Ushauri wangu kwa Mzee Kikwete katika siasa za Tanzania ya Rais Samia

Siafiki tabia ya kunyamazisha watu.
Kwanini akae kimya? Ni binadamu mwenye maoni yake ,si haki kumyamazisha.
 
Mgomo wa madaktari hadi kutekwa kwa ulimboka ilikuwa utawala wa nani? Kikwete alipoulizwa ajira alizotengeneza, nyingi alizotaja zilikuwa za wahudumu wa bar. Kwa nini wewe umeziona nyingi kuliko yeye?

Hata ajira ya kuokota chupa za plastic reject mitaani imeanza kipindi chake. Kafanyia taifa hili mambo mengi makubwa na madogo ya kukumbukwa na historia ya wino wa dhahabu,, hongera kwake.
 
Siafiki tabia ya kunyamazisha watu.
Kwanini akae kimya? Ni binadamu mwenye maoni yake ,si haki kumyamazisha.
Nawe bhana vipi? Kuna watu hawatakiwi kuwa ni wasema hovyo. Wakifungua domo tu, watakachokisema inakuwa ni mjadala. Baiden aliposema juu ya kifo cha kijana wake, media yote ikamsakama na kuhisi ana shida ya brain kwa kutosahau, lakini wewe na mimi unaweza hata ukalia kwa vurugu ukimkumbuka mchepuko wako. It was a stupid timing kwake kusifia Samia.
 
Msoga gang usiku kucha ni kuwaza watajinufaisha vipi na mapato ya nchi,huku wakijiona ni ma born town,kumbe matapeli tu.
 
Huyu na familia yake ilibidi anyanganywe asilimia 75%ya mali zake na familia,zitaifishwe ziwe mali za umma.
Mwaziri wakuu wote wastaafu,Malipo yao yasitishwe,wale pensheni tu kama watumishi wengine.
Bunge livunjwe,iundwe serikali ya mpito,iweke Katiba mpya,jeshi la polisi liundwe upya,usalama wa Taifa ifumuliwe.
Mtu akila Rushwa hata ya shilingi 1,kifungo Cha maisha na kazi ngumu,na kufilisiwa mali zake zote.
 
Mwacheni Jk aongoze nchi msimnyamazishe
 
Veronica unaumia ukiwa wapi kwani😄
 
Umeongea kikamanda kabisa mkuu, salute Sana!
 
Mpuuzi wewe,Wai chato ukafagilie kaburi,unataka kikwete amsifie bwanaako
 
Kama KWELI wamempoteza dikteta,hawakukosea kwa 100%, Hizo chuki zenu kwa Samia na Kikwete ni kupoteza muda misukule ya dikteta Nyie
 
Mgomo wa madaktari hadi kutekwa kwa ulimboka ilikuwa utawala wa nani? Kikwete alipoulizwa ajira alizotengeneza, nyingi alizotaja zilikuwa za wahudumu wa bar. Kwa nini wewe umeziona nyingi kuliko yeye?
Wewe ulikuwa umeshazaliwa? Niulize mimi

Weweulikuwa umeshazaliwa ama? Kwa jk ajira za ualimu na madakatari ilikuwa ukimaliza tu hamna haja ya kuomba ajira unapangiwa moja kwa moja
 
Mkuuu mambo mengi ya ujenzi bila ya Magufuli hapo JK wako asingefanya lolote alikuwa anazurula tu kama pimbi!
 
Wewe ulikuwa umeshazaliwa? Niulize mimi

Weweulikuwa umeshazaliwa ama? Kwa jk ajira za ualimu na madakatari ilikuwa ukimaliza tu hamna haja ya kuomba ajira unapangiwa moja kwa moja
We hujielewi unataka mpaka leo watu wamalize chuo wote waajiriwe! Mfano walimu takribani elfu arobani kila mwaka waajiriwe? Mahitaji ya mda huo ndo yaliruhusu serkali ifanye hivyo!
 
Mkuuu mambo mengi ya ujenzi bila ya Magufuli hapo JK wako asingefanya lolote alikuwa anazurula tu kama pimbi!
Mizurulo ya JK ndiyo iliyosababisha miradi yote hiyo kufanyika bila kusababisha deni la taifa kuwa kubwa kama lilivyo sasa. Nadhani una data ya deni hilo wakati JK anaingia madarakani hadi anaondoka, na unajua hilo deni lilipo sasa.
 
Ushauri huu unafanana /unakaribiana na ule msemo wa "unajifanya msanii katika jumba la sanaa"..
Wengi wetu yawezekana hatufahamu tafsiri ya sayansi ya siasa ya sanaa.
 
Wengine urais utausikia tuu huwezu kuupata hata familia yenu hakuna hata balozi wa nyumba kumi
 
Wivu wa kijinga tu yan kikwete ndani utawala wake miaka 10 hakufanya kitu? Acha chuki
wewe

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
We hujielewi unataka mpaka leo watu wamalize chuo wote waajiriwe! Mfano walimu takribani elfu arobani kila mwaka waajiriwe? Mahitaji ya mda huo ndo yaliruhusu serkali ifanye hivyo!
Leo kuna mahitaji ya walimu kuliko kipindi cha jk. Watoto ni wengi sana na utakuta mwl mmoja anafundisha physics shule nzima na drs moja lina watoto mia mbili na kuendelea. Kwa hiyo point yako haina msingi wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…