Ushauri wangu Tanesco; Wakati huu wa mgao Futeni kwa muda ma group yote ya whatsapp kwa wateja wenu! Mtanishukuru baadae

Ushauri wangu Tanesco; Wakati huu wa mgao Futeni kwa muda ma group yote ya whatsapp kwa wateja wenu! Mtanishukuru baadae

Mkurugenzi anapoingia ofisini haingii na mvua!
Anakuja na vyeti kusimamia kilichopo, ambacho akiona atashauri! SERIKALI NDIYO ITAAMUA!

Mkurugenzi tumulaumu kwa makosa ya kihuduma, mengine Yapo inje ya uwezo wake!
NI YA KISERIKALI
Mkurugenzi hawezi nunua mitambo ya UPEPO Kama Mitambo ya maji imefeli au kukaukiwa maji!

Yeye atashauri tu kama mtaalam

Lakini bado haujasema alichokifanya tofauti na waliomtangulia kama ulivyomsifia, …
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, MAHARAGE Amejitahidi kiasi chake! Mambo mengine Yapo inje ya uwezo wake! Hajafanya vizuri kwa 100% lakini ukilinganisha na watangalizi wake angalau kathubutu kiasi chake!
Kiasi anajitahidi huyu kijana
Mimi namkubali lakini kusema kathubutu ukilinganisha na watangulizi wake .

Labda niulize amefanya kitu gani ambacho watangulizi wake walishindwa?

Nb;
tunaweza sifia sasa bila kuponda waliopita. Maana hapo tukikomalia kukuuliza kafanya nn Cha tofauti hutaweza kusema
 
Lakini bado haujasema alichokifanya tofauti na waliomtangulia kama ulivyomsifia, …
Mada iliyopo mezani makundi ya WHATSAPP! Hayo ya mkurugenzi ni inje ya mada
 
Mada iliyopo mezani makundi ya WHATSAPP! Hayo ya mkurugenzi ni inje ya mada
Umeona sasa ndio maana nikasema ulipaswa kumsifia bila kuponda waliomtangulia maana ukiulizwa amefanya jipya lipi hutalisema
 
Mimi namkubali lakini kusema kathubutu ukilinganisha na watangulizi wake .

Labda niulize amefanya kitu gani ambacho watangulizi wake walishindwa?

Nb;
tunaweza sifia sasa bila kuponda waliopita. Maana hapo tukikomalia kukuuliza kafanya nn Cha tofauti hutaweza kusema
Heshima ya wafanyakazi wa Tanesco imeimalika sana kipindi cha MAHARAGE!
Wanaweza wasiwe bora sana lakini angalau wananchi tumeona mabadiliko hayo! Mimi ni mtaalam wa kuponda sana lakini kwa hili mkurugenzi kajitahidi
 
Heshima ya wafanyakazi imeimarika? Hapa sijaelewa, ina maana Sasa hivi tunawaheshimu sana wafanyakazi wa Tanesco? Au ni vipi?
 
Yapo kwa ajili ya huduma kwa wateja, lakini kwa maoni yangu bora YAFUTWE HADI MGAO UKIISHA! Yatawachafua pasipo sababu wakati wamepiga hatua nzuri kiasi chake upande wa huduma kwa mteja!
Hapana, jifunzeni kuzoea kupata updates za mara kwa mara, hata kama ni kuwajulisha kuwa mgao utaendelea bado ni jambo zuri. Muhimu wahakikishe hizo updates wanatoa wao wenyewe through official letters...
 
Tanesco ya Maharage hamna kitu hapo
Ya nani ilikuwa na kitu!? MAHARAGE huyu Huyu karejesha HESHIMA KUBWA kwa watumishi TANESCO, Maharage huyuhuyu kaboresha upatikanaji LUKU siyo mambo ya kukaa mwaka tena,
HATA KAMA SIYO 100% LAKINI KAJITAHIDI SANA YEYE NA TEAM YAKE!
Tusiwe watu wakulaumu tu tujue na kuwapongeza,
 
Hivi kwanini wa Tanzania wote nchi nzima tusiandamane kuiwajibisha selikali kwa kushindwa kuja na suruhu ya tatizo la mgao was umeme?

Tuachane na Tanesco maana hawa wanasiasa wanatuchanganya sana wanakata umeme saa 2 asubuhi kisha wanarudisha saa nne using au sita usiku maana yake kuwa sisi tunaogopa Giza kuliko kufanya kazi zinazo tufanya tule na kulipa kodi?
 
Ya nani ilikuwa na kitu!? MAHARAGE huyu Huyu karejesha HESHIMA KUBWA kwa watumishi TANESCO, Maharage huyuhuyu kaboresha upatikanaji LUKU siyo mambo ya kukaa mwaka tena,
HATA KAMA SIYO 100% LAKINI KAJITAHIDI SANA YEYE NA TEAM YAKE!
Tusiwe watu wakulaumu tu tujue na kuwapongeza,
Mkuu hapa nilipo kila siku mchana lazima umeme ukatike mchana. Hakuna DG wa TANESCO amewahi kutufanyia hivi
 
Huduma kutoka kwa wafanyakazi wa TANESCO imeimalika!
Huduma kutoka wafanyakazi wa Tanesco imeimarika?
Hapa ndio nashindwa kuelewa zaidi, imeimarika kwa maana sasa hivi watu wanapata sana umeme tofauti na zamani au imeimarikaje?

Hata hivyo idara hiyohiyo ya huduma kwa wateja amesema wameamua kuoutsource sababu ya kukosa ufanisi, hivyo tusubiri tuone ufanisi baada ya hiyo idara kubinafsishwa
 
Back
Top Bottom