Ushauri weni: Mama wa mtoto hatumi pesa ya matumizi nichukue hatua gani?

Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo

Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya😡 akapata ajira mkoani
Kwa kuwa mtoto alifkisha miaka mitano tukakubaliana abaki kwetu aishi na bibi ake (mzazi wangu) Ili apate utulivu kwan hata hivyo muda mwingi alikuwa anaishi naye

Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu 😡

Yeye anapiga simu tu kwa bimkubwa kuongea na mtoto kila siku ila pesa hatutumii nifanyaje?😡

Nilifkiri kwenda mahakamani ila sijui utaratibu km unaruhusu kumshtak mwanamke asiyetunza mtoto wake

Msaaada wenu
Wewe ni mwela au ?maana makabila mengine mtoto ni wa mama.
 
Nilijua nimeona mengi, kumbe badooo, njoo unipe mm mimba nizae nitakuwa natuma matumizi
 
Wewe noma aisee...
Unataka demu akutumie hela ya kukutunza?
Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo

Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya😡 akapata ajira mkoani
Kwa kuwa mtoto alifkisha miaka mitano tukakubaliana abaki kwetu aishi na bibi ake (mzazi wangu) Ili apate utulivu kwan hata hivyo muda mwingi alikuwa anaishi naye

Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu 😡

Yeye anapiga simu tu kwa bimkubwa kuongea na mtoto kila siku ila pesa hatutumii nifanyaje?😡

Nilifkiri kwenda mahakamani ila sijui utaratibu km unaruhusu kumshtak mwanamke asiyetunza mtoto wake

Msaaada wenu
kama mama wa mtoto anatoka kwa matrilineal society, na mnaishi kwa mfumo huo, uko sahihi kulalamika, endelea kupambana na wife mzazi mwenzio ili atimize wajibu wake, au ukam-dispose mtoto kwa wajomba zake i.e where he belongs😀
 
Beba mtoto mfuate huko huko mkaishi wote mlee mtoto wenu... hata kama kila mtu alalala chumba chake lakini mtoto apate matunzo ya mama na baba. Uzinzi wenu usimtese Mama..... pambaneni wenyewe..
 
Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo

Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya😡 akapata ajira mkoani
Kwa kuwa mtoto alifkisha miaka mitano tukakubaliana abaki kwetu aishi na bibi ake (mzazi wangu) Ili apate utulivu kwan hata hivyo muda mwingi alikuwa anaishi naye

Ila kinachonikera huyu hatutumii pesa ya matumizi mimi na mtoto wetu 😡

Yeye anapiga simu tu kwa bimkubwa kuongea na mtoto kila siku ila pesa hatutumii nifanyaje?😡

Nilifkiri kwenda mahakamani ila sijui utaratibu km unaruhusu kumshtak mwanamke asiyetunza mtoto wake

Msaaada wenu
Wewe ni Kaka au Dada?🤣
 
Fireeee

Fireee

Fireeeee

In the name of Jesus

Pyuuuuf touch

Pyuuuuf touchhhh
 
Back
Top Bottom