USHAURI: Wasichana tunzeni bikira zenu mpaka mtakapoolewa

Hivi mtoa mada hivi unajua mm cjui umuhimu wa bikra...
 
Na unasema jimbo lina mwenyewe!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu yako ilitolewa ukiwa darasa la tatu basi unajifanya hujui faida ya kuolewa ukiwa bikra!? Hata mtu yoyote hajawahi kuongelea faida hiyo katika familia yako? Kizazi cha ajabu sana hiki, looh!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sikuhizi umesikia wazazi wanakuuliza kama unayemuowa ni bikra...mimi hata kusikia cjawahi...bikra is lacky of opportunity...
 
Jana nimetoa bikra ya mtoto wa 20yrs.. Nilipewa onyo kuwa amenipa hiyo hazina ila nikubali kumuoa.... kuhusu ndoa wala asiwaze ana kila sifa ya kuwa mke isipokuwa ni muislam ila amenihakikishia atabadili dini.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukiowa utupe mrejesho
 
Hongera sana Mtoa mada, nikusifu mnoo kwa ilo.


Hapa wanawake wasokua bikra watakuja kukuporomoshea matusi weee....LKN Mimi nawambia, Inawapasa wajue mwanzo wa kosa lao, wakubali kua walifanya makosa kisha waanze kujifunza kua mama bora atakayeridhika.


Yote uloyaandika nikweli tuuu.!!


Na hii ndo imefanya Leo kuwepo na Hogo...au kibamia...sababu watu wameoa wake za watu.
 
KUNA MAKAHABA HAPO... WAMEKUWA NA MABWAWA KUTOKANA NA KILA MASHINE KUZAMA HUMO...

USIMPANIKIE DADA WA WATU ANAYEJIHESHIMU NA KUJITUNZA KWA AJILI YA MUMEWE... NA THAMANI YAKE ITABAKI MPAKA ATAKAPOKUFA...

WEWE UNAYEMPINGA NA KUMBEZA MTOA MADA... UMESHACHEZEA KITU CHA THAMANI KATIKA MAISHA YAKO... PAMBANA NA HALI YAKO USIPANICK...

MIONGONI MWA RAHA YA KUOA MWANAMKE BIKRA... SIKU ZOTE MKEO ATAKUWA ANATAITI SANA..
KILA SIKU UKIMUINGILIA UTAKUWA AS IF UNATOA BIKRA...

HANA BWAWA MWANAMKE ALIOLEWA BIKRA...

HUTOSIKIA KELELE ZA KIBAMIA KWA MWANAMKE ALIYEOLEWA BIKRA...

WALIOOA BIKRA AU WALIOLEWA BIKRA WATAKUBALIANA NAMI...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe si umeigawa bikra ovyo ovyo... Pambana na hali na aibu yako...

Mfa maji endelea kutapatapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…