Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
UNA MDONDO AU KIDERI.Kwanini watu wafikishwe chanika ili tu wapate dezo , Main terminal ndo iwe final destination
Mfano hewa huoNa magari ya serikali yaishie kibamba then wapande bodaboda kwenda mjini
Itasaidia sana kupunguza foleni
VIONGOZI WA NCHI WANGEKUWA NA MENTALITY KAMA ZAKO NCHI HII INGEKUWA JALALA , TZ INATAKIWA IWR KWENYE MPANGILIO , HATUWEZI TUKAPISHANA NA ABOOD KWENYE CHOCHO ZA KARIAKOOUNA MDONDO AU KIDERI.
HAO ABIRIA UNAFIKIR WANAISHI CHANIKA STENDI? ABIRIA ANALIPA ELFU 5 BODA KUFIKA CHANIKA STENDI, USIFIKIRI KILA MTU ANAISHI BARABARANI.
MTU ANAYEISHI KIMBIJI AKISHUKA KWENYE DALADALA ANAPANDA BODA YA ELFU 10 KUFIKA NYUMBANI, UNA UBINAFSI SANA,
1
haina comebackNa magari ya serikali yaishie kibamba then wapande bodaboda kwenda mjini
Itasaidia sana kupunguza foleni
Tunaweza, Abood ni sawa na bus za Yanga, Simba na Azam zinazozurura Kariakoo.VIONGOZI WA NCHI WANGEKUWA NA MENTALITY KAMA ZAKO NCHI HII INGEKUWA JALALA , TZ INATAKIWA IWR KWENYE MPANGILIO , HATUWEZI TUKAPISHANA NA ABOOD KWENYE CHOCHO ZA KARIAKOO
Nishazoea nashukia kariakoo gerezani😁,nikishushwa mbezi nitapotea😁,Utateseka vipi wakati kuna daladala, mwendokasi, bajaji na bodaboda zote zinakufikisha mpaka katikati ya mji!
Hhhhh we mwamba unajua kupangua hoja ulifaa uwe BungeniTunaweza, Abood ni sawa na bus za Yanga, Simba na Azam zinazozurura Kariakoo.
Tatizo bungeni tangu 2020 hawatakiwi tena wata wanaojua kupangua hoja.Hhhhh we mwamba unajua kupangua hoja ulifaa uwe Bungeni
Ipo siku Bunge litarudi kwenye ubora wakeTatizo bungeni tangu 2020 hawatakiwi tena wata wanaojua kupangua hoja.
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
Sisi wasafir tunaona usafi , labda Daladala na bajaji zilizozagaa na maguta ndio tunaoana uchafu.
Mkuu wa mkoa ameongea jambo la maana sana akasema hata vyombo vya usalama vinapata ugumu kufanya kazi zao mfano inakuwa ngumu watu wa uhamiaji kuwafuatilia abiriaSisi wasafir tunaona usafi , labda Daladala na bajaji zilizozagaa na maguta ndio tunaoana uchafu.
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
Ninapingana na mtazamo wako , kuna mambo hayahitaji kuangalia maslahi ya mtu mmoja mmoja tunaangalia maslahi ya Taifa zima na serikali , ndioomana mkuu wa mkoa amesema kwamba abiria wanaposhushwa mbezi inasaidia kuzalisha ajira kwa wengine , suala la gharama za usafiri hilo halina maana safari yeyote mtu ukitaka uifanye unatakiwa ujipange , haiwezekani nchi ikae kiholela bila mpangilioTATIZO ni bandari kavu zilizotapakaa DAr nzima na Siyo Mabasi , tuzinduke!
Hoja zako ni :-
1. Foleni inaletwa na Mabasi
2. Mapato
UCHAMBUZI:-
1. MABASI YANALETA FOLENI:-
Ni uduwanzi na uchawa wa kiwango cha zege kusema mabasi yanaleta foleni Dar es salaam. Watu ambao wazazi wao hawakunywa PRE -NATAL preg-care medicine ndio wanawaza hivi .
Mabasi yanaishia Shekilango na kampuni chache Zinazokwenda Mombasa na Nairobi kama B-One Tashrif ndio zinafika Kariakoo.
Mabasi hayafiki10 yanayoingia katikati ya jiji, hayashushi na kupakia kama Daladala , mengi kituo cha mwisho kushusha ni Mwenge /Lugalo .
WAKAZI WA KITUNDA:- Kukodi Bajaji kutoka kitunda kwa bolt mpaka mbezi ni nauli ya Kwenda Kigoma.
kigamboni the same.
USALAMA WA ABIRIA: Kama gari zinafika saa nane usiku , mtoto wa kike kafunga shule unategemea achukue daldala au bajaji kwenda ferry , wakimbaka huko katikati wakajifanya walitejwa?
WIZI: -Majambazi wanaweza kurudi kazini kwakuw asasa watajua kuna wasafiri na wana fedha ama vito vya dhamani pamoja na simu, kama familia moja wapo watu wanne , hata wakiporwa simu tu, si chini ya milioni mbili mbali na laptop , nauli na fedha za dharura.
BAJAJI/ BODABODA:- hizo bajaji zinazobeba watu 3 tu, zitakuwa ngapi? basi moja linabeba abiria 50 mpaka 60, sasa Abiria wa Basi moja watabebwa na bajaji 20 , mbezi kwa siku inahuumia mabasi 4000 yanayoingia, means abiria karibu 200,000,000 hivyo tunahitaji bajaji ELFU SITINI NA SITA kubeba abiria kuwapeleka na kuwatoa Mbezi stendi.
AJALI ZA WATU KUPASULIWA VICHWA NA BODABODA wakikimbiza gari zilizowaacha zitarejea.
ajali za Bajaji kila siku zitarejea na MOI haitaweza kumudu idadi ya vifo.
2. MAPATO:Kwani Manispaa haipati mapatao kutoka kwa hao wenye vituo nje ya mbezi?
Wamepanga kwenye majengo ya watu, wanalipa kodi na wanalipa withholding tax , wameajiri watu na wananunua umeme , wanalipa parking na wanatoa ajira nyingi .
MY TAKE : Kuna maskini wammemshauri vibaya mheshimiwa mkuu wetu wa mkoa mwenye nia njema ya kumsaidia mama , wao wanampotosha, ii ni mbaya sana.
CHAMAZI : NAULI YA DAR -MORO NI 20,000 , nauli kutoka nyumbani kwenda kupanda gari ni 44,000/- yaani ni nauli ya kwenda na kurudi na kula njiani nabakiwa nayo , unabakiwa na elfu nne?
View attachment 3648196View attachment 3648196View attachment 3648196
Stendi pale Shekilango ni maslahi ya WAchache ?Ninapingana na mtazamo wako , kuna mambo hayahitaji kuangalia maslahi ya mtu mmoja mmoja tunaangalia maslahi ya Taifa zima na serikali , ndioomana mkuu wa mkoa amesema kwamba abiria wanaposhushwa mbezi inasaidia kuzalisha ajira kwa wengine , suala la gharama za usafiri hilo halina maana safari yeyote mtu ukitaka uifanye unatakiwa ujipange , haiwezekani nchi ikae kiholela bila mpangilio