RESOLVED HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hiyo stendi ya magu muda/wakati wowote inachukuliwa na kampuni
Ya wachina ya kuuza malori na mabus itakuwa kama yard yao
We kaa kwa kutulia subiria

Ova
Machina wameshika hatamu hii Nchi, CCM wametufelisha sana.
Huwezi Jenga kituo cha kisasa , (japo kimejengwa na wachina Tena πŸ˜ƒ (wa Tanzania hawapewi tender njaa Zinawatafuna)).

Alafu unaruhusu machinga na kuendesha stendi kama soko,

Stendi kama hizi za kisasa zinatakiwa ziwe na management za kisasa na mifumo ya kisasa, ingevutia watalii, usalama wa abiria na mizigo yao , serikali ingepata Kodi direct na kwa uhakika
 
Kwani hata akishushwa Sinza atafika nyumbani na mizigo yake kwa basi hilo? Lazima bajaja au boda ihusike hata akishushwa karibu na anapoishi.

Swala ni kuwa kuwe na stations zaidi ya moja, Magufuli tu haitoshi, iwepo Tegeta na Temeke ili kutoa hayo mabasi kwenye stations binafsi.
 
It's true abt wht ur saying personally ni bora mtu ukalime shambani kuliko kuwa matching Dar , tatizo watu wanalipenda sana jiji la Dar wanao ingia ni wengi kuliko wanao toka
Basi kama wanapapenda sana Dar kila mtu kaja Dar kimpango wake, wasilazimishie mambo ya wengine kufit kwenye mipango yao. Kama wao wanataka kuuzia stendi ya Magufuli tu hawawezi kwenda pengine, mimi ninataka Bus linifikishe Shekilango asubuhi nirukie Dalaladala moja kwenda kufunga mzigo Kariakoo uje kupakiwa kwenye bus Shekilango jioni nigeuze na hilo bus kutokea Shekilango, sina haja kula bagia na mayai ya kuchemsha ya mfanyabiashara wa Magufuli Stendi.
 
I agree waifanye iwe professional kama stand za SGR
 
Street vendors wapo kote Duniani ni ngumu kuwaondoa
 
πŸ“ŒπŸ“Œ
 
Cheers bro great response
 
Ni hivi, kama abira anaenda au ametoka mkoani na anapotokea au anapofikia ni Sinza, Ubungo, Kariakoo, Mwenge, Kinondoni, Ilala, Posta na Kigamboni anakuwa amerahisishwa maisha zaidi kwa kiasi kikubwa kwa muda na gharama akishushwa au akipanda bus Shekilango, Ubungo, Mwenge au Kigamboni.

Hii ni common sense tu, wala sio rocket science.
 
Hao sio street vendors, ni fixed vendors.
Mngejua jinsi wakenya wanavyotutamani wabongo kuwa na kituo kikubwa cha mabasi kama Magufuli , mngekithamini sana bahati mbaya hamkithamini ndioomaana mnabariki kiendelee kuhujumiwa
 
Vipi wanaoenda Tandika, Mbagala, GongolaMboto, Chanika nao washushwe wapi ili wafike home kirahisi?
 
Hao sio Wafanyabiashara, ni majuha. Mfanyabiashara gani anataka serikali itumie mabavu kumletea wateja. Mfanyabiashara kama unaona hakuna wateja mahali unafunga biashara unaenda kufungua sehemu yenye wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…