Ushauri wangu kwa vyombo vya usalama kuhusu Tundu Lissu

Kwel aliewaita washamba hakukosea
 
Kweli mashetani ni majini na bnaadamu,hakika Qur aan haijawahi niangusha
 
Hahaha Lisu, atakamatwa na hatoonekana tena mpaka baada ya uchaguzi.
Akigombea, basi hatoweza hata kushika mic. Maana wasiwasi tu utamfanya hata adijue cha kuongea.
Risasi 16 operation za maumivu 24 mwilini 'He must be not normal '
 
kuna MTU nimetoka kumueleza hivohivo Leo mchana,huyu jamaa akitua tu bongo hali ya hewa itabadilika na upepo wa kisiasa utabadilika pia,tutamsahau B.Membe na ACT yake!
[ QUOTE/ ]

nani wa kuchafua hali ya hewa? hakuna lolote
 
Huo ni ushauri wa kijinga sana kwa sababu huyu mtu alikuwa mgonjwa sasa amepona anarudi nyumbani kuendelea na harakati zake za kisiasa kama wanasiasa wengine. Woga wenu wanachama wa CCM unatokana na kutokamilisha mkakati wenu wa kumwondoa kabisa duniani kwa sababu ya uwezo wake mkubwa kuwa tishio kisiasa na mngependa kukamilisha kazi mlioanza. Tishio hili kwenu na Serikali yenu mbovu limekuwa kubwa zaidi kutokana na uamuzi wake wa kugombea uchaguzi ujao hasa kwa kuwa Chama chenu kina mgombea tayari ambaye uwezo wake wa kushindana nae mna wasiwasi nao mngependa mtu wenu apite bila kupingwa Kama mlivyozoea. Usemi: Asiyekubali kushindwa si mshindani, kwenu ni lughà ngeni lakini ukweli unabaki palepale kuwa ushindani ni afya ndo maana hata Serkali hiyohiyo inaingia gharama kubwa kuandaa Uchaguzi huu na chaguzu nyingine ili watia nia washindane kupata viongozi bora. Mnakosa ujasiri lakini bora uongozi, badala ya uongozi bora, mnataka kwa sababu mnanufaika na hali hiyo.
 
Rugemalila na seth nadhani wamepata tena patna wa kupiga nae story kule lupango
 
Kila mjinga wa CCM Sasa ni polisi, Afisa Magereza na hakimu kuawathibiti wapinzani ya jukwaani hawayawezi. Hapo ndo tumefikia!
 
Anatakiwa Segerea siku hiyo maana ni mtoro wa kesi Mahakamani, awe na lake jambo asiwe nalo sheria itafuata mkondo wake
 
Angalia akili ya kushikiwa ya huyu aliyehusika na kupotea kwa Ben Saanane.

1. Lissu harudi kwa SHARI bali anarudi kwao
2. Lissu harudi kwa SHARI bali anarudi kutumia haki yake ya KIKATIBA kupinga maovu ya huyo dikteta ikiwemo kudharau Katiba, Bunge, Raia na Mahakama

3. Lissu harudi kwa SHARI bali anarudi kuja kutumia haki yake ya kikatiba kama Mtanzania kugombea nafasi ya Urais kupitia chama chake.

Tuambie wewe na wenzio mwili wa Ben Saanane mliutup

 
Sasa naona umekuwa kuwa. Usisahau kuwa wanamikakati ndo hao akina basihite.
 
Soma vizuri mada acha kukurupuka tukiweka mada na mijadala alikuwa akiichafuwa hii nchi nadhani utanielewa maelezo yako ndio aina ya maongez ya tundu mnarusha viginga vya moto kwenye mafuta ya petrol mkilipuka mnasema mlitegewa
 
Anatakiwa Segerea siku hiyo maana ni mtoro wa kesi Mahakamani, awe na lake jambo asiwe nalo sheria itafuata mkondo wake
uko sahihi
Mengine baadaye kwa Sasa priority ni kuhakikisha anatua segerea Kwanza mengine baadaye mahakamani
 
Soma vizuri mada acha kukurupuka tukiweka mada na mijadala alikuwa akiichafuwa hii nchi nadhani utanielewa maelezo yako ndio aina ya maongez ya tundu mnarusha viginga vya moto kwenye mafuta ya petrol mkilipuka mnasema mlitegewa

Jitahidi kutenganisha serikali na nchi we boya. Lisu anajua vyema tofauti ya serikali na nchi. Ukitaka kujua ww ni kenge fulani, angalia tu unaandika bila hata kuweka koma ama nukta.
 
Somen wote mjue akili za hawa majamaa aibu sana
 
watu wana akili kumzidi,usishange siku anatangaza kufika tz ukasikia makonda hajulikani alipo[emoji3][emoji3],inasemekana ametekwa.

biashara ya lissu ikaishia hapo.
Makonda akitekwa au kujiteka itakuwa sikukuu ya kitaifa, wala hakuna atakayestuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…