofanyika Jana ni kujaribu kuionesha dunia kuwa kuna uchaguzi wakati hakuna uchaguzi ila washindi walishaandaliwa.
Napenda kukushauri, Watanzania wa Bara sio watu wa kuanza. Ni watu wa kumuona mtu ana anza na wao wanamfuata nyuma. Watanzania wengi wanapenda kuona mfano kwanza then wao ndo hufuata.
Kwa Tanzania ya leo huwezi ku achieve jambo bila kulianzisha mwenyewe. Usione hivi, Watanzania wengi wameumia na huu uhuni uliofanywa na CCM, hao wanaokusema vibaya ni watu wachache sana ambao ndo wana Ccm wenyewe , wengine Tupo na wewe.
Napenda kukushauri jambo moja, kama ni kuaga, ageni familia zenu na ndugu zenu, then wote mtangaze mahali pa kuonana katika maandamano yenu, ifanyike kwenye mikoa yote na muwe serious kwenye hili.
Tangazeni, tarehe ya kufanya haya na muanze kweli. Hata mkianza 2 nawaambia kadri ya muda utakavyokuwa unaenda mtaona watu wanazidi kuongezeka. Najua pia hakuna dunia itakaa kimya ikiona mkifanyiwa unyama
Unataka kuanzia wapi maandamano yako? Piga punyeto ya mwisho kabisa, maana huku tunakuja kukupa ganzi za mikonoo so unaweza kuwa retired Kwa miezi kadhaa.Tundu Antiphas Lissu
Umeona yaliyotokea, kura Watanzania tumepiga ila matokeo yake ndIo hayo. Matokeo yanayotangazwa sio matokeo ya kura zilizopigwa ni matokeo ambao tayari NEC na CCM walikuwa nayo kabla hata ya uchaguzi. Kilichofanyika Jana ni kujaribu kuionesha dunia kuwa kuna uchaguzi wakati hakuna uchaguzi ila washindi walishaandaliwa.
Napenda kukushauri, Watanzania wa Bara sio watu wa kuanza. Ni watu wa kumuona mtu ana anza na wao wanamfuata nyuma. Watanzania wengi wanapenda kuona mfano kwanza then wao ndo hufuata.
Kwa Tanzania ya leo huwezi ku achieve jambo bila kulianzisha mwenyewe. Usione hivi, Watanzania wengi wameumia na huu uhuni uliofanywa na CCM, hao wanaokusema vibaya ni watu wachache sana ambao ndo wana Ccm wenyewe , wengine Tupo na wewe.
Napenda kukushauri jambo moja, kama ni kuaga, ageni familia zenu na ndugu zenu, then wote mtangaze mahali pa kuonana katika maandamano yenu, ifanyike kwenye mikoa yote na muwe serious kwenye hili.
Tangazeni, tarehe ya kufanya haya na muanze kweli. Hata mkianza 2 nawaambia kadri ya muda utakavyokuwa unaenda mtaona watu wanazidi kuongezeka. Najua pia hakuna dunia itakaa kimya ikiona mkifanyiwa unyama
Wanavichezea viapo ila mwenzao mmoja alitubu kabla hajafa!! Si wote wanaopata hiyo bahati, wengi watakufa kwa kihoro na majutoWakumlaani in Jaji Mugasha aliyetoa hukumu ya dhuluma. Eti wamekula viapo, stupid, wanaopindua nchi si pia wanakula viapo?
Muda utaongea. Sasa hivi hakuna shetani wa kumsingiziaUchaguzi ulikuwepo na ulikuwa fair, usidanganyike na umati aliokuwa anapata Lissu. Watanzania ni wajumbe wazuri sana na si wasahaulifu kivile, tulikumbuka wakati Lissu analilia watanzania kuwa mashoga ili tupate misaada toka Marekani. Pia hatukumsahau alipokuwa anapinga kukamatwa mali zetu zilizokuwa zinaibiwa (makinikia) kisa alikuwa analipwa na mabeberu. Mtu wa namna hii aje kuwa rais wetu unategemea tutakuwa wananchi wa namna gani? Mwache arudi kwao Ulaya akapakatwe na wazungu wake.
Usijali, kesho tunatoa tamko la maandamano nchi nzima. Kaeni chonjo tu.
Tanzania tumefika kiwango cha juu kabisa cha udikteta. Yakiyofanyika kwenye uchaguzi huu hata kuzimu lazima watakuwa wanashangaa. Hatupaswi kabisa kuwa kimya maana ukimya wetu utaathili sisi na vizazi vyetu miaka mingi ijayo. Ni lazima mwaka huu tuchore mstari kuwa hata kukiwa na udhalimu haupaswi kufika kiwango hiki. Naona jumuiya ya kimataifa ipo tayari kutuunga mkono. Ni sisi tu kutumia nafasi zetu maana tukisema tukae kimya tunakoelekea huko ni watu kuuliwa mmoja mmoja. Bora tukemee leo na tuchukue hatua Leo.Nifungue kesi mi MGOMBEA?? MATAGA WAOGA SANA HAWAPENDI USHINDANI!
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Uchaguzi na mahakama, kwa CCM havina maana yoyote. Ni lazima kuja na mbinu mbadala.
Na ukisema ufuate sheria, na sawa na jambazi akumbie ufuate taratibu aluzokuwekea ili umdhibiti. Ni lazima kwenda kinyume na tofauti kabisa na yale aliyekupangia.
