Ushauri: Waziri Bashe awekwe pembeni ili amalizane na kesi zinazomkabili mahakamani

Salaam, shalom!!

Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri,

Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali kunamuondolea muda mzuri na utulivu wa kuwatumikia wananchi Kwa nafasi ya Waziri wa kilimo.

Ushauri: Mamlaka iliyo juu ya Waziri wa kilimo imuweke pembeni Ili ajisafishe na tuhuma dhidi yake.

MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Nawasilisha,

Karibuni 🙏
Akili hizi ndo tunaziita za ukombozi wa nchi?

Mkuu anza upya safari
 
Mimi ndiye niliyeandika
Mimi ndiye darasa

Mkuu tuendelee na hoja. Usikwazike na kushindwa kunielewa
Ningependa kujua nilipokosea Ili nisirudie kosa.

Hayupo mwenye hati milki ya Elimu na Maarifa.
 
Bashe anaendelea kupelekewa mishale ya SUMU...

Huyu ndugu amepigwa sana mishale hiyo.....

Nakumbuka huko nyuma ameshawahi KUTUHUMIWA si raia(siasa majitaka)....

Kwa kuonewa tu...kwa ubaguzi tu...ubaguzi wa rangi na kila kinachohusu silsila za ubaguzi....

Akapambana na wanasiasa wenzake.....

Leo ni mbunge na waziri.....

Vita bado inamuandama....

Kwa kuzoea kwake mapambano nadiriki kumsifu na kumpa hongera kwa kuwa na STAMALA kwani ninawapenda watu madhubuti na wasiorejea nyuma hata wakibaki peke yao.....

Ninaamini katika:

1)Persistence
2) Perseverance
3) Patience

Nje ya maslahi ya uadhimu wa watanzania na nje ya vita vyangu dhidi ya ubaguzi wa kila namna sina maslahi yoyote katika kumuongelea yeye vyema.

Mwenyezi Mungu azidi kumtia nguvu yeye na wote wenye mtazamo chanya kwa VIONGOZI wetu na watanzania kwa ujumla ,aaamin aaaamin [emoji7]

#Nchi Kwanza [emoji7]
#Say No To Bigotry [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tuhuma zake kwamba uraia wake unamashaka zilirhibitishwa kwamba ni kweli huyo jamaa ni raia by naturalization .
Nape hawezi kuwa Rais wa hii nchi
 
Ningependa kujua nilipokosea Ili nisirudie kosa.

Hayupo mwenye hati milki ya Elimu na Maarifa.
Ipo namna hii.
  1. Anayeshtakiwa ni Waziri na pia huwezi kumshtaki afisa wa juu wa serikali kwa nafasi yake bila kumjumuisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali
  2. Anapowekwa pembeni, na kesi inakosa mashiko kwa sababu anashtakiwa kwa uwaziri wake na siyo yeye binafsi
  3. Mahakakani haendi kusimama kizimbani bali atasimama kwa kuongozwa na wakili anayesimama in his defence, of course wakili wa seeikali.
  4. Umeelezea anashtakiwa na haujaweka tuhuma zake za mahakamani.
  5. Haujasema anaenda mahakamani mara ngapi kwa wiki au mwezi na athari zake kwa ofisi ya waziri.
Tupo kwenye kupigania maisha ya waliotekwa nyara na dola na wengine kuuawa na hakuna kesi mahakamani kushtaki dola....

Safari ya kuamka kifikra siyo lele mama
 
Umeielezea vizuri.

Kwa kuwa waliomshtaki waziri Bashe Nia ni kuonyesha mapungufu yake kiutendaji akiwa waziri,

Mamlaka iliyomteua ikimuondoa Ofisini, kesi utaondoka pia Nia na kusudi la kesi litatimia maana ataletwa waziri mwingine mwenye kuthamini mchango wa viwanda vya ndani katika kukuza Uchumi wa Nchi.

Kuhusu kupambania HAKI ya kuishi, ndugu zetu wasipotee, zipo thread kadhaa nimetoa mchango wangu.

Ubarikiwe 🙏
 
Mpaka kesi inafunguliwa kutokana na mapungufu yaliyoonekana kwa Waziri, ni wazi kwamba mamlaka uteuzi inafahamu orodha yote ya mapungufu yake.

Kwa kuwa ndege wafananao huruka pamoja, hivyo mapungufu ya Waziri ni faida kwa mteuzi
 
Acha umbumbumbu wako hapa wewe. Kwa hiyo kila atakayekuwa anafunguliwa kesi mahakamani atakuwa anaachia nafasi yake? Ikiwa ni hivyo itakuwaje wakijitokeza vichaa nawavuta bangi wakaamua walifungulie mashitaka Baraza zima la mawaziri kwa kesi tofauti tofauti? Je baraza zima la mawaziri litakaa pembeni? Ndio sheria inavyosema hivyo? Hujuwi kuwa mtu anakuwa hana hatia mpaka apatikane na hatia baada ya ushahidi usio na shaka na usioacha shaka nyuma kutolewa na kuthibitishwa mahakamani?
Bashe atolewe tu
 
Mpaka kesi inafunguliwa kutokana na mapungufu yaliyoonekana kwa Waziri, ni wazi kwamba mamlaka uteuzi inafahamu orodha yote ya mapungufu yake.

Kwa kuwa ndege wafananao huruka pamoja, hivyo mapungufu ya Waziri ni faida kwa mteuzi
Kwa level ya maji yalipofikia,

Atajikosha na kumweka kando!!
 
Salaam, shalom!!

Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri,

Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali kunamuondolea muda mzuri na utulivu wa kuwatumikia wananchi Kwa nafasi ya Waziri wa kilimo.

Ushauri: Mamlaka iliyo juu ya Waziri wa kilimo imuweke pembeni Ili ajisafishe na tuhuma dhidi yake.

MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Nawasilisha,

Karibuni 🙏
IMG_20220302_115525_094.jpg
 
Anahamishwa wizara.

Nchi hii ili uwekwe pembeni, jifanye una mkono wa birika kwa mteuzi wako
Ya Kweli haya?

Nilijua ni trafiki pekee ndio hukusanya na kupeleka mgao huko juu🤔
 
Back
Top Bottom