Ushauri wangu kwa Wanawake na pia Wanaume. Jambo hili litakomesha yasiyofaa

😀😀😀😀 Yeye ana-prove upendo wake kwako kwa kukwambia "nakupenda", cha kushangaza anataka wewe u-prove upendo wako kwake kwa kumtatulia matatizo yake ya kifedha.
Ndo hapo wanaposhangaza. Iwe tit for tit au tat for tat hakuna tit for tat
 
Nawee una haki ya kupata papuchi yake ikiwa haikuhusuu?
Wewe haujaelewa point. Anachoongelea mtoa mada ni reciprocal kwenye mchakato mzima wa kuanzisha na kudumisha mahusiano. Kwamba kila mmoja awe tayari kutoa kile kile ambacho anataka apewe

Kama mwanamke anaona ana haki ya kulipwa baada ya sex ilo ni kesi nyingine, ni suala la kuweka wazi tu kwamba anajiuza ili mkubaliane bei
 
Aseme wazi kuwa ndugu yangu mi nauza.
 
Ndo hapo wanaposhangaza. Iwe tit for tit au tat for tat hakuna tit for tat
Kwa kweli lazima kuwe na reciprocal kwenye mahusiano. Mwanaume akiomba mbususu, mwanamke omba mboo. Mwanamke akiomba hela, mwanaume omba hela. Kila mmoja awe tayari kutoa kile kile ambacho anataka apewe
 
Hewaaaaaaaah... Safi sana
 
Wewe haujaelewa point. Anachoongelea mtoa mada ni reciprocal kwenye mchakato mzima wa kuanzisha na kudumisha mahusiano. Kwamba kila mmoja awe tayari kutoa kile kile ambacho anataka apewe

Kama mwanamke anaona ana haki ya kulipwa baada ya sex ilo ni kesi nyingine, ni suala la kuweka wazi tu kwamba anajiuza ili mkubaliane bei
Hata km hajiuzi, wee usimpo mfata kumtongoza, shida itatokea wapiii?
😂😂😂😂😂😂
 
Katika kitu kinawakela wanawake ni kukosa access ya kupata hela ya mwanaume kwa njia ya mahusiano. Just imagine, mtu hajakusaidia kutafuta hela wala hakudai, eti from nothing tu anajiona ana haki ya kupata gawio kwenye kipato cha mwanaume.
Si muwanyime,ila na nyie msiwaombe walivyonavyo
 
😂😂😂😂
Naona anajisahaulisha kama mwisho wa mwezi huu. Tunapoelekea child suppport itakuwa inapitia kwa Melo nichukulie ofisini tuu hayupo siriazi.
 
Haswaaa!! 😂😂😂😂
 
Si muwanyime,ila na nyie msiwaombe walivyonavyo
Ishu sio kuwanyima ishu ni kero. Kwanza kuomba omba ni mtu kujitweza utu wake.

Suala la kuanzisha mahusiano/kutongoza inaeleweka mwanaume ndie anafanya first move. Sasa kama mwanamke anaona hiyo ni fursa ya kupata hela basi aweke tu wazi kwamba anajiuza
 
Hata km hajiuzi, wee usimpo mfata kumtongoza, shida itatokea wapiii?
😂😂😂😂😂😂
Kutongozwa sio fursa ya kupata hela, ni natural human instinct tu ndio inafanya mwanaume awe wa kwanza kufanya first move, lakini haimasnishi kwamba mwanamke hana haja ya kuwa na mwenza.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yeye ana-prove upendo wake kwako kwa kukwambia "nakupenda", cha kushangaza anataka wewe u-prove upendo wako kwake kwa kumtatulia matatizo yake ya kifedha.
Utapeli wa wazi wazi [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tulipofikia sasa reciprocal ni muhimu. Akiniambia nakupenda namwambia nakupenda pia. Akinipa kikojolea nampa kikojoleo pia. Akinitumia hela namtumia hela pia
 
Nawashauri katika kubalance shobo na mambo mambo kwenye mahusiano.

Ikitokea mwanaume ameomba papuchi nawe lipiza omba mjiti/skinned pipe. Hapo hutasikia mwanaume akilalamika kuwa una tabia za hovyo au unajiuza.

Na mwanaume pia ukiombwa pesa nawe omba pesa. Ili mtu ajifunze kutoomba kitu ambacho hawezi toa yeye mwenyewe. Mtu unapoenda kwa mwanamke kuomba mahusiano unaenda kwa lengo la kuunganishana na kuchajishana siyo kutoa msaada wa kiuchumi.

Mtu unapena naye namba ya simu leo kesho tu ana shida ya kiuchumi aende zake huko.
Wameuona ujumbe, wanakuja na ufafanuzi
 
Hata km hajiuzi, wee usimpo mfata kumtongoza, shida itatokea wapiii?
😂😂😂😂😂😂

Si huwa mnasema kuwa mnataka mtongozwe? Kumbe hamtaki tena hilo jambo?
 
Naona anajisahaulisha kama mwisho wa mwezi huu. Tunapoelekea child suppport itakuwa inapitia kwa Melo nichukulie ofisini tuu hayupo siriazi.

We si ulishamkana na kumtukana humu sana. Naye kwa upole hakujibu kitu.
 
Kutongozwa sio fursa ya kupata hela, ni natural human instinct tu ndio inafanya mwanaume awe wa kwanza kufanya first move, lakini haimasnishi kwamba mwanamke hana haja ya kuwa na mwenza.
Mwenye haja ya kuwa na mwenza, atamtafuta yeye, ko ukiona wee unamtongoza mtu, jua wee ndo mwenye shida, hivyo kubali masharti utakayopewa.
 
Back
Top Bottom