Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
-
- #121
Nilichogundua kwako unachuki na miradi ya JPM na Legacy yake. Hio stand unaichukia unatamani ibomoleweHakuna stendi main, wakija wenye akili kubwa na maono makubwa watajenga stendi nyingine nne Dar kubwa na nzuri zaidi hata kuliko hiyo ya Magufuli.
2050 Hiyo stendi itageuzwa kituo cha SGR cha treni ya kuelekea Kaskazini ili tuendeleze vizuri legacy ya SGR ya JPM. 2050 itakuwa ni ushamba kusafiri kwa bus kwa zaidi ya Km 100.Nilichogundua kwako unachuki na miradi ya JPM na Legacy yake. Hio stand unaichukia unatamani ibomolewe
Hata Shekilango miondombinu ikiwekwa sawa panatosha kabisa .Miundombinu ikiwekwa sawa wala hakuna shida panatosha kabisa.
Wazo hilo naliunga mkono , natamani kuiona Tanzania ikiwa imeunganishwa na mtandao wa SGR mikoa yote2050 Hiyo stendi itageuzwa kituo cha SGR cha treni ya kuelekea Kaskazini ili tuendeleze vizuri legacy ya SGR ya JPM. 2050 itakuwa ni ushamba kusafiri kwa bus kwa zaidi ya Km 100.
Stand tayari tunayo, hatuhitaji kila sehemu stand binafsi za watu. Order ndani ya nchi ni muhimu sanaHata Shekilango miondombinu ikiwekwa sawa panatosha kabisa .
100% correctStand tayari tunayo, hatuhitaji kila sehemu stand binafsi za watu. Order ndani ya nchi ni muhimu sana
Hakuna stendi binafsi za watu, Kuna Office binafsi za watu, halafu ni zuri sana zina hadi viyoyozi unapata baridi, unakunywa juice baridi wakati unasubiria bus bila kusumbuliwa na vibaka na wauza mayai.Stand tayari tunayo, hatuhitaji kila sehemu stand binafsi za watu. Order ndani ya nchi ni muhimu sana
Na mbezi wataitoa soonKtk historia ya DSM mnakumbuka kwamba mnazi mmoja ndio ilikuwa stand ya mabasi wakaja wakaisogeza ubungo mpk sasa ipo Mbezi , kilichokuwa kinasukuma yote hayo ni kuepuka msongamano wa mjini mnazi mmoja ilizidiwa wakaenda ubungo , ubungo ikazidiwa sasa wapi mbezi . Sasa tukiruhusu hayo mabasi yajijengee vituo kiholela working = to 0
Ndio maana wale vibosile kule migodini zaidi ya KM fulani hatumii gari ni chopa tuu 🔥2050 Hiyo stendi itageuzwa kituo cha SGR cha treni ya kuelekea Kaskazini ili tuendeleze vizuri legacy ya SGR ya JPM. 2050 itakuwa ni ushamba kusafiri kwa bus kwa zaidi ya Km 100.
Uliona Nani anashuka pale stand ya magufuli kutoka kwenye mabasi ya mkoani? Acha ushamba unataka kuumiza wasafiri wanaotoka kigoma uwashushe mbezi halafu uwaibie?Sioni a ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
Kuwa na stand za mabasi kila kona ya Dar es salaam sioni kama ni wazo zuri , kwa mtazamo wangu nashauri usafiri wa umma na barabara uzidi kuboreshwa ili mtu anayetoka sehemu yeyote ya mji aweze kufika stand main ya Magufuli terminal . Mtu akitoka mkoani anadandia usafiri wa mwendokasi unampeleka kwenye destination yakeTatizo ni maono finyu
Tatizo ni fikra mgandamizo
Mwanza ina stendi mbili Nyamhongolo na Nyegezi ambalo ni jiji la pili, likiwa na manispaa mbili tu.
