infinix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 2,096
- 2,150
Unataka kusema,tuliochukua nchi kutoka kwa wazungu,nchi ilitupwa au lilikuwa ni jaribio la kutumbuiza chooni?Mkuu Pazia 3, kwanza asante kwa bandiko hili. Kiukweli bandiko lako ni la ushauri kwa Watanzania, tufanye majararibio ya kuwajaribisha wapinzani kwa kuwapa Ikulu yetu ili tuone watafanyaje!.
Yaani when you have two options, moja umeona deliveries ya mazuri ya alichofanya, na yanaonekanika, halafu mwingine hana lolote la kuonekanika, lakini ana ahadi tuu, hivyo unatushauri tuache kumchagua aliye deliver, mazuri ya kuonekanika na badala yake tumjaribishe mwenye ahadi ili kuona atafanya nini?!. Huku sio kuchezea shilingi chooni?.
Yaani unawashauri watu waache mbachao, kwa msala upitao?. Mimi nawashauri watu humu, katu, usikubali kamwe, bura yako njema, kuibadili kwa rehani!.
P
Kwa sababu hoja yako hii hii waliitumia waingereza,ili nchi isipewe uhuru wake.
Naomba itafute hoja nyingine,hoja yako hii haina mashiko hata kidogo