Ushauri wangu kwa Zuberi Zitto Kabwe

Ushauri wangu kwa Zuberi Zitto Kabwe

Hana lolote huyu Zitto ni fisadi aliyejificha kwa muda mrefu sasa anaumbuka.Hili suala nafananisha na mchawi anayekuchekea kumbe huwadhuru watoto wako na unapomgundua na kumtangaza huumbuka na kuanza kuropoka uchawi wake.
 
.

Sasa mkisema haya maswala yanatokana na Zitto mwenyewe wakati ni player mzuri ktk team na hamna namba tatu mwingine au mshambuliaji kwa kiwango chake, well mtafungwa mengi sana na ndicho CCM wanakitaka.....Kumbuka tu huu ni ushauri wetu sote kwa sababu tunampenda sana..

Hilo la team-player limeongelewa mara nyingi sana Mkandara. and I still sense some difficulties ahead.
 
Naelewa sana unachozungumza na ndio maana nimeiweka hii mada kwa Zitto kwa sababu team player haiwezi kuwa kiwanjani tu huanzia dressing room ambako mkuu wangu anavurunda sana wakati mwingi..But he is still a good player kama Tavez au Balotelli wa ManCity anahitaji support zaidi ya kashfa.
 
Siasa anazozifanya mh.zitto ni vigumu kwa ww uliyenje na moyo wa chama kutathimini..zitto amezungukwa na simba kila kona.simba wanasaka mbuzi wote na watoto wake..zitto na mwenyekiti +katibu ni tofauti kisa zitto anaonekana amekuwa na nguvu za kisiasa ghafla ndania ya chama
 
Zitto Anafanyiziwa na katibu mkuu wake....wabunge wa chadema wenye mlengo mmoja na mwenyekiti wameungana kutaka kuangusha ngome ya zitto hata kwa unafiki na uzandiki..lakini jamaa yupo strong ile mbaya
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli kweli bwana, maana hao viongozi wenzake wa Chadema ndio waliomtuma akatetee Downs/RIchmond, Mhando wa Tanesco nk.
 
Mkandara,

Nakuunga mkono sana katika ushauri wako huu.Huku tunakoelekea i kuzuri.siasa za maridhiano kabla chama cha upinzani hakijaingia madarakani zinafifisha nguvu ya kuipinga na kuishinikiza serikali.

Ukifanya kazi ya maridhianao na serikali hiyo unataka irekebishe makosa halafu nafasi yako ya upinzani inakuwa irrelevant.mimi ni muumini wa falsafa ya mwanamapinuzi wa ufaransa na Ulaya napoleo bonaparte kwamba 'never interrupt your enemy when he's making mistakes'

Pia tujikite sana katika itikadi.kama kuna chama tunatakiwa kushirikiana nacho kama wapinzani ni vyama vingine vyenye sura ya radical reform katika focus yake na sio chama tawala.Simaanishi upinzani wa kupinga kila kitu but pia upinzani wa kuipongeza serikali katika mabo kadhaa lakini kimkakati.Siyo pongezi zinazokuondolea justification yako ya struggle na kuwashawishi wananchi waiondoe serikali hiyo madarakani.sifia kisera,walime kisera kwa akiba kubwa ya hoja ulizojiwekea kupambana na chama hasimu

Hapa umenena,
Sasa Kijana mwenzetu ameamua kufanya kazi na watala na anaamini kwa kupitia kwa JK ataingia ikulu sijui kwa tiketi ya CDM au CCM anajua yeye. matamko yake na mwenendo wake umekuwa wa kiccm na hawezi mpinga JK kisera hata mara moja siku zote hata JK akikosea anaona sawa fuatilia.
Sasa hapa ndipo mnapokosea nanyi.. Chama ni team players hakuna cha Zitto na matatizo yake. Anapoumizwa Zitto ni lazima myasikie machungu yake hata kama yeye ndio njia ya mkato..

Mpirani maadui wakijua namba tatu ndio njia ya mkato inatakiwa formation ya ulinzi ubadilike, namba saba anashuka kusaidia na namba sita vile vile anacheza zaidi half ya kushoto mnaposhambuliwa..Hii inasaidia kutofungwa magoli maana ushindi wa Soccer/Football hutokana kwanza na kutofungwa.

