Unajivunia uharamia, uovu, ugaidi na ubaladhuri. Fanya siasa.Hahaha Lisu, atakamatwa na hatoonekana tena mpaka baada ya uchaguzi.
Akigombea, basi hatoweza hata kushika mic. Maana wasiwasi tu utamfanya hata adijue cha kuongea.
Uzuri ni kwamba Lissu hajawahi kubabaishwa na makelele ya wachovuHahaha Lisu, atakamatwa na hatoonekana tena mpaka baada ya uchaguzi.
Akigombea, basi hatoweza hata kushika mic. Maana wasiwasi tu utamfanya hata adijue cha kuongea.
Nakuhakikishia kwamba Lissu anashinda Urais 2020 bila shaka yoyoteKusema kweli Lisu hamna cha kumfanya ule ni mzimu unaoishi. Hakuna adhabu mnayoweza kumpa na kumuumiza Lisu zaidi ya zile risasi 36.
Tumieni akili kupambana naye. Hata akishinda urais tume ni yenu polisi ni yenu, mtatangaza mtakachokipenda.
Sawa, unaweza kuziita kelele lakini mimi ni mdau wa Lisu wa karibu sana, ila najua CCM hawawezi kukubali au kuruhusu asimame jukwaani.Uzuri ni kwamba Lissu hajawahi kubabaishwa na makelele ya wachovu
Mimi sio miongoni mwao, nilitoa mtizamo wangu.Unajivunia uharamia,uovu,ugaidi na ubaladhuri.Fanya siasa.
Hata aliposhambuliwa hawakutaka apone lakini kumbuka kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu , Lissu aliponaSawa, unaweza kuziita kelele lakini mimi ni mdau wa Lisu wa karibu sana, ila najua ccm hawawezi kukubali au kuruhusu asimame jukwaani.
Watarudia tena maana hawayakubali challenge zake.Hata aliposhambuliwa hawakutaka apone lakini kumbuka kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu , Lissu alipona
Sasa mwambie kama haogopi arudi aache keleleUzuri ni kwamba Lissu hajawahi kubabaishwa na makelele ya wachovu
Huwelewi, alichokiongea mtoa mada ni kikubwa sana,Hahaha Lisu, atakamatwa na hatoonekana tena mpaka baada ya uchaguzi.
Akigombea, basi hatoweza hata kushika mic. Maana wasiwasi tu utamfanya hata adijue cha kuongea.
Lakini hebu tuwaulize watz wenzetu lisu kawakosea Nini?Hahaha Lisu, atakamatwa na hatoonekana tena mpaka baada ya uchaguzi.
Akigombea, basi hatoweza hata kushika mic. Maana wasiwasi tu utamfanya hata adijue cha kuongea.