USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

Mwanamke ni yule yule....uwe umemtoa bikra au used....ni same woman......tuwapende tuu.
Nenda kwa Mangi kanywe soda nakuja kulipa. Lakini kama una mtoto wa kike, tafadhali mshauri ajitunze mpaka atakapoolewa. You will thank me one day
 
No offense dear but you are still a child. You will learn with time though. Best of luck!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna Mchungaji/Padre/pasta/Shekhe mwenye mamlaka ya KUBATILISHA ndoa.....ni serikali pekee kupitia mahakama.
Asante kwa elimu hii, wakati tunapata mafundisho ya ndoa kati ya vitu tulivyoambiwa ni kwamba endapo mwanaume hatoweza kufanya tendo la ndoa day one, basi unaweza toa taarifa pale ulipofunga ndoa kwa hatua zaidi. You are right, lakini lazima hatua zianzie kule ulipofunga ndoa.
 
1. Unaweza kutii amri ya 6 ya Mungu ila ukavunja zingne 9 zilizobaki

2. Magonjwa hayo hata kwenye ndoa unaweza kuyapata. Labda nikukumbushe tu kua sio kila aliyepata ukimwi alifanya uhuni dada so usiwajudge hvyo

3. Na kupendwa unaweza ukapendwa tena zaidi na mume. Kuna watu nmeshuhudia wameolewa tena na watoto kabisa ila wanapeeeendwa had wanasahau shida za dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa Mangi kanywe soda nakuja kulipa. Lakini kama una mtoto wa kike, tafadhali mshauri ajitunze mpaka atakapoolewa. You will thank me one day
Asante... ninae...ila sijui kama bado anayo...machachari sana......
 


mi hata huyo mwenye bikra wa kuowa sitaki...wasumbufu mnooo
 
ni bora nikakutana na gube gube...linalijua mizungu yote akitulia ametulia...hao wenye bikra akifungulia lazima utaomba poo...
 
Ciara [emoji7] Russell anavyompenda sasa hadi kamvisha pete ya $2M na ni single mother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
just imagine upo na bukra yako mpaka kwenye 30s halafu unaamua kuwa single maza...hapo lazima utalia sana kwa majuto na muda wote bikra ilivyokupotezea muda.... πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…