Halafu pia mkiwa na mshambuliaji mzuri sana lazima yeye atapewa maadui wengi zaidi na pengine hata kukwatuliwa atolewe nje ili oppositon team ipate kufanya wao mashambulizi.. Kumbuka Mechi ya Italia na France alipoondolewa Zidane.. Ilikuwa imepangwa japokuwa ni makosa ya Zidane, Italia ilikosa Ushindi..

Sasa mkisema haya maswala yanatokana na Zitto mwenyewe wakati ni player mzuri ktk team na hamna namba tatu mwingine au mshambuliaji kwa kiwango chake, well mtafungwa mengi sana na ndicho CCM wanakitaka.....Kumbuka tu huu ni ushauri wetu sote kwa sababu tunampenda sana..

Mkandara
Makocha wazuri hata uwe mchezaji mzuri kiasi gani ukishindwa kufuata formation ya mchezo anavyotaka yeye unawekwa bench. Hakuna mcheza mzuri kama hashirikiani na team kushinda. Siasa sio mtu mmoja na mafanikio ya siasa huletwa na kikundi kikubwa chenye mawzo na malengo yanayofanana, sidhani kama Zito anamalengo ya muda mrefu na CDM, na inawezekana amefanikiwa alichokuwa anakitaka sasa yuko kwenye mission nyingine.
The only person who cannot learn anything is the one who already is convinced that he knows everything.

Kula kubwa
Hili ni tatizo la viongozi wetu Afrika na TZ nasikia hata mkuu wa kaya naye anajua kila kitu. Viongozi wetu hawana washauri kutokana na mahitaji, wanajiona wanajua kila kitu. Ninaamini hata CDM ingekuwa na washauri wazuri kwenye nyanja zote na wanaoweza ku-forecast future matatizo ya akina Zito yangekuwa historia. Hatu-vet viongozi wetu tunawapachika tu sio wote wanafaaa kuwa viongozi hata kama wanaongea kama vinanda.

Zitto Anafanyiziwa na katibu mkuu wake....wabunge wa chadema wenye mlengo mmoja na mwenyekiti wameungana kutaka kuangusha ngome ya zitto hata kwa unafiki na uzandiki..lakini jamaa yupo strong ile mbaya
Hakuna mtu anamfanyizia Zito ndani ya CDM, matatizo yote kayaanzisha mwenyewe, ninsingependa kumnanga hapa wala wale. Ila kwa picha kubwa angalia kwanini Zito haivi na yeyote ndani ya chama ila inaiva na JK na watawala wa CCM, je kwanini usijiulize wakati wengine wako kwenye harakati yeye yuko na watawala.

Kwa nini usione Zito anaamua kwa makusudi kuacha makubaliano na kutoka nje ya mstari kwa makusudi. Ni mara ngapi Zito amekwenda hadharani kuzungumzia habari za vikao za ndani za chama bila makubaliano ya chama kwa kile anachokiita yeye anaamini misimamo yake na hafungamani na upande wowote. hata huko CCM anakokupenda kuna taratibu na kanuni ndio maana wanazililia zinavunjwa na wanaonaona baadhi ya watu ni vikwazo. Siku zote subiri huvuta heri.
 
Mkandara
Makocha wazuri hata uwe mchezaji mzuri kiasi gani ukishindwa kufuata formation ya mchezo anavyotaka yeye unawekwa bench. Hakuna mcheza mzuri kama hashirikiani na team kushinda. Siasa sio mtu mmoja na mafanikio ya siasa huletwa na kikundi kikubwa chenye mawzo na malengo yanayofanana, sidhani kama Zito anamalengo ya muda mrefu na CDM, na inawezekana amefanikiwa alichokuwa anakitaka sasa yuko kwenye mission nyingine.
Sasa ktk swala la Zitto Kocha ni nani? maana najua yeye na Dr.Slaa hawana matatizo isipokuwa matatizo yako dressing room..Au ndio ya Azam kumuuza mchezaji kwa sababu alivaa jezi ya Yanga na kocha pia kwa kumpanga mchezaji wa Yanga!.
 
kocha ni chama, wanachama na katiba ya chama sio mtu kwani wote watapita ila chama kitakuwepo. Ieleweke kuwa pamoja na mitizamo na matendo ya Zito bado anao wengi wanamwamini na yeye anaamini hivyo, ila kwenye safari hii ndefu na ya kupokezana vijiti naona ameamua kucheza mpira anavyojua yeye na ndani ya viongozi wa chama wanamtazama kwa mshangao bila kuwa na la kusema. Tetesi za rushwa dhidi yake hazijaanza jana inawezzekana kwa sababu ya misimamo yake kuyumba na kubadili position kila mara ndio maana anashukiwa au kweli ana kula au vyote au hali ila ni mazingira tu. kuyumba kwa misimamo yake hasa kwenye mijadala ya kisera inatokana na yeyye ama chama kutoshikiana kwenye matatizo ya kisera nje ya chama na mapambano ya kwenda magogoni.
 
