Somen wote mjue akili za hawa majamaa aibu sana
Mimi sio miongoni mwao, nilitoa mtizamo wangu.
Lisu angeweza kurudi nchini siku nyingi sana, unadhani kwanini hakurudi kipindi hicho. Unadhani kwanini serikali wamekaa kimya bila kuongea chochote kuhusu Lisu licha ya matangazo ya ujio wake?!
Ningekuwa Lisu nisingerudi, hakuna faida kuozea mahabusu na kuitesa familia.
Lisu ndio mwiba pekee ccm inauogopa kwa sasa.
Risasi za kuua mpige wenyewe halaf muanze kuogopa...mnaogopa nini?Ndugu wa heshimiwa wana usalama najuwa mpo ktk mtihani mzito sana jinsi ya mapokez ya Lisu na kuepusha lawama kwa serikali juu ya huyu jamaa.
Mimi nataka kuwaambia Lisu anajuwa kile anakifanya naana akili sana haji kwa aman anakuja kwa shari ila nilazima kwa mara ya kwanza ktk historia ya taifa hili muwe smart kuepusha taifa hili na Rais wetu kuingia kwenye mtego Hatari wakupoteza thaman yetu kimataifa huku tukiwa na vikwazo vikali toka kwa mataifa ya dunia ya kwanza.
Nashauri akili iwaongoze na atafutwe mtu au watu kumtuliza baba kuvumilia matukio atayafanya huyu bwana ambayo yatakuwa ya kiuchokozi ili tu aguswe ili anuke.
Narudia nibora kuunda kikos kaz kutafasiri matendo yake nakuangalia jinsi yakutumia akili mpotezea kuliko kimbizana naye maana atawapotezea muda nakuchafuwa hili taifa.
Haji bure na waambia huyu ana lake jambo, mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia. Huu ni ushauri wangu, sio lazima myachukue.
si ndio mtakuwa mnasherehekea mkisahau lissu karudi.Makonda akitekwa au kujiteka itakuwa sikukuu ya kitaifa, wala hakuna atakayestuka.
Ndugu wa heshimiwa wana usalama najuwa mpo ktk mtihani mzito sana jinsi ya mapokez ya Lisu na kuepusha lawama kwa serikali juu ya huyu jamaa.
Mimi nataka kuwaambia Lisu anajuwa kile anakifanya naana akili sana haji kwa aman anakuja kwa shari ila nilazima kwa mara ya kwanza ktk historia ya taifa hili muwe smart kuepusha taifa hili na Rais wetu kuingia kwenye mtego Hatari wakupoteza thaman yetu kimataifa huku tukiwa na vikwazo vikali toka kwa mataifa ya dunia ya kwanza.
Nashauri akili iwaongoze na atafutwe mtu au watu kumtuliza baba kuvumilia matukio atayafanya huyu bwana ambayo yatakuwa ya kiuchokozi ili tu aguswe ili anuke.
Narudia nibora kuunda kikos kaz kutafasiri matendo yake nakuangalia jinsi yakutumia akili mpotezea kuliko kimbizana naye maana atawapotezea muda nakuchafuwa hili taifa.
Haji bure na waambia huyu ana lake jambo, mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia. Huu ni ushauri wangu, sio lazima myachukue.
Tatizo la Jpm ni woga tu. Tena huenda uchaguzi ukiachwa uende kwa amani Lissu anaweza wala asishinde uchaguzi lakini Je Jpm ana moyo huo??Ndugu wa heshimiwa wana usalama najuwa mpo ktk mtihani mzito sana jinsi ya mapokez ya Lisu na kuepusha lawama kwa serikali juu ya huyu jamaa.
Mimi nataka kuwaambia Lisu anajuwa kile anakifanya naana akili sana haji kwa aman anakuja kwa shari ila nilazima kwa mara ya kwanza ktk historia ya taifa hili muwe smart kuepusha taifa hili na Rais wetu kuingia kwenye mtego Hatari wakupoteza thaman yetu kimataifa huku tukiwa na vikwazo vikali toka kwa mataifa ya dunia ya kwanza.
Nashauri akili iwaongoze na atafutwe mtu au watu kumtuliza baba kuvumilia matukio atayafanya huyu bwana ambayo yatakuwa ya kiuchokozi ili tu aguswe ili anuke.
Narudia nibora kuunda kikos kaz kutafasiri matendo yake nakuangalia jinsi yakutumia akili mpotezea kuliko kimbizana naye maana atawapotezea muda nakuchafuwa hili taifa.
Haji bure na waambia huyu ana lake jambo, mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia. Huu ni ushauri wangu, sio lazima myachukue.
Lissu aachwe afanye siasa zake kwani zina madhara gani kwa Serikali ya awamu ya tano ambayo imefanikiwa kuwaletea maendelao?? Shida iko wapi.Kitendo cha Lissu kutaja details zote za ujio wake ikiwemo tarehe muda na mahali, inaashiria kuna kitu amejipanga nacho iwapo polisi watataka kumzingua..hilo litoshe kutumia busara na kuacha siku iishe kwa amani. Kesho yake maisha yaendelee kuliko kulianzisha na nchi ikaanza kuandamwa kwa tensions na attentions zisizo na ulazima wowote.
