Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Ni Samia. Siyo rais Samia.Napenda kuwakumbusha Raisi Samia na CCM wote kwamba neno demokrasia halina maana sawa na haki, na wala demokrasia haihalalishi haki, na pia inaweza kupindisha haki au hata kuhalalisha ukosefu wa haki. Hata siku moja msikate shauri kwamba mtu aliechaguliwa kidemokrasia na wengi ndio mwenye haki, hata kama alichaguliwa kwa kura zote kidemokrasia.
Angalia kwa mfano, wakati fulani huko nyuma kura ilipigwa kuamua kati ya Yesu na Barnaba mmoja wao auwawe. Demokrasia ikaamua Yesu auwawe. Sasa jiulizeni, ilikuwa ni haki Yesu kuuwawa? Ukiwa mjinga utasema ndio, sasa natumaini nyie si wajinga.
Ndio maana basi, katika hekima zake Nyerere aliamua tuingie vyama vingi japo demokrasia haikukubaliana na hilo. Nyerere hapo alitambua ukosefu wa haki katika demokrasia juu ya kuingia au kutoingia katika mfumo wa vyama vingi vya siasa.
Kwa hiyo inaweza kuwa kweli kwamba kunakuwa na demokrasia ya kuchagua viongozi, na tatizo likawa ni demokrasia isiyo na haki. Demokrasia inaweza kuamua dereva wa lori awe daktari wa kijiji au mcheza mpira maarufu awe raisi wa nchi. Yote haya si haki!
Kulingana na uchaguzi wetu mkuu, siwezi kupinga kwamba Raisi Samia alishinda kidemokrasia kwa kura zilizopigwa. Asilimia 99% sijui. Sawa, alishinda kidemokrasia kulingana na kura zilizohesabiwa na kuwa na jina lake. Lakini sasa, ilikuwa demokrasia katika misingi ya haki? Na ninapouliza katika misingi ya haki simaanishi kushinda uchaguzi kwa kuiba kura au kuwa na kura feki, hapana. Ninachomaanisha hapa ni kwamba, ushindi wa Rais Samia ulikuwa ni aina ya ushindi wa kidemokrasia kama vile tu demokrasia ilipoamua Yesu auwawe na mhalifu Barnaba aachiwe huru?
Kwa sababu kama ndivyo ilivyokuwa, basi kila anapiga yowe kwamba Raisi Samia alishinda kidemokrasia, hana tofauti na yule alieshangilia kwamba Yesu asulubiwe na Barnaba aachiwe huru kwa sababu Yesu ameshindwa kidemokrasia!
Sasa mimi naona ni vema sana Raisi Samia na CCM wakatafakari haya kwa uzito. Wasijikite kwenye kushangilia ushindi wa kidemokrasia, bali kwenye kutafakari demokrasia iliyowapa ushindi. Busara zikitumika tutaondoa kivuli cha maovu kinachoifunika nchi yetu kwa sasa. Na tukumbuke inawezekana kabisa demokrasia inanyima watu haki.
Labda kwa kuwa raisi ni cheo sio jina. Ila watu wanakuita jina unalojiita wewe, sio wanalokupa wao.Ni Samia. Siyo rais Samia.
Samia siyo rais. Hakuna aliyemchagua awe rais.Labda kwa kuwa raisi ni cheo sio jina. Ila watu wanakuita jina unalojiita wewe, sio wanalokupa wao.
Umetoa point nzuri sana, ambayo ndio theme ya signature yangu hapo chini.Demokrasia ni mpaka bongo za wadau zifike level fulani ya evolution ambayo nadhani waafrika wengi bado.
Ni Raisi Samia, kisheria. Mengine yanakuwa technicalities.Ni Samia. Siyo rais Samia.
Hakuna sheria iliyotumika kumfanya awe rais.Ni Raisi Samia, kisheria. Mengine yanakuwa technicalities.