Zitto ni makini ila mapungufu machache kwa wanasiasa tunaweza kuyarekebisha.Ni role model wa wanasiasa vijana wengi
 
Hapa umenena,
Sasa Kijana mwenzetu ameamua kufanya kazi na watala na anaamini kwa kupitia kwa JK ataingia ikulu sijui kwa tiketi ya CDM au CCM anajua yeye. matamko yake na mwenendo wake umekuwa wa kiccm na hawezi mpinga JK kisera hata mara moja siku zote hata JK akikosea anaona sawa fuatilia.

Hapo bold ndipo anapoingia kwenye intrigue ambayo kujinasua ni ajipange upya! Nadhani alifanya haya kwakutumia experience of the past bila kujua the power has changed hand; akitegemea uwezo wa outgoing kuweka successor wake. The problem is huyo hawezi weka successor mmoja aka risk maana uncertainity kwa nchi hizi zinazoendelea ni kubwa mno na huyo hajawa na real command ukiachia ile ya kitaasisi kama ilivyo kwa baba wa taifa. Sasa anajikuta hana support ndani ya institution ambayo masikini ali-invest huko kwakiwango kikubwa na huko kwingine hiyo nguzo yake (if at all your hypothesis is right) atapima upepo na akiona nguvu inayotakiwa nje na ndani kumpa yeye ni kubwa mno ata enda kwa a better devil hapo tayari anakuwa ametoswa. Hii ndiyo shida kubwa na nionavyo mm hao nao wanashikilia mhimili wao wenyewe kuendelea kwao ni hati hati na mbaya zaidi the outgoing kuna ambao wanaweza ku-risk kum by pass wakafanikisha yakwao bila kumhusisha maana baada ya kipindi chake nguvu zote zinayeyuka kama barafu......

People you have to learn to trust God maana ndiye anayeweza kuweka mazingira na ku-command nature iwe in your favour otherwise amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu mwenzake na kumfanya kuwa kinga yake huku moyoni amemwacha Mungu!

Well na mm nimepewa offer na huyo Muumba mbingu na nchi safari hii niwe authority na nitakaye msema ndiye ndiyo atakuwa for that matter piga ua kiti hakitakaliwa na mtu yeyote mwenye hata harufu ya ufisadi iwe ni CDM, CCM, CUF or any other it does not matter naye awe kweli na guts za kuisafisha nchi vinginevyo no ways! Hapa niko katika kisiwa cha Potifa ninascrutinize majina kama vile Samweli alipoenda kwenye nyumba ya Yese ili ni mpake mafuta nitakayeonyeshwa!
 
kocha ni chama, wanachama na katiba ya chama sio mtu kwani wote watapita ila chama kitakuwepo. Ieleweke kuwa pamoja na mitizamo na matendo ya Zito bado anao wengi wanamwamini na yeye anaamini hivyo, ila kwenye safari hii ndefu na ya kupokezana vijiti naona ameamua kucheza mpira anavyojua yeye na ndani ya viongozi wa chama wanamtazama kwa mshangao bila kuwa na la kusema. Tetesi za rushwa dhidi yake hazijaanza jana inawezzekana kwa sababu ya misimamo yake kuyumba na kubadili position kila mara ndio maana anashukiwa au kweli ana kula au vyote au hali ila ni mazingira tu. kuyumba kwa misimamo yake hasa kwenye mijadala ya kisera inatokana na yeyye ama chama kutoshikiana kwenye matatizo ya kisera nje ya chama na mapambano ya kwenda magogoni.
Duh sasa mwenzangu unachapia.. Chama leo ndio kimekuwa kocha tena? haya na Team itakuwa nini?, sema ukweli pengine Chadema haina kocha as a team?..tunapuyanga tu mpira wa vumbi kidongochekundu!.

