Ushauri: Waziri Bashe awekwe pembeni ili amalizane na kesi zinazomkabili mahakamani

Akili hizi ndo tunaziita za ukombozi wa nchi?

Mkuu anza upya safari
 
Mimi ndiye niliyeandika
Mimi ndiye darasa


Mkuu tuendelee na hoja. Usikwazike na kushindwa kunielewa
Ningependa kujua nilipokosea Ili nisirudie kosa.

Hayupo mwenye hati milki ya Elimu na Maarifa.
 
Tuhuma zake kwamba uraia wake unamashaka zilirhibitishwa kwamba ni kweli huyo jamaa ni raia by naturalization .
Nape hawezi kuwa Rais wa hii nchi
 
Ningependa kujua nilipokosea Ili nisirudie kosa.

Hayupo mwenye hati milki ya Elimu na Maarifa.
Ipo namna hii.
  1. Anayeshtakiwa ni Waziri na pia huwezi kumshtaki afisa wa juu wa serikali kwa nafasi yake bila kumjumuisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali
  2. Anapowekwa pembeni, na kesi inakosa mashiko kwa sababu anashtakiwa kwa uwaziri wake na siyo yeye binafsi
  3. Mahakakani haendi kusimama kizimbani bali atasimama kwa kuongozwa na wakili anayesimama in his defence, of course wakili wa seeikali.
  4. Umeelezea anashtakiwa na haujaweka tuhuma zake za mahakamani.
  5. Haujasema anaenda mahakamani mara ngapi kwa wiki au mwezi na athari zake kwa ofisi ya waziri.
Tupo kwenye kupigania maisha ya waliotekwa nyara na dola na wengine kuuawa na hakuna kesi mahakamani kushtaki dola....

Safari ya kuamka kifikra siyo lele mama
 
Umeielezea vizuri.

Kwa kuwa waliomshtaki waziri Bashe Nia ni kuonyesha mapungufu yake kiutendaji akiwa waziri,

Mamlaka iliyomteua ikimuondoa Ofisini, kesi utaondoka pia Nia na kusudi la kesi litatimia maana ataletwa waziri mwingine mwenye kuthamini mchango wa viwanda vya ndani katika kukuza Uchumi wa Nchi.

Kuhusu kupambania HAKI ya kuishi, ndugu zetu wasipotee, zipo thread kadhaa nimetoa mchango wangu.

Ubarikiwe ๐Ÿ™
 
Mpaka kesi inafunguliwa kutokana na mapungufu yaliyoonekana kwa Waziri, ni wazi kwamba mamlaka uteuzi inafahamu orodha yote ya mapungufu yake.

Kwa kuwa ndege wafananao huruka pamoja, hivyo mapungufu ya Waziri ni faida kwa mteuzi
 
Bashe atolewe tu
 
Mpaka kesi inafunguliwa kutokana na mapungufu yaliyoonekana kwa Waziri, ni wazi kwamba mamlaka uteuzi inafahamu orodha yote ya mapungufu yake.

Kwa kuwa ndege wafananao huruka pamoja, hivyo mapungufu ya Waziri ni faida kwa mteuzi
Kwa level ya maji yalipofikia,

Atajikosha na kumweka kando!!
 
 
Anahamishwa wizara.

Nchi hii ili uwekwe pembeni, jifanye una mkono wa birika kwa mteuzi wako
Ya Kweli haya?

Nilijua ni trafiki pekee ndio hukusanya na kupeleka mgao huko juu๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