Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mungu wetu sote na awabariki Kwa nia na madhumuni ya ndoto zenu za kisiasa. Imenipasa kusema haya Kwa kuwa mazingira ya wazi yamezibwa na mnakosa prior visibility Kwa Hazina ya wapiga kura wengi. Hata hivyo Bado zipo fursa ambazo hamzitumii ipasavyo hasa vyombo habari TV, Redio, Blogs, Pamoja social media platform/digital platforms.
Nawashauri, wakubwa ndani ya Vyama vyenu hawapo kifikra Kwa ajili yenu.
Anzeni Sasa kutengeneza broad strategies za miaka 10 na kuendelea zinazo angazia maswala ya kiuchumi, kuona fursa, kisiasa, kielimu, andaeni contents muongee na waandaaji na wamiliki huko kwenye media, zungukeni muijue nchi au majimbo yenu na Mipango tanzu ya kukwamua shida za majimboni katika mtazamo mpana.
Siasa za kupayuka majukwaani zinahitaji fikra zinazoakisi ujenzi na mapokeo ya jamii
Amkeni tuzione potential zenu jengeni mwanzo waandishi wa habari wa nchi hawana macho na akili za kuhost mijadala pevu ya nyanja zote. Hasa siasa hawaoni fursa andaeni maudhui fursa hio
Micro and Macro driven political debates si sehemu ya Utamaduni wa nchi hii katika siasa na hakuna atakae waletea hizo reforms.
Entry routes ni pamoja na kuandaa media formal contents and regular airtime ya hizo contents.
Hizo mobilisations za sasa za ujenzi wa matawi Kwa mtazamo wa mikutano ya ndani ni za kujisahihisha na kujijenga Kwa msingi wa structure na party frameworks fixing si Kwa visibility ya wanajeshi wapya
Mentorship inayoendana na siasa za uwazi na mikutano ya wazi ya kisiasa au interface na jamii ni muhimu sana. So fix it with the alternative within current limits
Ikiwezekana tengenezeni clips fupi fupi mzirushe kwenye page zenu za Instagram, TikTok, Facebook, WhatsApp network wekeni content ambazo Hazina kebehi wa kulenga kuchafua mtu, jinasibishe Kwa kuwa neutral na kuweka bayana mtazamo wangu kuhusu, mawazo yangu kuhusu abc, ushauri wangu, pendekezo, maboresho.
Usisibiri wakati ni sasa, hamjachelewa.
Mentorship na Grassroots political party mobilisations programs ni pamoja na kuandaa silaha zenye mvuto hasa za wagombea wapya vijana.
Good morning 👍