Sikilia kitendo cha Zitto kubusu jezi ya Yanga haina maana ndio roho yake iko huko, mbona ndiye huwafunga magoli?..Duh samahani kutumia jina la Yanga maana nasikia Chadema wengi ni Yanga vile vile. Kwa hiyo niseme Zitto kuibusu jezi ya Simba, wakati anawahakikishia Kombe litatua Jangwani kwa nini hataki kumwamini ilihali kocha Dr.Slaa anamwamini?
 
Hahahahahahahahahahahahaha
kumbe ni wewe! Za siku!
Zitto Anafanyiziwa na katibu mkuu wake....wabunge wa chadema wenye mlengo mmoja na mwenyekiti wameungana kutaka kuangusha ngome ya zitto hata kwa unafiki na uzandiki..lakini jamaa yupo strong ile mbaya
 
Last edited by a moderator:
Zitto ni makini ila mapungufu machache kwa wanasiasa tunaweza kuyarekebisha.Ni role model wa wanasiasa vijana wengi

Nakubaliana na wewe kabisa kaka.. Nafikiri chochote kilichopo kinaweza kurekebishwa.. Kumbuka ni wajibu wa chama kulea na kurekebisha wanasiasa vijana ili waweze kuwa strong zaidi hapo mbeleni.. Naamini kabisa Zitto ni kati ya wale vijana wakiendelea kulelewa vizuri katika chama atakuja kuwa mwanasiasa bora kabisa huko mbeleni..
 
Mkuu wangu binafsi yangu sidhani kabisa kwamba Zitto anasukumwa na tamaa ya Pesa - Hapana.. sio kweli kwa sababu namjua Zitto japo sii kwa saana hivyo. Sii mla rushwa tena nadhani anapiga vita rushwa kuliko watu wengi sana hata ndani ya chama chake mwenyewe hupenda kuhoji matumizi ya chama..Ni mtu safi sana inabidi uwe naye karibu ndio utamjua..
...

Mkuu Mtoa mada/wewe hajasema kuwa jamaa ni mla rushwa na wala rushwa si kigezo pekee cha kupima uadilfu wa mtu.Zitto hawezi kuwa mpinzani wa wapinzani na akabaki friend wa upinzani.He is an enemy of ccm enemy and that make him CCM`s friend than CDM compatriot.

Zitto amejidanganya kuwa alikuwa akiwaconfuse wana CDM ila hapa yeye ndio anonekana kujidanganya na kujichanganya zaidi.

Na sasa ni wazi kuwa ameshaenda mbali sana kiasi cha kuwapa CDM nafasi nzuri ya kumtema tena bila kumpa nafasi ya kugombea vipindi vijavyo.

Zitto si masikini tena kama watu wanavyofikiri, labda kama wanamaanisha kuwa umasikini wa fikra haujamtoka.Maisha yake yanajisema wazi kuwa si masikini wa hela tena.

Ndugu umejaribu ingia katika mtego wa ajabu.Normally huwa hatuguarantee binadamu kuwa ni mwadilifu muda wowote unaokuja na miaka mingi ijayo.Kama kubadilika kwa kwa imani, kupata pigo la kisaikologia kama kuachika na mpenzi etc kunaweza mbadili binadamu na kuwa kitu cha ajabu, sioni sababu ya kushupaa kutaka sadikisha watu kuwa Zitto ni mwadilifu hadi sasa na hadi kipindi CDM wanachagua mwakilishi wao.Kwanza Zitto anaweza asiwe na nguvu Kigoma yenyewe kama anavyodhani leo.Kura zake zilizompitisha kuwa mbunge zinajisema zenyewe kuwa si lazima umaarufu wake uwe unapanda.

Zitto tayari keshapanda mbegu kwa wana CDM walikuwa wakimwona katika kampeni.Hakuwa aki enjoy raia masikini walivyokuwa wakiruka na kucheza midundo na performance live za mr II.Alionekana wazi kuwaona raia masikini waliokuwa wakijipa matumaini kwa kushangilia nyimbo za sugu km vile wenda wazimu na wanapoteza muda huku akitabasamu kwa dharau.Nilimwangalia sana katika show za Arumeru.Hakuonekana kupenda kuwajali sana watu wachafu wala kufurahia attantion za wana CDM wengine ambao pengine anawaona ni junior kwake.Na wala hili halina na ubishi kwa wanaoujua saikologia na kufahamu gesture mbalimbali za mtu.

