Math ain't mathing cc: Melancholic😀😀😀😀 Yeye ana-prove upendo wake kwako kwa kukwambia "nakupenda", cha kushangaza anataka wewe u-prove upendo wako kwake kwa kumtatulia matatizo yake ya kifedha.
Math ain't mathing cc: Melancholic😀😀😀😀 Yeye ana-prove upendo wake kwako kwa kukwambia "nakupenda", cha kushangaza anataka wewe u-prove upendo wako kwake kwa kumtatulia matatizo yake ya kifedha.
Uelewa wako bado ni mdogoMwenye haja ya kuwa na mwenza, atamtafuta yeye, ko ukiona wee unamtongoza mtu, jua wee ndo mwenye shida, hivyo kubali masharti utakayopewa.
Acha mapepe toa sasampa hizo, msimu huu umeuza sana machungwa hela unayoWe si ulishamkana na kumtukana humu sana. Naye kwa upole hakujibu kitu.
Pesa zaashangzi tamu sasa sijui nazo ni.haramu jamn😀😀😀haramu tamu