Ushauri wangu kwa vyombo vya usalama kuhusu Tundu Lissu

Hahaha Lisu, atakamatwa na hatoonekana tena mpaka baada ya uchaguzi.
Akigombea, basi hatoweza hata kushika mic. Maana wasiwasi tu utamfanya hata adijue cha kuongea.
Atapigiwa kura akiwa jela au nje ya nchi.
Hatutaki ukomunist na ujamaa nchini kwetu uleta umasikini
 
Harudi kwa kuwa amepona, hapa nakataa. Anarudi kwa ajili ya urais(faida za kisiasa). Mbona hakuja mwaka jana au mwakani? Si aliweza kuzunguka dunia kupiga mishe zake za siasa(dalili ya kwamba ni mzima), kwanini hakurudi kipindi hicho.
Ila chadema nimehisi kuwaogopa, sikuwahi kuwaza hili tukio la kikatili alilofanyiwa kwake ni mtaji wa kisiasa. Na inanifanya nikubaliane na mleta uzi. Kama risasi 36 anazitumia kupata urais si moyoni atakuwa anatamani afanyiwe tukio lingine baya zaidi kwa faida nyingine kubwa zaidi?
 
Tusipopata watu wa kujitoa SADAKA taifa hili haliwezi kubadilika wale kupata maendeleo, mwacheni Lisu ameyatoa maisha yake
 
LISSU siku akifika atakuwa amelewa chakali - kwa sababu atakuwa amejitahidi kumaliza vinywaji vikali alivyozoezwa Ubeligiji! Itakuwa ni taabu kujitambua yuko wapi, atazindukana siku ya tatu!
Amehodhi vinywaji vikali anavyonunua - vile vinavyonywewa na watu wa mitaani ulaya (kama ulishaenda huko uliwaona wanakunywa mipombe hiyo). Wale homeless.
Amekuwa alcoholic - hata picha zake mitandaoni alipokuwa anakula chakula kulikuwa na vikali hivyo.
 
Hahaha Lisu, atakamatwa na hatoonekana tena mpaka baada ya uchaguzi.
Akigombea, basi hatoweza hata kushika mic. Maana wasiwasi tu utamfanya hata adijue cha kuongea.
Kwani kafanyaje?
 
Wewe kunya utawaze uende kwenye vijiwe vyako vya kujipendekeza point less
 

Kwanza kurudi kwa ajili ya urais ni haki yake, na hakuna popote alipovunja sheria. Kuzunguka dunia sio kigezo cha kupona. Kumbuka hakuwa kwenye ugonjwa unaohitaji quaranteen, hivyo angeweza kutoka na kwenda popote atakapo kwani ugonjwa wake sio wa kuharisha. Hata baba yangu mzazi yuko hapa Dar kwa matibabu ya cancer, na hajarudi Singida kwani hajapona, na kila mara anatembelea ndugu na jamaa zake walioko hapa Dar, Kwani anapaswa kurejea hospitali kila baada ya siku kadhaa kwakuwa bado anaendelea na matibabu. Mbona harudi kijijini kwakuwa anaonekana kutembelea ndugu na jamaa?

Kama kupigwa risasi ni mtaji wa kisiasa, kapigwe ww ili uwe rais. Tena huko kwenye risasi ni mbali, pigwa tu hata mawe ili ukipita huko mitaani uteuliwe kugombea urais. Ni hivi, hata ukidhikiri uchi hapo mtaani kwenu, waliompiga risasi Lissu wanaeleweka, hivyo hata mtumie utetezi wa aina gani, ukweli uko palepale.
 

Mkuu maoni yako ni mazuri, ila haya ni maoni ya kumvisha uoga zaidi. Kwa bahati mbaya Lisu hajachagua kuwa muoga. Hata Mandela alikaa jela muda mrefu, unadhani alishindwa kukimbia nchi? Ni kweli Lissu atakaa jela na familia itataseka, ila ni kwa maagizo ya rais huyu aliye madarakani, lakini rais huyu sio Mungu, atatoka madarakani na hiyo Lissu atatoka toka maana sio mzee.