Tuache ushabiki Zitto kateleza na this time kateleza vibaya .Kama ni mbegu ya mashaka keshaipanda na kaiweka maji imeshaota na kukua.Na ajue akicheza itampasa aachane na siasa na kwenda fanya business nyingine,alizozisomea.Nani hajui alivyokuwa akishupaa wakati wenzie wakitoka katika bunge.Nani hajamwona anavyojipambanua kwa mambo yasiyoridhisha na kinyume na CDM.Miongozo yake wakati bunge likianza ilikuwa ikiboa, alikuwa kaisimama hovyo kama mtoto king`ang`anizi anayetaka onyesh akuwa kazoea bunge na pengine ni kama senior katika bunge.Lakini time zilivyoenda kaonekana si kitu ch atofauti sana katika cdm.Representation ya Sugu, Mnyika , na vijana wengine imekuwa nzuri sana kiasi na kama ni uzalendo hapiti yeyote hapo juu.Na asidhani kuwa ana chochote cha kisiasa ambacho anaweza mpita nacho JJ Mnyika.Labda fani za taaluma zao ambazo ni tofauti.Soon hata hao watu wa kigoma anaowatumia kulalamika nyuma yake ajue kuwa kura zao ni sehemu ndogo ya watanzania.Na sijui hata kama CDM watatikisika kwa hilo jimbo kwani NCCR wana option ya kuwazawadia CCM.

Pole Zitto ulipojiweka hakuna atakayekuamini tena hata ukijirudi na kutubu.Utabaki kama Malecela ndani ya CCM.
 
Wewe kila atakaye kuwa ana tofautiana na viongozi ndani ya cdm lazima umuunge mkono!
Hilo halina ubishi
Hahahahahahahahahahahahaha

Siasa anazozifanya mh.zitto ni vigumu kwa ww uliyenje na moyo wa chama kutathimini..zitto amezungukwa na simba kila kona.simba wanasaka mbuzi wote na watoto wake..zitto na mwenyekiti +katibu ni tofauti kisa zitto anaonekana amekuwa na nguvu za kisiasa ghafla ndania ya chama
 
Zitto ni makini ila mapungufu machache kwa wanasiasa tunaweza kuyarekebisha.Ni role model wa wanasiasa vijana wengi

Hembu fikiri katika hayo machache chache vikiwa ni kulawiti(mfano), usaliti wa chama wakati mapambano yamekolea, na rushwa adui wa haki, ....utamiwita mwenye haki au makini?Umakini utakuwa wapi kama hakuwa makini hapa?Haya ndio yale ya JK anaangushwa na watendaji wake.Sasa wapo wataotaka jitete kuwa Zitto CDM ndio wanamwangusha.Ila ni Zitto kujiangalia kama sasa nahitaji jiuliza utayai wake wa kuendelea zikubali taratibu/Siasa za CDM na kama hazimridhidhi kama za CCM basi ni kipindi muafaka cha kuhamia CCM na sipoteze muda kukiachafua chama au ku demonize siasa za Chama.

Mbona hatokuwa wa kwanza kwani si ajabu hata waasisi wa vyama,itikadi ,taasisi nyingine kuacha amini misingi waliyoianzisha nayo na kuamua kuachana nazo.Hata wachawi nao hujitoa katika uchawi, au hata watu wa dini zipingazo uchawi nao huacha hizo imani na kuingia katika uchawi, hata watu waadilifu nao wap wanaoamua kuingia katika wizi, zinaa, na ulevi wa kupindukia. So hata Zitto kama haamini baadhi ya mambo ya msingi yanayoendelea CDM asiogope kujitoa hata kama anaingia katika utamaduni unaofanana na wizi,rushwa, uchawi etc kwnai bado atahukumiwa au kukubalika kuwa kaamua chagua hayo.
 
Sasa hapa ndipo mnapokosea nanyi.. Chama ni team players hakuna cha Zitto na matatizo yake. Anapoumizwa Zitto ni lazima myasikie machungu yake hata kama yeye ndio njia ya mkato..

Mpirani maadui wakijua namba tatu ndio njia ya mkato inatakiwa formation ya ulinzi ubadilike, namba saba anashuka kusaidia na namba sita vile vile anacheza zaidi half ya kushoto mnaposhambuliwa..Hii inasaidia kutofungwa magoli maana ushindi wa Soccer/Football hutokana kwanza na kutofungwa.