Raisi Samia anakabiliwa na changamoto kubwa sana baada ya uchanguzi mkuu. The country is in turmoil. Every step of her leadership of the country is a walk on eggshells. Sijui hata anawezaje kulala usiku. The situation can drive her nuts!
Suluhisho ni moja tu.
Mimi ningekuwa Raisi Samia, ningefanya muafaka wa kweli na vyama vya upinzani - genuine concord or accord na wapinzani. After all,she has nothing to lose. Akifanya muafaka mzuri na CCM wakashindwa uchaguzi ujao, so what? It will be no skin off her nose maana atakuwa anakula pension, Tanzania au hata Oman kwa wajomba zake akitaka.
Mimi ningekuwa Samia, ningejitahidi nirudishe imani ya Watanzania juu yangu. Mend the broken relationship. Kwa sababu her relationship with Tanzanians is severely broken. Mipasho anayoimba kila wakati haisaidii!
Nisingebeza wapinzani. Ningewakumbatia wajisikie ni sehemu ya uongozi wa Tanzania. Kwa mfano, kunapokuwa na ziara za viongozi wa nje siku zote ningepanga ratiba aongee na viongozi wa upinzani, angalau wale wa vyama vikubwa. Na hata kuna wakati mimi na viongozi wa upinzani tungekaa meza moja tunapokutana na ugeni wa nje, ili wote tuongee kwa maslahi ya Tanzania tuliyokubaliana kabla ya kukutana na huo ugeni.
Katika sherehe kama za uhuru, kabla ya hotuba yangu ningetoa nafasi kwa kiongozi mkuu wa upinzani aongee na wananchi, na pia angekaa jukwaa kubwa kama mimi. Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani angetembelea gari yenye namba za serikali na hata kuwa na escort. Kwenye ziara za nje hata ningefuatana na viongozi wa upinzani mmoja au wawili.
Sasa niambie, ukiongoza nchi kwa namna hiyo, utakosa usingizi? Utatukanwa mitandaoni? Utachukiwa na sehemu kubwa ya wananchi?
The formula for being a popular national leader is so simple, unless you are the kind of leader that can't see further than the end of your nose!
Ni kweli, kuna mambo mengine ni rahisi sana kufanya, lakuni ni ubinafsi tu unawapumbaza na kuewapofusha viongozi wetu wengi.Ujumbe wako mzuri sana mkuu Synthesizer , ni vile tu viongozi wetu hawapendi mawazo mbadala tofauti na yale ya makada ambao kimsingi ni wapigaji wenzao.
Kufanya hayo ni kuiondoa CCM madarakani , kuiondoa ccm madarakani ni kuharibu maslahi ya wanachama wenzako mafisadi chamani, unategemea watakufanya nini?Ni Raisi Samia, kisheria. Mengine yanakuwa technicalities.
Raisi Samia anakabiliwa na changamoto kubwa sana baada ya uchanguzi mkuu. The country is in turmoil. Every step of her leadership of the country is a walk on eggshells. Sijui hata anawezaje kulala usiku. The situation can drive her nuts!
Suluhisho ni moja tu.
Mimi ningekuwa Raisi Samia, ningefanya muafaka wa kweli na vyama vya upinzani - genuine concord or accord na wapinzani. After all,she has nothing to lose. Akifanya muafaka mzuri na CCM wakashindwa uchaguzi ujao, so what? It will be no skin off her nose maana atakuwa anakula pension, Tanzania au hata Oman kwa wajomba zake akitaka.
Mimi ningekuwa Samia, ningejitahidi nirudishe imani ya Watanzania juu yangu. Mend the broken relationship. Kwa sababu her relationship with Tanzanians is severely broken. Mipasho anayoimba kila wakati haisaidii!
Nisingebeza wapinzani. Ningewakumbatia wajisikie ni sehemu ya uongozi wa Tanzania. Kwa mfano, kunapokuwa na ziara za viongozi wa nje siku zote ningepanga ratiba aongee na viongozi wa upinzani, angalau wale wa vyama vikubwa. Na hata kuna wakati mimi na viongozi wa upinzani tungekaa meza moja tunapokutana na ugeni wa nje, ili wote tuongee kwa maslahi ya Tanzania tuliyokubaliana kabla ya kukutana na huo ugeni.
