RESOLVED HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hao wamachinga wa Mbezi Magufuli warudi kijijini wakalime, kama wameshindwa kufanya biashara zao sehemu nyingine Dar. Kwanza stendi ni kwa ajili ya abiria kushuka, kupanda bus na kujisaidia, hayo mengine ya kula biscuits, crisps na mayai ni ziada tu.
Tukiwafelisha tutatengeza wezi na vibaka , hapo ndo sehemu wanapookoteza riziki zao kwahiyo ni vzr kuwatengenezea mazingira rafiki ya biashara
 
Tena Morogoro road yote. Bajaji na bodaboda ndo wanasababisja foleni.

Ngoja tuone labda TransDar watasaidia kuwaondosha wotem maana kufeli kwa mwendokasi ndo maana tunaona Bajaji na daladala wanapata abirira
 
Ndio hao hao waliokuwa Ubungo walihama na stand ilivyohamishwa wakaifwata Mbezi
Fu*ck them, waende stendi ya Mwenge, mtaani au vijijini kulima, wasitake kusumbua watu eti kisa wauze karanga na pipi zao stendi. Ni upumbavu kutaka kumsumbua mama masikini mwenye watoto watatu asumbuke kuungaunga usafiri kutoka Mbezi Magufuli kwenda Ubungo eti kisa tu kijana mmoja auze bagia zake za dengu.

Pia pembeni ya hivyo vituo binafsi vya mabus nako kuna biashara za fremu na wamachinga wanaojipatia kipato chao kutoka kwa abiria.
 
It's true abt wht ur saying personally ni bora mtu ukalime shambani kuliko kuwa matching Dar , tatizo watu wanalipenda sana jiji la Dar wanao ingia ni wengi kuliko wanao toka
 
Yoda humu ndani hataki kuskia habari za wafanya biashara .

Yoda yeye kila unaloongea kikifika kwake atakwambia waende kulima. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kwahyo Yoda wewe Unataka mabasi ya mkoani yafike mpaka vikindu.
Yafike mpaka huku kwetu msongola mbande,
 
Mji mkubwa bila Zoning haifai , tukiruhusu kila kampuni ya basi ijenge kituo chake tutakuja kufika a point of no return
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…