Halafu pia mkiwa na mshambuliaji mzuri sana lazima yeye atapewa maadui wengi zaidi na pengine hata kukwatuliwa atolewe nje ili oppositon team ipate kufanya wao mashambulizi.. Kumbuka Mechi ya Italia na France alipoondolewa Zidane.. Ilikuwa imepangwa japokuwa ni makosa ya Zidane, Italia ilikosa Ushindi..

Sasa mkisema haya maswala yanatokana na Zitto mwenyewe wakati ni player mzuri ktk team na hamna namba tatu mwingine au mshambuliaji kwa kiwango chake, well mtafungwa mengi sana na ndicho CCM wanakitaka.....Kumbuka tu huu ni ushauri wetu sote kwa sababu tunampenda sana..

Pia substitution ni option nzuri zaidi kama una bench zuri.Siku hizi ukimhamisha number maadui wanahama naye .Mbaya zaidi Zitto hajui team play ndio maana huwa wenzie wakitoka bungine huwa anajitenga ili kujisafisha, wenzie wakiongelea ndani ya Chama, kujipima na kutangaza nia ndani ya chama ili aangalie jinis ya kutangaza nia yeye huwa anakwenda kutangazia enemies wa chama chake jinsi watakavyoweza kiangusha chama chake.Sidhani kam kweli ana nia ya kugombea kupitia CDM ili ashinde.Kwani by the time anagombea atakuwa amedhoofisha chama sana kiasi cha kutoshinda.Atakuwa chukizo kwa wanachama kiasi cha kuwafanya wakiadhibu chama naye anaweza asiwe na nia ya ku appeal pakiwa na uchakachuaji.
 
Mkuu Mtoa mada/wewe hajasema kuwa jamaa ni mla rushwa na wala rushwa si kigezo pekee cha kupima uadilfu wa mtu.Zitto hawezi kuwa mpinzani wa wapinzani na akabaki friend wa upinzani.He is an enemy of ccm enemy and that make him CCM`s friend than CDM compatriot.

Zitto amejidanganya kuwa alikuwa akiwaconfuse wana CDM ila hapa yeye ndio anonekana kujidanganya na kujichanganya zaidi.

Na sasa ni wazi kuwa ameshaenda mbali sana kiasi cha kuwapa CDM nafasi nzuri ya kumtema tena bila kumpa nafasi ya kugombea vipindi vijavyo.

Zitto si masikini tena kama watu wanavyofikiri, labda kama wanamaanisha kuwa umasikini wa fikra haujamtoka.Maisha yake yanajisema wazi kuwa si masikini wa hela tena.

Ndugu umejaribu ingia katika mtego wa ajabu.Normally huwa hatuguarantee binadamu kuwa ni mwadilifu muda wowote unaokuja na miaka mingi ijayo.Kama kubadilika kwa kwa imani, kupata pigo la kisaikologia kama kuachika na mpenzi etc kunaweza mbadili binadamu na kuwa kitu cha ajabu, sioni sababu ya kushupaa kutaka sadikisha watu kuwa Zitto ni mwadilifu hadi sasa na hadi kipindi CDM wanachagua mwakilishi wao.Kwanza Zitto anaweza asiwe na nguvu Kigoma yenyewe kama anavyodhani leo.Kura zake zilizompitisha kuwa mbunge zinajisema zenyewe kuwa si lazima umaarufu wake uwe unapanda.

Zitto tayari keshapanda mbegu kwa wana CDM walikuwa wakimwona katika kampeni.Hakuwa aki enjoy raia masikini walivyokuwa wakiruka na kucheza midundo na performance live za mr II.Alionekana wazi kuwaona raia masikini waliokuwa wakijipa matumaini kwa kushangilia nyimbo za sugu km vile wenda wazimu na wanapoteza muda huku akitabasamu kwa dharau.Nilimwangalia sana katika show za Arumeru.Hakuonekana kupenda kuwajali sana watu wachafu wala kufurahia attantion za wana CDM wengine ambao pengine anawaona ni junior kwake.Na wala hili halina na ubishi kwa wanaoujua saikologia na kufahamu gesture mbalimbali za mtu.

