Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Nawashauri katika kubalance shobo na mambo mambo kwenye mahusiano.
Ikitokea mwanaume ameomba papuchi nawe lipiza omba mjiti/skinned pipe. Hapo hutasikia mwanaume akilalamika kuwa una tabia za hovyo au unajiuza.
Na mwanaume pia ukiombwa pesa nawe omba pesa. Ili mtu ajifunze kutoomba kitu ambacho hawezi toa yeye mwenyewe. Mtu unapoenda kwa mwanamke kuomba mahusiano unaenda kwa lengo la kuunganishana na kuchajishana siyo kutoa msaada wa kiuchumi.
Mtu unapena naye namba ya simu leo kesho tu ana shida ya kiuchumi aende zake huko.