Ushauri wangu kwa Lissu baada ya Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kutangazwa

Bavicha bana hamueleweki. Wakati lissu yuko ndani anawasubiri muingie barabarani nyie nao mko ndani mnamsubiri yeye ndo aingie kwanza barabarani. Yaani mnaliana timing😀. We mleta uzi tangaza location uliyopo nije tuuchape mkono kabla hata polisi hawajaingilia ntakua nimeyamaliza maandamano yako uko ndani unaugulia maumivu.

Fanyeni ujinga wenu wa kuandamana ila chonde chonde msimshirikishe kwenye huu ujinga mrembo wangu Ester Matiko, nina ndoto nyingi za kutimiza nae hususani baada ya kukosa ubunge saizi anaingilika
 
Mkuu sijui nyie kama mnaona kwamba watz wamewapuuza!

Lisu toka siku ya kwanza ya kampeni anatama muandamane. Hakuna hata nzi anathubutu kuandamana. The same jumatatu.
 
 
Hawa vijana wanafanya schoolboy politics!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…