Hayupo aijuaye kesho yake isipokuwa WATAKATIFU pekee.Kuwa makini utasababisha hata hiyo 2025 yako unayotaka agombee asifike kwani Yeye sasa hivi amekuwa kama Swala anayewindwa na Simba, Kifaru, Chui na Nyati.
Mbarikiwe wale mlionielewa tu hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayupo aijuaye kesho yake isipokuwa WATAKATIFU pekee.Kuwa makini utasababisha hata hiyo 2025 yako unayotaka agombee asifike kwani Yeye sasa hivi amekuwa kama Swala anayewindwa na Simba, Kifaru, Chui na Nyati.
Mbarikiwe wale mlionielewa tu hapa.
Sasa mnataka nchi iongozwe na Mwalimu wa shule ya msingi?Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.
Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya...
Mnamtafutia shida sana katikati ya genge la kimafia ambalo halijali kuondoa haki ya kupumua kwa njia gushi kupitia mikakati yaMiaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.
Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya...
PESC
Yule ni mwana wa Msoga Kingdom,isitegemee mapya kwake!!Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.
Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya.
Watanzania wanachangishwa tozo, ushuru na kodi za kila namna lakini hawaoni yanayofanyika.
Tril 1.3 za foreign reserve zimejenga madarasa hewa lakini mpaka sasa hatusikii lolote.
2025 chukua fomu na wanaCCM wenzako watakuelewa maana wapo kimya ila wanaumia
Huyu bibi wa kisiwani ana elimu gani?Busara gani huyo Jamaa Mimi namjua kukuzidi wewe Hana Elimu alikuwa mwalimu shule za msingi baadae secondary baadae chama Cha walimu baadae Mkuu wa wilaya hiyo degree yake ya mchongo Elimu yake ni Diploma tu
Una HAKIKA hatofika 2025?Una hakika atafika 2025?
Unashida kufufua nyuzi zenye mlengo huu ?Naendelea kusoma picha