Tuache ushabiki Zitto kateleza na this time kateleza vibaya .Kama ni mbegu ya mashaka keshaipanda na kaiweka maji imeshaota na kukua.Na ajue akicheza itampasa aachane na siasa na kwenda fanya business nyingine,alizozisomea.Nani hajui alivyokuwa akishupaa wakati wenzie wakitoka katika bunge.Nani hajamwona anavyojipambanua kwa mambo yasiyoridhisha na kinyume na CDM.Miongozo yake wakati bunge likianza ilikuwa ikiboa, alikuwa kaisimama hovyo kama mtoto king`ang`anizi anayetaka onyesh akuwa kazoea bunge na pengine ni kama senior katika bunge.Lakini time zilivyoenda kaonekana si kitu ch atofauti sana katika cdm.Representation ya Sugu, Mnyika , na vijana wengine imekuwa nzuri sana kiasi na kama ni uzalendo hapiti yeyote hapo juu.Na asidhani kuwa ana chochote cha kisiasa ambacho anaweza mpita nacho JJ Mnyika.Labda fani za taaluma zao ambazo ni tofauti.Soon hata hao watu wa kigoma anaowatumia kulalamika nyuma yake ajue kuwa kura zao ni sehemu ndogo ya watanzania.Na sijui hata kama CDM watatikisika kwa hilo jimbo kwani NCCR wana option ya kuwazawadia CCM.

Pole Zitto ulipojiweka hakuna atakayekuamini tena hata ukijirudi na kutubu.Utabaki kama Malecela ndani ya CCM.
Mkuu wangu samahani sana kwa haya nitakayo changia kwa sababu nadhani umetoka nje ya mada yetu. Hapa nia yangu ilikuwa kumkanya Zitto kwa makosa anayoyafanya nyuma kisiasa, kwa fikra zake anafikiria ama kukidhania yeye kinasimamia maslahi ya wananchi basi atafuata mkondo wowote anaodhani una malengo mazuri..

Na hata ukimsikia ktk majibu yake mengi hutumia maneno haya ya kujiamini yeye pekee kwa kila anachokifanya ama maamuzi anayochukua, kumbe Kisiasa ni makosa makubwa sana, na hasa kwa nchi za Kiafrika unajimaliza kisiasa. Ni sawa na mwanamke/mwanamme alokuwa kwenye ndoa anaamua kufanya atakavyo kwa sababu he/she think of their personal rights of being independent..Unapokuwa katika ndoa kuna mambo lazima uyaache na kuna marafiki inabidi uwaache. Huchaguliwi marafiki lakini unashauriwa kuwa makini single friends wanaokuvuta kwenda Nyumbani Lounge bila mwenza..

Hii ndio logic behind, kumnasua Zitto ktk kiza lakini hakuna ukweli wowote kwamba Zitto ni mla rushwa. tena naweza sema kuwa na mashaka na watu wengine ndani ya Chadema kuliko Zitto japokuwa kwa Bongo yetu sidhani kama kuna mtu hata mmoja ni MSAFI niseme SAINT - Hakuna, alikuwa Nyerer naye kisha kutoka.. Jamani tusidanganyane, hali ya maisha na mfumo uliopo leo hii TZ huwezi kumpasa mtu msafi kabisa kabisaaa ambaye akaingia uongozi au Ubunge kwa usafi na anategemea atabakia mbunge kwa usafi wake wakati nchi nzima ipo ndani ya bomba la majitaka (sewerage system)... Inawezekana kweli?..mimi nina mashaka..sasa haya ya kumsingizia Zitoo mla rushwa wakati sii kweli na anajaribu kuwafahamisha hamtaki kujua yeye afanyeje? mnataka Zitto avue nguo zake kuwaonyesha ukichaa ndio muweke imani naye...Tena amini maneno yangu ningekuwa Zitto ningwambia ile Hotel Dodoma yangu, Nina majumba Dar Kigoma na kwingineko, leteni ushahidi zimetokana na rushwa..

Katika haya ya RUSHWA ni lazima mfahamu ya kwamba CCM wanataka WanaChadema muendelee kumchukia ZItto, utengano wetu utaanzia kwake na sijui kama umenielewa uliposoma Utangulizi wa kichwa cha mada..Kama Chadema itamfukuza Zitto ama kuendelea kumsodolea kidole, itafika mahala aidha yeye kujitoa ama Chadema kumfukuza na nakuhakikishia Kama Zitto ataondoka Chadema kama wanavyotaka CCM.. Amini maneno yangu 2015 uchaguzi mkuu usikieni ktk magazeni na Tv.. Chadema itaporomoka kama CUF 2010 kumbuka hawakudhania kwamba itatokea hivyo hadi uchaguzi waliendelea kuamini wao ni mbadala..Na Zitto hawezi kuifanya kazi nje ya CDM huo ndio utakuwa mwisho wake kisiasa.. aamini maneno yangu atakuwa Mbatia au Jussa wa Chadema, kuingia Ubunge kwa hisani ya rais au baraza la wawakilishi..

