Mahakamani hakuna jukwaa la kupiga siasa,
Rudia kusoma ulichoandika.Acha umbumbumbu wako hapa wewe. Kwa hiyo kila atakayekuwa anafunguliwa kesi mahakamani atakuwa anaachia nafasi yake? Ikiwa ni hivyo itakuwaje wakijitokeza vichaa nawavuta bangi wakaamua walifungulie mashitaka Baraza zima la mawaziri kwa kesi tofauti tofauti? Je baraza zima la mawaziri litakaa pembeni? Ndio sheria inavyosema hivyo? Hujuwi kuwa mtu anakuwa hana hatia mpaka apatikane na hatia baada ya ushahidi usio na shaka na usioacha shaka nyuma kutolewa na kuthibitishwa mahakamani?
ni muhimu zaid kumzingatia mtoa tuhuma kuliko tuhuma zenyewe kwanza 🐒Salaam, shalom!!
Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri,
Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali kunamuondolea muda mzuri na utulivu wa kuwatumikia wananchi Kwa nafasi ya Waziri wa kilimo.
Ushauri: Mamlaka iliyo juu ya Waziri wa kilimo imuweke pembeni Ili ajisafishe na tuhuma dhidi yake.
MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Nawasilisha,
Karibuni 🙏
Wakulima wa miwa ndio wamemshtaki waziri wa kilimo kupitia UMOJA wao.bashe ajiuzuru kwa maneno ya mkosaji mpina? mpina akipewa uwaziri anatulia hasemi sasa huyo ni mzalendo?
Wakati tukimzingatia mtoa tuhuma,ni muhimu zaid kumzingatia mtoa tuhuma kuliko tuhuma zenyewe kwanza 🐒
able and capable young and vibrant minister Hussein Bashe has nothing to do with nonsense and useless allegations..Wakati tukimzingatia mtoa tuhuma,
Ndugu Bashe aondolewe Ofisini Ili KAZI iendelee ya kuwatumikia wananchi Kwa utumishi uliotukuka kama ambavyo ndugu Lucas Mwashambwa amekuwa akirudia Kila kukicha.
Mteule wa Rais hapaswi kuwa na tuhuma nzito kiasi hicho court Kisha aendelee kuwapo Ofisini.able and capable young and vibrant minister Hussein Bashe has nothing to do with nonsense and useless allegations..
he has duties to perform for the betterments of the farmers of the land and nothing else 🐒
hakuna muandamizi mwenye dhamana na jukumu la kitaifa serikalini anaweza kuacha wajibu huo muhimu na wa kizalendo wa kuwatumikia wananchi akaanza kubabaika na uzushi, vinyongo, kibiri na hasira za watu walioshindwa kazi wakatemwa barazani, that is completely uselessMteule wa Rais hapaswi kuwa na tuhuma nzito kiasi hicho court Kisha aendelee kuwapo Ofisini.
Ile ni ofisi ya utumishi wa umma, akae pembeni, akithibitika Hana hatia, atarudishwa kivingine huko mbeleni.
Lakini Kwa sasa, anakosa sifa za kuendelea kuwepo Ofisini.
Mbona ziara ya china hakwenda ilhali KILIMO kilikuwa Moja ya agenda muhimu?hakuna muandamizi mwenye dhamana na jukumu la kitaifa serikalini anaweza kuacha wajibu huo muhimu na wa kizalendo wa kuwatumikia wananchi akaanza kubabaika na uzushi, vonyongo na hasira za watu walioshindwa kazi wakatemwa, that is completely useless
alikua na jukumu jigine muhimu, zito na la maana la kimataifa nchi nyingine,Mbona ziara ya china hakwenda ilhali KILIMO kilikuwa Moja ya agenda muhimu?
Alikuwa Nchi ipi hiyo?alikua na jukumu jigine muhimu, zito na la maana la kimataifa nchi nyingine,
na huko usemako wizara iliwakilishwa na waandamizi wengine wa wizara yake muhimu
hiyo itasaidia nini ukijua, kwa mfano gentleman?Alikuwa Nchi ipi hiyo?
Bashe anaendelea kupelekewa mishale ya SUMU...Salaam, shalom!!
Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri,
Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali kunamuondolea muda mzuri na utulivu wa kuwatumikia wananchi Kwa nafasi ya Waziri wa kilimo.
Ushauri: Mamlaka iliyo juu ya Waziri wa kilimo imuweke pembeni Ili ajisafishe na tuhuma dhidi yake.
MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].
Nawasilisha,
Karibuni [emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji7]Acha umbumbumbu wako hapa wewe. Kwa hiyo kila atakayekuwa anafunguliwa kesi mahakamani atakuwa anaachia nafasi yake? Ikiwa ni hivyo itakuwaje wakijitokeza vichaa nawavuta bangi wakaamua walifungulie mashitaka Baraza zima la mawaziri kwa kesi tofauti tofauti? Je baraza zima la mawaziri litakaa pembeni? Ndio sheria inavyosema hivyo? Hujuwi kuwa mtu anakuwa hana hatia mpaka apatikane na hatia baada ya ushahidi usio na shaka na usioacha shaka nyuma kutolewa na kuthibitishwa mahakamani?
Alaaa kwa hiyo umeustafidi ule msemo mwafrika akiwa "anakula" anakaa kimya ,tuliiii ?!! [emoji1787]bashe ajiuzuru kwa maneno ya mkosaji mpina? mpina akipewa uwaziri anatulia hasemi sasa huyo ni mzalendo?