Ukienda mahakamani utakutana na makada maharamia wa CCM, siyo majaji wala mahakimu
Ukienda NEC utakutana na makada maharamia wa CCM, siyo watendaji wa Tume huru
Ukienda kwenye misikiti mingi na makanisa mengi, utakutana na makada maharamia wa CCM na siyo viongozi wa dini
Ukienda Polsi, TSS, JTZ na Magreza, maafisa wakubwa utakaokutana ni maharamia wa CCM, na siyo walinzi wa Taifa
Ukienda hayo maeneo au kutegemea maeneo hayo unapoteza muda.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba eti NI YEYENilikwambia WEWE hapo mara nyingi sana humu kuwa Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ukanibishia. Ingia barabarani Sasa, Lissu kashatoa tamko mchana huu na video ipo YouTube naye anawasubiri nyie mlianzishe maana ndo mliotemewa mate usoni na tume ya uchaguzi kwa maelezo yake.
Sasa na wewe unamsubiria yeye alianzishe. Ninachojua watu hawana time, atajikuta yeye tu barabarani. Sisi tunawajua watanzania vizuri na tunaijua CCM vizuri mpaka kuwaambia vile na nyie mkashupaza shingo eti NI YEYE. Nyambaf.
Akapotee zake huko.Muda utaongea.Sasa hivi hakuna shetani wa kumsingizia
Jibu la huyo Hillary David Ni konkiLissu kishawaambia ingieni barabarani, nyie tena mnataka na yeye awepo?? Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mabavicha bana.
Si mlisema mnasubiri tamko la Lissu? Sasa tena nyie mnataka na yeye awepo??
Nimefurahi sanaaaaaa huku nilipo ni nderemo na vifijo tuuuuu watu weweeeeeee
View attachment 1615427
🤣🤣🤣🤣🤣Wakati tumbo la hedhi tu likikushika unahaha kama nn, sembuse ukutane na kirungu cha ugoko au goti..ingia aisee kitaa tupo
Chadema kama sehemu ya watanzania tupo wengi sana. Na uzuri ni kuwa kwa haya yaliyofanywa kwenye uchaguzi wa mwaka huu, si wana Chadema, si wana CCM, wote wamelaani.Hivi nyie Chadema mpo wengi kuliko Watanzania?
Hata Iddi Amini na Hitler walikuwa na mashabiki. Hamtushangazi.[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba eti NI YEYE
Hata Iddi Amini, Mobutu Seseko na Hitler walikuwa na mashabiki. Hamtushangazi. Wachache sana ndo tutaibadirisha hii Tanzania kwa damu zetu. Wengine mtatucheka ila faida ya mabadiliko tutakayoleta mtafaidi nyie na uzao wenu.🤣🤣🤣🤣🤣
Wazo kama wewe nalo ni wazo pia. Tunakushukuru kwa ujinga huuNilikwambia WEWE hapo mara nyingi sana humu kuwa Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ukanibishia. Ingia barabarani Sasa, Lissu kashatoa tamko mchana huu na video ipo YouTube naye anawasubiri nyie mlianzishe maana ndo mliotemewa mate usoni na tume ya uchaguzi kwa maelezo yake.
Sasa na wewe unamsubiria yeye alianzishe. Ninachojua watu hawana time, atajikuta yeye tu barabarani. Sisi tunawajua watanzania vizuri na tunaijua CCM vizuri mpaka kuwaambia vile na nyie mkashupaza shingo eti NI YEYE. Nyambaf.
Kwenye jamii yeyote, mabadiliko ya kweli ya kuwanufaisha watu wengi huwa yanaletwa na watu wachache sana. Wengi hutoa kebehi ila pale mabadiliko yanapotokea, wao na vizazi vya ndo wanaokuja kufaidika.Wazo la mpumbavu kama wewe nalo ni wazo pia. Tunakushukuru kwa ujinga huu
Mkuu sijui nyie kama mnaona kwamba watz wamewapuuza!Ombi kwa POLISI NA JWTZ
Nyie ndo walinzi wa Watanzania, nyie ndo mnashika silaha kwa niaba ya watanzania. Nyie kama jamii ya watanzania na sehemu ya watanzania mmeona kilichotokea tarehe 28 ambapo kura zilipigwa ila watu wametangaza matokeo yao walioyandaa kabla hata ya uchaguzi. Nyie ni mashahidi na mmeona yote.
Nyie pia mnajua kuwa wapinzani ni watanzania, ni ndugu zenu na ni sehemu pia ya jamii yenu kama watanzania. Maisha ya kuwa magumu kwao ni yapo magumu na kwenu pia, bei ya sukari ilkipanda kwao imepanda na kwenu pia na hata watoto wao wakikosa elimu bora na mikopo au ajira ni watoto wenu pia yamewapata haya.
Ombi langu kwenu.
Vyama vya upinzani vimetangaza kufanya maandamano ya amani kuanzia jumatatu, tarehe 2. Ni maandamano ya haki, kudai kurudiwa kwa uchaguzi na tume huru kufanya uchaguzi huo.
Naomba nyie kama sehemu ya watanzania hawa nanyi muwe sehemu ya kudai haya mabadiliko. Msitekeleze amri zisizo halali na kuwapiga na kuwaumiza watu au hata kuua watu kwa sababu mabadiliko wanayoyadai hayatawanufaisha wao tu bali sehemu nzima ya watanzania na nyie mkiwepo pamoja na vizazi vyenu.
Naomba msikubali amri mbovu na muwalinde watanzania kudai haya mabadiliko kwa amani.
Mungu awabariki.
Sasa utajua sasaivi kama tunaweza kuandamana au la.Mkuu sijui nyie kama mnaona kwamba watz wamewapuuza!
Lisu toka siku ya kwanza ya kampeni anatama muandamane. Hakuna hata nzi anathubutu kuandamana. The same jumatatu