Ushauri: Waziri Bashe awekwe pembeni ili amalizane na kesi zinazomkabili mahakamani

Ushauri: Waziri Bashe awekwe pembeni ili amalizane na kesi zinazomkabili mahakamani

Mteule wa Rais hapaswi kuwa na tuhuma nzito kiasi hicho court Kisha aendelee kuwapo Ofisini.

Ile ni ofisi ya utumishi wa umma, akae pembeni, akithibitika Hana hatia, atarudishwa kivingine huko mbeleni.

Lakini Kwa sasa, anakosa sifa za kuendelea kuwepo Ofisini.
Kirahisi tu hivyo?!!

Huku Afrika ambako watu wanazijua vyema siasa chafu ?!! [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
hakuna muandamizi mwenye dhamana na jukumu la kitaifa serikalini anaweza kuacha wajibu huo muhimu na wa kizalendo wa kuwatumikia wananchi akaanza kubabaika na uzushi, vinyongo, kibiri na hasira za watu walioshindwa kazi wakatemwa barazani, that is completely useless :NoGodNo:
[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Salaam, shalom!!

Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri,

Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali kunamuondolea muda mzuri na utulivu wa kuwatumikia wananchi Kwa nafasi ya Waziri wa kilimo.

Ushauri: Mamlaka iliyo juu ya Waziri wa kilimo imuweke pembeni Ili ajisafishe na tuhuma dhidi yake.

MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Nawasilisha,

Karibuni 🙏
Kesi ipi tena jomba..??embu tuhabarishe..la msingi msimuingize mama yetu na makesi yenu..reli imeshachukua kazi saizi...msitutoe nje ya reli..malizaneni wenyewe huko..
 
Mbona ziara ya china hakwenda ilhali KILIMO kilikuwa Moja ya agenda muhimu?
Na Rwanda hakuwepo ?!!

Maana kule FOCAC ni sawa na je pale Kigali hakukuwa na mkutano wa kimataifa wa kilimo ?!!

BBC SWAHILI iliacha kutuonesha mkutano mkuu wa FOCAC ikatuonyesha huo wa Rwanda kwani una wadau wetu wengi wa nchi za Magharibi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hoja yako ina mashiko kwenye Democratic countries lakini Kingdom country kama Tanzania!
 
Hoja yako ina mashiko kwenye Democratic countries lakini Kingdom country kama Tanzania!
Hata hapa hatua huchukuliwa haraka tu, kumbuka DC wa Roliondo, yule RC aliyetuhumiwa kumnajisi mwanafunzi wa chuo sauti nk nk.

Tusubiri
 
Uwe unaangalia taarifa za habari si udaku tu....

RWANDA haiko sayari ya JUPITER....[emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Rwanda walitoa msaada Kwa TZ lini?

Pia Unamaanisha hata aliitwa mahakamani Bado aendelee kuwa waziri sio!!

Taratibu za utumishi wa umma zinasemaje?
 
Salaam, shalom!!

Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri,

Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali kunamuondolea muda mzuri na utulivu wa kuwatumikia wananchi Kwa nafasi ya Waziri wa kilimo.

Ushauri: Mamlaka iliyo juu ya Waziri wa kilimo imuweke pembeni Ili ajisafishe na tuhuma dhidi yake.

MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Nawasilisha,

Karibuni 🙏
Ukimshitaki Waziri umeishitaki serikali hivyo mawakili wa Serikali watamuwakilisha
 
Ukimshitaki Waziri umeishitaki serikali hivyo mawakili wa Serikali watamuwakilisha
Ameshtakiwa waziri Bashe binafsi kama waziri na Si Serikali,

Akiitwa kuthibitisha ushahidi au kujibu tuhuma,Bado aendelee kuwapo Ofisini?

Akificha ushahidi je?

Atolewe Ofisini, ndio Utaratibu huo unavyotaka.
 
Back
Top Bottom