Salaam, shalom!!
Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri,
Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali kunamuondolea muda mzuri na utulivu wa kuwatumikia wananchi Kwa nafasi ya Waziri wa kilimo.
Ushauri: Mamlaka iliyo juu ya Waziri wa kilimo imuweke pembeni Ili ajisafishe na tuhuma dhidi yake.
MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Nawasilisha,
Karibuni 🙏