Dar es salaam lenye manispaa Tano(05) lina stand Moja kama chupa ya chai, stand ipo zaidi ya kilomita 30, watu mnaona ni sawa, tuko makini kweli?
Dar es salaam inahitaji stand nne(04) za ziada.
Njia ya Nyerere road Stand iwekwe maeneo ya Chanika.
Njia ya Kilwa road iwepo stand maeneo ya Mbagala.
Njia ya Kigamboni kupitia Mwalimu Nyerere bridge Mandela road.
Njia ya Bagamoyo road.
Halafu Ring road kuizunguka Dar es salaam yote bila kuingia City Center.
Hii ndio way to go.
Mimi na shauri utaratibu uwe kama inavyofantika sasa,ila usimamizi wa makusanyo ya tozo na kodi yaratibiwe kule gari inapo tumia kama maegesho yake ya kudumu tena isowe tozo holele,ziwe zenye kuhamasisha wamiliki kulipa bila usumbufu wala kero.Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
Kaka punguza lugha kali toa hoja yako tu utaelewekaUliona Nani anashuka pale stand ya magufuli kutoka kwenye mabasi ya mkoani? Acha ushamba unataka kuumiza wasafiri wanaotoka kigoma uwashushe mbezi halafu uwaibie?
Wewe bila shaka ni mmojawapo wa Wafanyabiashara wa hapo Magufuli Stendi ndio maana umekomalia hivyo stendi 'kuu". Hatushuki hapo mkuu, tafuta tu sehemu nyingine ya kufanya biashara yako na kama kuna hirizi umefukia hapo muite tu mganga ahihamishie kwingine.Kuwa na stand za mabasi kila kona ya Dar es salaam sioni kama ni wazo zuri , kwa mtazamo wangu nashauri usafiri wa umma na barabara uzidi kuboreshwa ili mtu anayetoka sehemu yeyote ya mji aweze kufika stand main ya Magufuli terminal . Mtu akitoka mkoani anadandia usafiri wa mwendokasi unampeleka kwenye destination yake
Itakuwa ni hasara kwa mabilioni yaliyotumika kujenga stand ya Magufuli halafu isitumike na ma bus , uwekezaji uliofanyika pale ni mkubwa na una fursa kwa wafanyabiasharaMimi na shauri utaratibu uwe kama inavyofantika sasa,ila usimamizi wa makusanyo ya tozo na kodi yaratibiwe kule gari inapo tumia kama maegesho yake ya kudumu tena isowe tozo holele,ziwe zenye kuhamasisha wamiliki kulipa bila usumbufu wala kero.
Tozo na kodi zote zikatwe kwenye tiketi na stendi gari inazoingia. Kodi nyingine za mapato wamiliki wa magari wanalipa bila kujali gari inalala wapi.Mimi na shauri utaratibu uwe kama inavyofantika sasa,ila usimamizi wa makusanyo ya tozo na kodi yaratibiwe kule gari inapo tumia kama maegesho yake ya kudumu tena isowe tozo holele,ziwe zenye kuhamasisha wamiliki kulipa bila usumbufu wala kero.
Naimani jamii forum ni jukwaa kubwa wenye mamlaka watasoma mawazo yangu .Wewe bila shaka ni mmojawapo wa Wafanyabiashara wa hapo Magufuli Stendi ndio maana umekomalia hivyo stendi 'kuu". Hatushuki hapo mkuu, tafuta tu sehemu nyingine ya kufanya biashara yako na kama kuna hirizi umefukia hapo muite tu mganga ahihamishie kwingine.
Ni hasara pia kwa mabilioni yaliyotumika kujenga Uwanja wa ndege wa Chato na Ikulu ya Dodoma.Itakuwa ni hasara kwa mabilioni yaliyotumika kujenga stand ya Magufuli halafu isitumike na ma bus , uwekezaji uliofanyika pale ni mkubwa na una fursa kwa wafanyabiashara