Ushauri wangu Tanesco; Wakati huu wa mgao Futeni kwa muda ma group yote ya whatsapp kwa wateja wenu! Mtanishukuru baadae

Nashukuru wameanza kuyafuta!
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, MAHARAGE Amejitahidi kiasi chake! Mambo mengine Yapo inje ya uwezo wake! Hajafanya vizuri kwa 100% lakini ukilinganisha na watangalizi wake angalau kathubutu kiasi chake!
Kiasi anajitahidi huyu kijana
Kajitaidi kivipo wakati kaikuta nchi haina mgao wa umeme wananchi tunaishi ma umeme muda wote, yeye ndiyo kasababisha mgao anatakiwa kuondoka ofisini yeye na mjinga mwenzie alikuwa ana uza Dish na decoder leo hii anasimamia kuaribu na kutesa wananchi
 
Luku lazima zipatikane kwasababu wateja wamepungua baada ya Rea kufa wateja wa 27000 hawapo tena kwaiyo maluku yamejaa tu store, sawa na wananchi waache kufuria sabuni za unga wawe warudi kwenye kutumia sabuni za miche, lazima sabuni za unga zitakuwa nyingi maduka hazina wateja
 
Kwahiyo sahivi REA Hawalipi 27000 au imekufaje ebu fafanua
 
Hamna kitu kinakera kama umeshinda na mgao halafu jioni wakati wanarudisha wanafanya microphone check ( washa zima ,washa zima ) wanaunguza vifaa vya watu majumbani bila sababu.
 
Hamna kitu kinakera kama umeshinda na mgao halafu jioni wakati wanarudisha wanafanya microphone check ( washa zima ,washa zima ) wanaunguza vifaa vya watu majumbani bila sababu.
Noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…