USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

Asante kwa elimu hii, wakati tunapata mafundisho ya ndoa kati ya vitu tulivyoambiwa ni kwamba endapo mwanaume hatoweza kufanya tendo la ndoa day one, basi unaweza toa taarifa pale ulipofunga ndoa kwa hatua zaidi. You are right, lakini lazima hatua zianzie kule ulipofunga ndoa.
Ndoa ni ya watu WAWILI pekee.....only two.....watatu ni sheitwani.......nyie wawili....nasema tena nyie wawili....ndio mtakaoamua mustakabali wenu..........only two....mke na mme.......kushirikisha watu wa nje ndio jeneza la ndoa yenu.....mkiona hamuwezi mkubaliane kutokukubaliana.
 
hahahahahaaaaa....mkuuu acha hizo mambo.........akija mtu kuposa...lazima nikae nae chemba kwanza...sbb ktk vitu nisivyotaka ni kesi za mahaba.....so ntakupa fact....ila usije mpiga akarudi na ngeo.......hakika NTAKUSHUGHULIKIA haswaaa.
😂😂😂😄 Tutengenezee Chemistry basi 😉
 
Mostly hazinigusi personally sipendi kuona mtu anatukanwa na kudharauliwa kwa chaguo alilofanya. Kila mtu ana haki ya kuishi maisha yake jinsi anavyoona inampendeza yeye. Mwanamke ana haki ya kuchagua kua bikra, non bikra, kutoa mimba au kua single mother. Sio sahihi kumkebehi kisa kafanya maamuzi ambayo hayakupendezi wewe. Mwache na maisha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika! Hata akiamua kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni yeye, kikubwa maamuzi yake.
 
Back
Top Bottom