Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
-
- #101
Mimi kwa mtazamo wangu serikali inaweza ikarekebisha hilo kwa kuyazuia mabasi kuja city centre, waboreshe tu BRT ziwe zinasombelea watu , hayo mambo ya kusema sijui shekilango ni karibu tuachanenayo zipo BRTMkuu karibu 80% ya abiria wote wanaokwenda mikoani kupitia Morogoro Road wanapandia mabasi kwenye vituo vya Ubungu, Manzese hadi Magomeni
Unadhani ni kwanini?
Huu ndio UUNGWANA.👍Nisamehe kwa lugha yangu ila bado huna point ya msingi, lakini pia uko sawa
Miji mikubwa ya Ulaya ya kufikirika.Mbona miji mikubwa ya ulaya stand zinakuwa nje ya mji halafu abiria wanachukua metro
Nasema tena haupo serious hata kidogo, hii ni mifumo ya kimataifa. Kukiwa na city transport inayoeleweka Magufuli inatosha kulisha Kimara, Mbezi, Ubungo, Mwenge hadi mjini, achilia mbali maeneo ya pembezoni mwa Mbezi(mpigi, msumi, makabe, Goba, kinyerezi hadi tabata huko)Hata miaka 50 ijayo bado Stendi ya Magufuli haiwezi kuwa na msaada kwa watu wa Ubungo, Sinza, Kinondoni, Ilala, Kigamboni, Mwenge, Bunju.
Mbona unapingana na pm wako , juzi katoka kusema nn😂😂Mabasi yasiyoingia au kutokea Standi ya Magufuli yakitokea au yakielekea mikoani yanakiuka utaratibu wa kisheria uliopo.
Utaratibu unataka,
hata kama kampuni ina ofisi katikati ya jiji au nje ya jiji, ni lazima mabasi yake yapitie standi ya Magufuli yanapoelekea au kutokea mikoni ndipo yaende kwenye hiyo ofisi ya kampuni husika.
Kinyume na hapo ni kukiuka utaratibu na ni uhujumu uchumi dhahiri na wa wazi wazi kabisa 🐒
Ktk historia ya DSM mnakumbuka kwamba mnazi mmoja ndio ilikuwa stand ya mabasi wakaja wakaisogeza ubungo mpk sasa ipo Mbezi , kilichokuwa kinasukuma yote hayo ni kuepuka msongamano wa mjini mnazi mmoja ilizidiwa wakaenda ubungo , ubungo ikazidiwa sasa wapi mbezi . Sasa tukiruhusu hayo mabasi yajijengee vituo kiholela working = to 0Miji mikubwa ya Ulaya ya kufikirika.
Victoria Coach Station iko city center London. Hapo hatujazungumzia train kila kona nchi nzima na ndege watu wanazopanda kama dalaladala.
Kwahiyo tukalime auBasi tu kilimo kinadharaulika ila ndo utajiri ulipo
Hapana, sio wote, anayejua yaleyale hawezi kwenda huko.Unaweza ukashuwa shekilango na mizigo na watoto lakini bado una safari ya kwenda kimbiji ni yale yale
Hata wakati mnajenga barabara za goba na kinyerezi mbezi mliamini hivyo,barabara hazina hata miaka 10 tayari kuna plan za kuanza ujenzi upya wa 4 lanes,baada ya miaka 10 tena mtabomoa tena mjenge 6 lanes,mnaenda kujenga daraja la kufanana na daraja la ruvu jangwani badala ya kujenga interchange ya kufika salender bridge kutokea jangwani na kufika kigogo,amini lile daraja kizazi chetu kijacho kitakuja kulivunja,hamtakiwi kulaumiwa sana sababu upeo wenu wa kufikiri ndipo ulipoishiaHata miaka 50 ijayo bado Stendi ya Magufuli haiwezi kuwa na msaada kwa watu wa Ubungo, Sinza, Kinondoni, Ilala, Kigamboni, Mwenge, Bunju.
