Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na unasema jimbo lina mwenyewe!!??Mostly hazinigusi personally sipendi kuona mtu anatukanwa na kudharauliwa kwa chaguo alilofanya. Kila mtu ana haki ya kuishi maisha yake jinsi anavyoona inampendeza yeye. Mwanamke ana haki ya kuchagua kua bikra, non bikra, kutoa mimba au kua single mother. Sio sahihi kumkebehi kisa kafanya maamuzi ambayo hayakupendezi wewe. Mwache na maisha yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu yako ilitolewa ukiwa darasa la tatu basi unajifanya hujui faida ya kuolewa ukiwa bikra!? Hata mtu yoyote hajawahi kuongelea faida hiyo katika familia yako? Kizazi cha ajabu sana hiki, looh!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Joka Jeusi kila siku ID mpya. Shida nn mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Anajaribu kuwapoteza maboya ila ndo hivi tena watu wameshamsoma
Huu mtanange ni US na Iran
Cjawahi kusikia hii...wanaume wote wasiokuwa na mademu ni wafuasi plantinum wa CHAPUTAKumbe ‘male’ pia ni virgin..!!
Basi jitunze mkuu.
Wapo kama joanahUnajisumbua umu ndani hakuna bikra hata moja labda za nyuma nazo nimashaka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiowa utupe mrejeshoJana nimetoa bikra ya mtoto wa 20yrs.. Nilipewa onyo kuwa amenipa hiyo hazina ila nikubali kumuoa.... kuhusu ndoa wala asiwaze ana kila sifa ya kuwa mke isipokuwa ni muislam ila amenihakikishia atabadili dini.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nitunzie mimi nakuja na mahari ya kutosha...
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Huu mtanange ni US na Iran
Ww unadhani kuna mwanaume anaestahili kuoa bikra saivi? Yaan hata nipate chance angel anitokee atake kurudisha bikra yangu wala sitakubali.
Mwenza tuendelee tu kujitunza.
Personally mi mwenyewe bado virgin na ndoto yangu nikuoa mdada virgin. Naitunza pia
Kabisa mwenza, bikra kapu la ndoa[emoji4][emoji4]Mwenza tuendelee tu kujitunza.
1. Unaweza kutii amri ya 6 ya Mungu ila ukavunja zingne 9 zilizobaki
2. Magonjwa hayo hata kwenye ndoa unaweza kuyapata. Labda nikukumbushe tu kua sio kila aliyepata ukimwi alifanya uhuni dada so usiwajudge hvyo
3. Na kupendwa unaweza ukapendwa tena zaidi na mume. Kuna watu nmeshuhudia wameolewa tena na watoto kabisa ila wanapeeeendwa had wanasahau shida za dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
mi hata huyo mwenye bikra wa kuowa sitaki...wasumbufu mnooo