Je unaamini hiyo magereza ni hatari zaidi kwake kuliko lile shambulio la kutaka kumuua? Uzuri ni kuwa Lissu hayo mambo yote anayajua, na yuko tayari kwa hilo. Kama ccm hawatakuwa tayari kuona Lissi anashindana na wao, je watazuia uhalisia huo kwa muda gani?
 
Well said.
 
Haji bure na waambia huyu ana lake jambo, mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia. Huu ni ushauri wangu, sio lazima myachukue.
Awe na jambo asiwe na jambo akifika tu Segerea hilo halina mjadala .Court order za kumkamata zipo zinasubiria tu atue.Atadakwa kama mhalifu yeyote anavyodakwa.Ajiandae tu kisaikolojia mapema.Kuwa ni kutoka ulaya kwenye jumba la kueleweka hadi Segerea rumande
 
Utasikia siku hiyo Polifisiem na Jeshi la Wananchi wana kampeni ya kufanya usafi maeneo yote ya wazi ya jiji la Dar es Salaam.
Wewe kama huna kazi nenda fanya kinyume na sheria vyama sasa hivi havina ruzuku ukidakwa ukatwangwa virungu hakuna kiongozi wa chama atapoteza pesa yake ya mfukoni kukutoa rumande au kukutetea.Walikuwa wakifanya hivyo ruzuku ilipokuwepo wanakuwekea hadi mawakili bure.

Sasa hivi hiyo biashara haipo ukitolewa ngeu ni yako na hawara yako na nduguzo
 

Kwani hao waandamanaji huko US wakitolewa ngeu wanawapelekea ndugu za yule jamaa aliyeuwawa na askari?
 
Acha kutishia nyau CHADEMA wewe mleta mada nani taifa gani limtetea LISU ? Huyu aliyepinga serikali isinunue ndege kwa wazungu ili wazungu wakose pesa za mauzo ya ndege zao? huyu aliyetaka kuwaharibia wazungu serikali isinunue bombardier na boeing toka kwao? awaharibie biashara halafu wasimame naye? unaota.Safari hii Chadema hakuna mfadhili mzungu atatoa hata mia.Wazungu wanamuelewa zaidi Magufuli sababu anawaingizia pesa nyingi kupitia manunuzi ya ndege toka viwanda vyao!!

Lisu kwao is a non issue.Akitua tu anatiwa mbaroni chap chap na kupelekwa Segerea
Mlipokuwa mkipinga manunuzi ya ndege tuliwaonya hamkusikia kuwa kuna athari kwenu mbeleni hamkusikia.Mzungu hakuna kitu anaheshimu kama biashara yake.Kampuni zinazozalisha ndege za bombardier na Boeing wanahisa wake wako wengi ni wa wa ulaya,marekani na Canada .Kwa hiyo vita ile Lisu alitaka raia wa nchi hizo wenye hisa wafe njaa serikali ya Tanzania isinunue

Lisu akitua tu ni mwepesi mno Tanzania hatuogopi cha jumuiya ya kimataifa wala nini ni kumdaka kama kuku na kumtupia segerea kama gunia la viazi chap chap

Aje tu akijua breki yake ya kwanza Segerea
 
Haji bure na waambia huyu ana lake jambo, mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia. Huu ni ushauri wangu, sio lazima myachukue.
Nchi zote duniani huwa hakuna diplomasia kwa mhalifu zaidi ya kumkamata!! Lisu ni wa kukamatwa tu na hilo ajue ni serious nobody is joking here
 
Nchi zote duniani huwa hakuna diplomasia kwa mhalifu zaidi ya kumkamata!! Lisu ni wa kukamatwa tu na hilo ajue ni serious nobody is joking here
Makonda anadhulumu haki ya watu kuishi-Pompeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…