Kwa mtu anayetaka kutengeneza pesa nzuri namshauri aingie kwenye hio industryKwahiyo tukalime au
waeleze wadau na itapendeza zaidi gentleman, lakini nilichokieleza ndio utaratibu wa tangu kuanzishwa kwa standi hiyo 🐒Mbona unapingana na pm wako , juzi katoka kusema nn😂😂
Ila watu wa mbogamboga n ngumu kuwatetea , kwahy mpaka sasa nchi haiendeshwi kwa sheria Bali kwa matamko ya kisiasa
Nqqnzaje nipp tayarKwa mtu anayetaka kutengeneza pesa nzuri namshauri aingie kwenye hio industry
Serikali ya CCM huwa haina mbinu sahihi za kutatua matatizo mengi ya muda mrefu, huwezi kusema kuhamishahamisha stendi ndio kutatua changamoto za foleni. Kwa hiyo misongamano ikiongezeka tena Mbezi watahamishia wapi hiyo stendi??Ktk historia ya DSM mnakumbuka kwamba mnazi mmoja ndio ilikuwa stand ya mabasi wakaja wakaisogeza ubungo mpk sasa ipo Mbezi , kilichokuwa kinasukuma yote hayo ni kuepuka msongamano wa mjini mnazi mmoja ilizidiwa wakaenda ubungo , ubungo ikazidiwa sasa wapi mbezi . Sasa tukiruhusu hayo mabasi yajijengee vituo kiholela working = to 0
Ni vizuri tuwe na mipango ya muda mrefu , ukijenga umemaliza sio unajenga leo kesho unabomoa unakuja na plan mpya hapo tunachemkaHata wakati mnajenga barabara za goba na kinyerezi mbezi mliamini hivyo,barabara hazina hata miaka 10 tayari kuna plan za kuanza ujenzi upya wa 4 lanes,baada ya miaka 10 tena mtabomoa tena mjenge 6 lanes,mnaenda kujenga daraja la kufanana na daraja la ruvu jangwani badala ya kujenga interchange ya kufika salender bridge kutokea jangwani na kufika kigogo,amini lile daraja kizazi chetu kijacho kitakuja kulivunja,hamtakiwi kulaumiwa sana sababu upeo wenu wa kufikiri ndipo ulipoishia
Hongera sana poor brainNqqnzaje nipp tayar
Stand ya JPM iheshimike ibakie kuwa stand mainHapana, sio wote, anayejua yaleyale hawezi kwenda huko.
Umetumia vigezo gani kusema stendi moja Magufuli itatosha maeneo yote hayo wakati sasa hivi tu ambapo hata magari mengi hayapiti hapo inaonekana kujaa kwa 60% ??Nasema tena haupo serious hata kidogo, hii ni mifumo ya kimataifa. Kukiwa na city transport inayoeleweka Magufuli inatosha kulisha Kimara, Mbezi, Ubungo, Mwenge hadi mjini, achilia mbali maeneo ya pembezoni mwa Mbezi(mpigi, msumi, makabe, Goba, kinyerezi hadi tabata huko)
Hakuna stendi main, wakija wenye akili kubwa na maono makubwa watajenga stendi nyingine nne Dar kubwa na nzuri zaidi hata kuliko hiyo ya Magufuli au SGR kuelekea Kaskazini, Kusini na Nyanda za juu Kusini.Stand ya JPM iheshimike ibakie kuwa stand main
Sijakataa, gari zote zipitie hapo, baadaye ziende kwenye ofisi zaoStand ya JPM iheshimike ibakie kuwa stand main
Miundombinu ikiwekwa sawa wala hakuna shida panatosha kabisa.Umetumia vigezo gani kusema stendi moja Magufuli itatosha maeneo yote hayo wakati sasa hivi tu ambapo hata magari mengi hayapiti hapo inaonekana kujaa kwa 60% ??
Mkuu unafahamu makadirio ya idadi ya watu Tanzania 2050 yatakuwa watu milioni 140 kama tutaendelea kuzaliana kwa rate ya sasa?? Dar es Salaam ya watu milioni 14 ndio ije kutoshelezwa na stendi ya Magufuli?!