USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

Kwa hiyo wewe ulitunza bikra yako kwa muda gani?
 
waovu watakushukia kama mwewe
 
Wenye bikra zenu muwe huru tuu kuzitoa wakat wowote mana najua walioolewa bikra na bado wanaishi sawa na wengine, Maumivu ya kuumizwa na aliekubikiri ni harari kwa afya.
Sio kweli. Kuna tofauti kubwa sana kuingia mahusiano ya ndoa ukiwa bikra na ukiwa haunayo..... Wewe unaesema hapo hajujaona huo ukweli na unasema yako imetolewa sasa umejuaje kuwa kuna shida?!

Mimi nimeona faida yake.....

Mwanaume anakuwa na heshima na wewe hata kama ataleta shida ila sio kwa kutakuwa na adabu fulani maana anajua yeye ni mwanaume aliyeanza na wewe na hauna history ya mahusiano kabla yake... Hiyo tayari inakupa nyota tano za heshima,,

Ukimpatia mtoto kama uzao wa wake wa kwanza kutoka kwako, hii inakupa cheo cha pili na mama wa watoto wangu tofauti na hawa kima ambao anaingia ndoani na watoto wa wanaume wengine, hapo anakuitaje sasa mama wa watoto wangu wawili na m'moja wa nje au?!

Ukiwa na bikra baada ya ndoa maana yake unaanza kupata experience ya migegedo ukiwa mke wa mtu halali na hautakuwa umechokonolewa huko chini na madudu tofauti tofauti.....

Niendelee au.....?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…