Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Vyovyote iwavyo...Tuhuma zake kwamba uraia wake unamashaka zilirhibitishwa kwamba ni kweli huyo jamaa ni raia by naturalization .
Nape hawezi kuwa Rais wa hii nchi
Unakataa si raia?!!
Amekwambia anautaka urais ?!!
Yaani kila anayefanya kazi anautaka urais?!! [emoji44][emoji44]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app