Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
560 BCInawezekana wewe na WAVULANA wenzio hamjui umuhimu wake, lakini WAPO WANAUME wanaojua nini maana ya kuoa mwanamke bikira. naomba pia nieleweke kwamba wale walioolewa wakiwa sio BIKIRA sio kwamba wao ni wanawake wabaya sana, hawana thamani na wakozefu sana, natambua wapo waliofanyiwa ukatili kama ubakaji na kadhalika. Ndio maana nasema kama kuna uwezekano mwanamke ukajitunza mpaka utakapoolewa kuna faida nyingi sana kuliko hasara.
Hakika uko sawa kabisa, isipokuwa mimi nawashauri wasichana watunze usichana wao mpaka watakapoolewa, faida ni nyingi zaidikwa upepo ulivyobadilika sasa hv...kama umeamua kumuoa mtu muoe tu hayo mambo ya kuangalia bikra hayana faida yoyote
Ina umuhimu kwa wanaume wenye big egos n small dicks [emoji23].Kitu kinachonichekesha kwa hawa wanaosema watuza bikra moja kati ya hoja zao kubwa wanasema eti wanalinda heshima ya mume wake baadae wakati kumbe mume wake wa baadae ni ZERO IQ WA JAMII FORUM ambaye hata umuhimu wa kibra haujui ha ha ha ha ha ha
Yaani mnatuza vitu muhimu sawa tunakubali lakini sisi tunaona kawaida tu coz kabla ya kuoa tumekula sana tunda kimasihara
Zero IQ
Tusije kuwa tunakusifia kumbe ulipaka ndimu.Niliolewa nikiwa na miaka 26.
Hapo mwisho ndo penyewe. [emoji39][emoji39][emoji39]Pole dada angu hapo ndio nmejuae certified kuwa haujaolewa, haunamango wa kuolewa, hauna bikra na pia unaendelea kupigwa miti siku hadi siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa hauvutii basi 😎Niliolewa nikiwa na miaka 26.
Vituka humu Jf kuna mwenye bikra ?!. Humu hawamoNajua wapo watakaopinga na kuona kuwa sio issue kuolewa na bikira, lakini UKWELI NI KWAMBA KUOLEWA ILI HALI BADO NI BIKIRA NI FAHARI SANA NA NI HESHIMA PIA KWA WAZAZI!
Binafsi nilibahatika kuolewa nikiwa bikira, aisee mume wangu ananiheshimu sana kwa hilo. Mabinti ambao bado hamjaanza ngono, tafadhali acheni mpaka pale mtakapokuja kuolewa, inawezekana sana kama ukiwa na msimamo na ukijiwekea malengo.
Itakusaidia pia kupunguza uwezekano wa kupata baadhi ya magonjwa kama cervical cancer na HIV, kama unasoma basi utajikita kwenye masomo yako zaidi na chances za kufanya vozuri na kuwa na kafaniklio kimaisha pia huongezeka.
Lakini pia kwa wale ambao wanamuamini Mungu watakubaliana na mimi kwamba UZINZI ni dhambi,kwa hiyo ukiepuka ngoni kabla ya ndoa unaiepuka dhambi no 6 kwenye ile list ya 10 commandments.
Mwenye masikio na sikie, binti tunza bikira yako mpaka utakapoolewa, usisikilize ushauri wa walioshindwa kuitunza hii TUNU [emoji8] na wale wanaume waharibifu na wachafuzi.
Tchao.
Hapana, acha kumhukumu maana hujui amepitia nini na hujui kuhusu maisha yake halisi nje JF.Pole dada angu hapo ndio nmejuae certified kuwa haujaolewa, haunamango wa kuolewa, hauna bikra na pia unaendelea kupigwa miti siku hadi siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna age mtu akifikisha alafu akawa bado bikra ni uchuro, sharti akaogee maji ya bahariUtakuwa hauvutii basi [emoji41]
Hakika uko sawa kabisa, isipokuwa mimi nawashauri wasichana watunze usichana wao mpaka watakapoolewa, faida ni nyingi zaidi
ok Mimi mmoja kati ya tunaokula hayo matunda nakupa ushahidi
Unaona ambavyo akili huna? Nani alikuaminisha kwamba kila bikra ikiwa inatoka ni lazima KE atoke damu!!Tusije kuwa tunakusifia kumbe ulipaka ndimu.
kama mimi kuna kadada nilitafuna kiki kibao bikra.
badae eti nashangaa babay damu haikutoka au nina Matatizo?
nikamwambia hakuwa sealed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada, una mtu kwa sasa au kiti ki wazi?😉
hakuna Mchungaji/Padre/pasta/Shekhe mwenye mamlaka ya KUBATILISHA ndoa.....ni serikali pekee kupitia mahakama.Aisee hiyo issue ya vibamia ni maumbile tu,na sidhani kama kuna tatizo. Ila kwa yule mwanaume ambae hawezi kabisa kusimamisha uume (hanithi) taarifa itolewe kwa Mchungaji/Padre/pasta/Shekhe na ndoa hiyo HUBATILISHWA.
Asante. wakujifariji.Unaona ambavyo akili huna? Nani alikuaminisha kwamba kila bikra ikiwa inatoka ni lazima KE atoke damu!!
Hujui kutia
Hujui kuandaa mwanamke
1. Utakuwa umetii amri ya Mungu ile ya 6.