USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

560 BC

Ha ha ha
 
kwa upepo ulivyobadilika sasa hv...kama umeamua kumuoa mtu muoe tu hayo mambo ya kuangalia bikra hayana faida yoyote
Hakika uko sawa kabisa, isipokuwa mimi nawashauri wasichana watunze usichana wao mpaka watakapoolewa, faida ni nyingi zaidi
 
Ina umuhimu kwa wanaume wenye big egos n small dicks [emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vituka humu Jf kuna mwenye bikra ?!. Humu hawamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole dada angu hapo ndio nmejuae certified kuwa haujaolewa, haunamango wa kuolewa, hauna bikra na pia unaendelea kupigwa miti siku hadi siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, acha kumhukumu maana hujui amepitia nini na hujui kuhusu maisha yake halisi nje JF.
 
Tusije kuwa tunakusifia kumbe ulipaka ndimu.


kama mimi kuna kadada nilitafuna kiki kibao bikra.

badae eti nashangaa babay damu haikutoka au nina Matatizo?

nikamwambia hakuwa sealed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona ambavyo akili huna? Nani alikuaminisha kwamba kila bikra ikiwa inatoka ni lazima KE atoke damu!!
Hujui kutia
Hujui kuandaa mwanamke
 
Aisee hiyo issue ya vibamia ni maumbile tu,na sidhani kama kuna tatizo. Ila kwa yule mwanaume ambae hawezi kabisa kusimamisha uume (hanithi) taarifa itolewe kwa Mchungaji/Padre/pasta/Shekhe na ndoa hiyo HUBATILISHWA.
hakuna Mchungaji/Padre/pasta/Shekhe mwenye mamlaka ya KUBATILISHA ndoa.....ni serikali pekee kupitia mahakama.
 
Mtoa mada nisaidie faida 3 za kuolewa na bikira

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Utakuwa umetii amri ya Mungu ile ya 6.
2. Utakuwa umepunguza chances za kupata magonjwa hatari yanayoambukizwa kwa njia ya ngono kama Ukimwi, cervical cancer na mengine mengi unayoyajua.
3. Kuna uwezekano mkubwa sana wa wewe kuheshimiwa na kuthaminiwa na mume wako endapo utabahatika kumpata MUME (sio mvulana)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…