Ukiwapa vidonge admin. anafuta bandiko lako!Nikawape vidonge vyao
Ukizidisha sana unaondolewa kwenye group.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwapa vidonge admin. anafuta bandiko lako!Nikawape vidonge vyao
Mkurugenzi anapoingia ofisini haingii na mvua!
Anakuja na vyeti kusimamia kilichopo, ambacho akiona atashauri! SERIKALI NDIYO ITAAMUA!
Mkurugenzi tumulaumu kwa makosa ya kihuduma, mengine Yapo inje ya uwezo wake!
NI YA KISERIKALI
Mkurugenzi hawezi nunua mitambo ya UPEPO Kama Mitambo ya maji imefeli au kukaukiwa maji!
Yeye atashauri tu kama mtaalam
Mimi namkubali lakini kusema kathubutu ukilinganisha na watangulizi wake .Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, MAHARAGE Amejitahidi kiasi chake! Mambo mengine Yapo inje ya uwezo wake! Hajafanya vizuri kwa 100% lakini ukilinganisha na watangalizi wake angalau kathubutu kiasi chake!
Kiasi anajitahidi huyu kijana
Mada iliyopo mezani makundi ya WHATSAPP! Hayo ya mkurugenzi ni inje ya madaLakini bado haujasema alichokifanya tofauti na waliomtangulia kama ulivyomsifia, …
Ngoja nisubiri na mm hapo kusikia. Akippaswa kumsifia maharage bila kuponda waliotanguliaLakini bado haujasema alichokifanya tofauti na waliomtangulia kama ulivyomsifia, …
Umeona sasa ndio maana nikasema ulipaswa kumsifia bila kuponda waliomtangulia maana ukiulizwa amefanya jipya lipi hutalisemaMada iliyopo mezani makundi ya WHATSAPP! Hayo ya mkurugenzi ni inje ya mada
Heshima ya wafanyakazi wa Tanesco imeimalika sana kipindi cha MAHARAGE!Mimi namkubali lakini kusema kathubutu ukilinganisha na watangulizi wake .
Labda niulize amefanya kitu gani ambacho watangulizi wake walishindwa?
Nb;
tunaweza sifia sasa bila kuponda waliopita. Maana hapo tukikomalia kukuuliza kafanya nn Cha tofauti hutaweza kusema
Soma post #27Umeona sasa ndio maana nikasema ulipaswa kumsifia bila kuponda waliomtangulia maana ukiulizwa amefanya jipya lipi hutalisema
Heshima ya wafanyakazi imeimarika? Hapa sijaelewa, ina maana Sasa hivi tunawaheshimu sana wafanyakazi wa Tanesco? Au ni vipi?Heshima ya wafanyakazi wa Tanesco imeimalika sana kipindi cha MAHARAGE!
Wanaweza wasiwe bora sana lakini angalau wananchi tumeona mabadiliko hayo! Mimi ni mtaalam wa kuponda sana lakini kwa hili mkurugenzi kajitahidi
Umenichanganya zaidi, heshima imeimarika ukimaanisha sasa hivi tunawaheshimu sana wafanyakazi wa Tanesco? How?Soma post #27
Hapana, jifunzeni kuzoea kupata updates za mara kwa mara, hata kama ni kuwajulisha kuwa mgao utaendelea bado ni jambo zuri. Muhimu wahakikishe hizo updates wanatoa wao wenyewe through official letters...Yapo kwa ajili ya huduma kwa wateja, lakini kwa maoni yangu bora YAFUTWE HADI MGAO UKIISHA! Yatawachafua pasipo sababu wakati wamepiga hatua nzuri kiasi chake upande wa huduma kwa mteja!
Mada iliyopo mezani makundi ya WHATSAPP! Hayo ya mkurugenzi ni inje ya mada
Ya nani ilikuwa na kitu!? MAHARAGE huyu Huyu karejesha HESHIMA KUBWA kwa watumishi TANESCO, Maharage huyuhuyu kaboresha upatikanaji LUKU siyo mambo ya kukaa mwaka tena,Tanesco ya Maharage hamna kitu hapo
Tayari watakuwa washapata ujumbeUkiwapa vidonge admin. anafuta bandiko lako!
Ukizidisha sana unaondolewa kwenye group.
Huduma kutoka kwa wafanyakazi wa TANESCO imeimalika!Umenichanganya zaidi, heshima imeimarika ukimaanisha sasa hivi tunawaheshimu sana wafanyakazi wa Tanesco? How?
Mkuu hapa nilipo kila siku mchana lazima umeme ukatike mchana. Hakuna DG wa TANESCO amewahi kutufanyia hiviYa nani ilikuwa na kitu!? MAHARAGE huyu Huyu karejesha HESHIMA KUBWA kwa watumishi TANESCO, Maharage huyuhuyu kaboresha upatikanaji LUKU siyo mambo ya kukaa mwaka tena,
HATA KAMA SIYO 100% LAKINI KAJITAHIDI SANA YEYE NA TEAM YAKE!
Tusiwe watu wakulaumu tu tujue na kuwapongeza,
Hahaha. Inakuwa siri yao!Tayari watakuwa washapata ujumbe
Huduma kutoka wafanyakazi wa Tanesco imeimarika?Huduma kutoka kwa wafanyakazi wa TANESCO imeimalika!