Ni kweli CCM inamuogopa sana lakiji kwa sasa wanatakiwa kuwa makini nae.Mimi sio miongoni mwao, nilitoa mtizamo wangu.
Lisu angeweza kurudi nchini siku nyingi sana, unadhani kwanini hakurudi kipindi hicho. Unadhani kwanini serikali wamekaa kimya bila kuongea chochote kuhusu Lisu licha ya matangazo ya ujio wake?!
Ningekuwa Lisu nisingerudi, hakuna faida kuozea mahabusu na kuitesa familia.
Lisu ndio mwiba pekee ccm inauogopa kwa sasa.
That is expected mkuukuna MTU nimetoka kumueleza hivohivo Leo mchana,huyu jamaa akitua tu bongo hali ya hewa itabadilika na upepo wa kisiasa utabadilika pia,tutamsahau B.Membe na ACT yake!
Kwa mara ya kwanza naungana na wewe kwa maslahi ya taifa. Lissu ni mtu mmoja tu. Kwanini tusimpotezee tu na nchi ikabaki na amani na furaha??Ndugu wa heshimiwa wana usalama najuwa mpo ktk mtihani mzito sana jinsi ya mapokez ya Lisu na kuepusha lawama kwa serikali juu ya huyu jamaa.
Mimi nataka kuwaambia Lisu anajuwa kile anakifanya naana akili sana haji kwa aman anakuja kwa shari ila nilazima kwa mara ya kwanza ktk historia ya taifa hili muwe smart kuepusha taifa hili na Rais wetu kuingia kwenye mtego Hatari wakupoteza thaman yetu kimataifa huku tukiwa na vikwazo vikali toka kwa mataifa ya dunia ya kwanza.
Nashauri akili iwaongoze na atafutwe mtu au watu kumtuliza baba kuvumilia matukio atayafanya huyu bwana ambayo yatakuwa ya kiuchokozi ili tu aguswe ili anuke.
Narudia nibora kuunda kikos kaz kutafasiri matendo yake nakuangalia jinsi yakutumia akili mpotezea kuliko kimbizana naye maana atawapotezea muda nakuchafuwa hili taifa.
Haji bure na waambia huyu ana lake jambo, mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia. Huu ni ushauri wangu, sio lazima myachukue.
Kwani lisu anarudi kwa lengo la kugombea urais?Nakuhakikishia kwamba Lissu anashinda Urais 2020 bila shaka yoyote
Hawajali nia yao nikumzuia asigombee kabisa, wakimuacha watapata shida sana.Ni kweli CCM inamuogopa sana lakiji kwa sasa wanatakiwa kuwa makini nae.
Hawajali hilo, wanajua akiwa mahabusu hakuna wakuwauliza.Kama Kuna kiasi cha ujinga uliobakia ndani ya hii serikali ambao hawqjawqji kuitumia kwa ajili ya kujiweka kwenye hali tete zaidi machoni mwa Jumuiya ya Kimataifa basi wautumie huo ujinga kww kilumkamata na kumtia misukosuko Lisu akiwasili.
Marehemu huwa hawajitetei. Huwa wanatetewa na walio hai.
Nani alimpiga risasi Mh lissuNdugu wa heshimiwa wana usalama najuwa mpo ktk mtihani mzito sana jinsi ya mapokez ya Lisu na kuepusha lawama kwa serikali juu ya huyu jamaa.
Mimi nataka kuwaambia Lisu anajuwa kile anakifanya naana akili sana haji kwa aman anakuja kwa shari ila nilazima kwa mara ya kwanza ktk historia ya taifa hili muwe smart kuepusha taifa hili na Rais wetu kuingia kwenye mtego Hatari wakupoteza thaman yetu kimataifa huku tukiwa na vikwazo vikali toka kwa mataifa ya dunia ya kwanza.
Nashauri akili iwaongoze na atafutwe mtu au watu kumtuliza baba kuvumilia matukio atayafanya huyu bwana ambayo yatakuwa ya kiuchokozi ili tu aguswe ili anuke.
Narudia nibora kuunda kikos kaz kutafasiri matendo yake nakuangalia jinsi yakutumia akili mpotezea kuliko kimbizana naye maana atawapotezea muda nakuchafuwa hili taifa.
Haji bure na waambia huyu ana lake jambo, mpotezeeni tumie njia nyingine za kidiplomasia. Huu ni ushauri wangu, sio lazima myachukue.
Mbona mnamuogopa sana LissuHahaha Lisu, atakamatwa na hatoonekana tena mpaka baada ya uchaguzi.
Akigombea, basi hatoweza hata kushika mic. Maana wasiwasi tu utamfanya hata adijue cha kuongea.
Anatishia uhalali wa ajira zetu, ccm ikiondoka madarakani tutakula wapi?!Mbona mnamuogopa sana Lissu
Lumumba kwa Siku mnaanzisha Nyuzi 40 kumhusu Huyu Mtumishi wa Mungu
Hakuna ambaye hatasahaulika, halafu wakimletea figisu yoyote ile, basi watampaisha vibaya mno!kuna MTU nimetoka kumueleza hivohivo Leo mchana,huyu jamaa akitua tu bongo hali ya hewa itabadilika na upepo wa kisiasa utabadilika pia,tutamsahau B.Membe na ACT yake!