Katika sherehe kama za uhuru, kabla ya hotuba yangu ningetoa nafasi kwa kiongozi mkuu wa upinzani aongee na wananchi, na pia angekaa jukwaa kubwa kama mimi. Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani angetembelea gari yenye namba za serikali na hata kuwa na escort. Kwenye ziara za nje hata ningefuatana na viongozi wa upinzani mmoja au wawili.
Sasa niambie, ukiongoza nchi kwa namna hiyo, utakosa usingizi? Utatukanwa mitandaoni? Utachukiwa na sehemu kubwa ya wananchi?
The formula for being a popular national leader is so simple, unless you are the kind of leader that can't see further than the end of your nose!
hii habari nani anawadanganya?Samia siyo rais. Hakuna aliyemchagua awe rais.
Ccm na chadema wote wamekutana hawana akili --- sad truthNi Raisi Samia, kisheria. Mengine yanakuwa technicalities.
Raisi Samia anakabiliwa na changamoto kubwa sana baada ya uchanguzi mkuu. The country is in turmoil. Every step of her leadership of the country is a walk on eggshells. Sijui hata anawezaje kulala usiku. The situation can drive her nuts!
Suluhisho ni moja tu.
Mimi ningekuwa Raisi Samia, ningefanya muafaka wa kweli na vyama vya upinzani - genuine concord or accord na wapinzani. After all,she has nothing to lose. Akifanya muafaka mzuri na CCM wakashindwa uchaguzi ujao, so what? It will be no skin off her nose maana atakuwa anakula pension, Tanzania au hata Oman kwa wajomba zake akitaka.
Mimi ningekuwa Samia, ningejitahidi nirudishe imani ya Watanzania juu yangu. Mend the broken relationship. Kwa sababu her relationship with Tanzanians is severely broken. Mipasho anayoimba kila wakati haisaidii!
Nisingebeza wapinzani. Ningewakumbatia wajisikie ni sehemu ya uongozi wa Tanzania. Kwa mfano, kunapokuwa na ziara za viongozi wa nje siku zote ningepanga ratiba aongee na viongozi wa upinzani, angalau wale wa vyama vikubwa. Na hata kuna wakati mimi na viongozi wa upinzani tungekaa meza moja tunapokutana na ugeni wa nje, ili wote tuongee kwa maslahi ya Tanzania tuliyokubaliana kabla ya kukutana na huo ugeni.
Katika sherehe kama za uhuru, kabla ya hotuba yangu ningetoa nafasi kwa kiongozi mkuu wa upinzani aongee na wananchi, na pia angekaa jukwaa kubwa kama mimi. Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani angetembelea gari yenye namba za serikali na hata kuwa na escort. Kwenye ziara za nje hata ningefuatana na viongozi wa upinzani mmoja au wawili.
Sasa niambie, ukiongoza nchi kwa namna hiyo, utakosa usingizi? Utatukanwa mitandaoni? Utachukiwa na sehemu kubwa ya wananchi?
The formula for being a popular national leader is so simple, unless you are the kind of leader that can't see further than the end of your nose!
Hilo nalo neno.Ccm na chadema wote wamekutana hawana akili --- sad truth
naam, wote hawaa wanapaswa kukaa chini na kbadili mienendo yaoHilo nalo neno.
Kuna wakati nilisema kwamba mpasuko wa kiitikadi nchini kati ya Chadema na CCM ni mkubwa sana sio rahisi kuutibu. Hata Chadema wakichukua nchi hawa CCM watakoma. Chadema watahakikisha wanaiua CCM, na CCM wanajua hilo ndio maana hawawezi kutoa fursa kwa Chadema kuchukua nchi hata kama inabidi waue raia zaidi ya 3000!
Bado wako naye sambamba tu,,??! Doh