CCM wanataka Chadema kisambaratike kupitia Zitto na inaonekana mnaumeza mtego wake nyote sii Zitto au wanaChadema... Mkae chini muulizane nini matatizo yetu, na kwa nini hatuishi kugombanishwa ukweli ni upi..Chadema njooni na mafaili yenu mlopewa kuhusu Zitto na Zitto aje na mafaili yake alopewa kuhusu Viongozi wengine wa Chadema halafu mtayatazame mlinganishe ukwlei ndio mtajua kwamba nyote mlikuwa mkilishwa uongo..
 
hata mimi nia ni kumkanya

Issue hapa si kuwa nani si mchafu ama nani ni msafi zaidi na hivyo zitto hawezi ichukua kama claim ya kumtoa katika haya anayoonywa.Hiyo haitokuwa logic.Kama Zitto anataka blackmail CDM atakuwa ameanguka na atakuwa amethibitisha kuwa anahitaji kusoma logic,kabla ya kuutaka ujemedari mkuu.NAPATA KICHEKESHO KUWA NA PRESIDENT ANAYETAKIWA AWAJIBIKE KWA MATENDO YAKE HALAFU ANAPOTEZA MUDA KUNYOOSHEA MIKONO WATU KUWA NAO WAMEKOSA NA HIVYO AIULIZWE.nilitegemea pia nawe ungesema kama kuna wenye makosa basi angeyatibua kabla ya yeye kufanya hayo ayafanyayo huku akihifadhi ya wengine kama tool ya kublack mail.Hii inaonyesha hata katika rushwa anaweza kuwa keshazama kwa imani kuwa naye atalipuwa wengine.Na hapa huo uzalendo wa chama na Nchi hauna mshiko kwani hii dhana inautengua.

Kumshawishi zitto afikiri kuja na mafaili na cdm waje na mafile yao ili kulinganisha ni hatari zaidi na uthibitisho tosha kuwa Zitto ni chambo ya jaribio la kuibomoa CDM.Ingawa bado naamini zoezi la kutaka bomboa CDM kama chama ni baya na la hatari hata kwa CCM wenyewe kwani, kila credit waipatayo CDM haipokonywi hata aliyeileta akitoka.Wananchi wapo so much programmed to associate any good thing from an individual to CDM but all failures as personal weakness.So this time around ituko vya Zitto vinazama naye na si chama mbele ya wanachama,hiyo ndio akina shibuda hawajui.So CCM wakipoteza muda wajengea watu umaarufu halafu wajetumia huo umaarufu kubomoa chama,watajikuta wanabaki msaliti wao na vita kubwa na wananchi.CCM waju kila umaarufu unaoingia CDM ni one kama valve, halafu CDM ni dynamic kiasi cha kufanya formula ya kuanguka kwa CUF ilsi apply.Take my word, Waulize CCM katika mipango yao mingi waliyoweka iwe matured katika time fulani mingapi imekuwa irrelevant kabla hat akipindi hakijafika?Ni makosa kwani kama sasa hivi wameifungia mwanahalisi kama paper wakaacha website ambayo sasa hivi waandishi wanaweza andika hata bila kuweka majina na kuendelea kufanya kazi kama weak leaks.

Nimependa paragraphy yako ya mwisho kwani inavyojieleza kama vile kuna different personality in mixed message kwa ujumla.Napenda umakini wako na umahiri wa kuandika ila nahofu big idea behind.should I hire a decoder to decode your mindset?

Ujumbe wangu kwa wanasiasa wenye umaarufu wa mlipuko na wanaoshikiliwa na mitandao yenye tafsiri fulani ya ubora ambayo si universal.Wajue raia si wajinga kihivyo.Wapo raia wanaowashangaa sana kupitia the so called common sense.Na infact siku hizi tanzania inashangaza common sense katika jamii yetu ipo above understanding ya wasomi wengi wenye ushawishi katika nchi.
 
Back
Top Bottom