Ushauri: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 2025 chukua fomu ili uliokoe taifa letu na hili genge. Tunajua msimamo wako na uchapakazi wako

Ushauri: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 2025 chukua fomu ili uliokoe taifa letu na hili genge. Tunajua msimamo wako na uchapakazi wako

Kuwa makini utasababisha hata hiyo 2025 yako unayotaka agombee asifike kwani Yeye sasa hivi amekuwa kama Swala anayewindwa na Simba, Kifaru, Chui na Nyati.

Mbarikiwe wale mlionielewa tu hapa.
Hayupo aijuaye kesho yake isipokuwa WATAKATIFU pekee.
 
Pia Kwa Katiba hii, mtu akishakuwa tu PM asahau kuwa Rais wa Nchi hii.

Labda asubiri Katiba mpya.
 
Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.

Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya...
Sasa mnataka nchi iongozwe na Mwalimu wa shule ya msingi?
 
Toka lini amewahi kuwa mchapazi au aloendana na upepo wa kipindi kile
 
Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.

Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya...
Mnamtafutia shida sana katikati ya genge la kimafia ambalo halijali kuondoa haki ya kupumua kwa njia gushi kupitia mikakati ya

1. Ugonjwa
2. Ajali
3. Kashfa
4. Kuhatarisha usalama wa taifa.

Kati ya wote waliopo madarakani na wanaotajwatajwa hakuna hata mmojwao ataruhusiwa na Mungu kuwania kiti cha dhahabu
 
Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.

Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya.

Watanzania wanachangishwa tozo, ushuru na kodi za kila namna lakini hawaoni yanayofanyika.

Tril 1.3 za foreign reserve zimejenga madarasa hewa lakini mpaka sasa hatusikii lolote.

2025 chukua fomu na wanaCCM wenzako watakuelewa maana wapo kimya ila wanaumia
Yule ni mwana wa Msoga Kingdom,isitegemee mapya kwake!!
 
Unashida kufufua nyuzi zenye mlengo huu ?
Punguza volume mkuu!

1693389441685.png
 
Back
Top Bottom